Zitto kugombea urais 2015?

Status
Not open for further replies.
Nadhani hujui unaeongea nae. Na wala sina haja ya kukupa faida kubwa, kwa ufupi:

Anaekuleza hayo ni: Semi retired professional who worked with International corporations for over 25 Years in decision making positions. Currently a shareholder and member of the boards in several good companies ranging from Services, Farming, Trading to Tourist lodges and Hotels.

That's majimshindo, for your information.

samahan kama ntakukera...mimi cdhan kama huo wacfu unaojitangazia ulkustahl... Huna tofaut na wale wanaojtapa usalama wa taifa.
Hvo kuwa na yote na kufanya yote unayojtapa nayo haimaanish unajua lolote. Ucjtangaze hvo kudhan utaogopeka au kuheshmika. Nyadhfa zako n faida kwako,mkeo na wanao.
 
Daa!!!!!! mnanipa mashaka,yaani aliyetoa hoja anastahiki pongezi kwa vile kasema anavyoona yeye!.
Watanzania wenzangu mnachangia hoja nje ya mantiki hadi mnalumbana,kwa stahili hiyo you become part of the problem.

Kwa ufupi tusigande kuzungumzia mtu alivyo au vile wewe anakulidhisha,hapana tuwe makini na tuangalie matokeo ya utendaji wake,uhalisia wake,ufanisi wake na falsafa yake kwa manufaa ya watanzania wengi wanaokosa haki na rasilimali zao mpaka muda huu.Ndugu tusijisahau wala tusilidhike kwa mbwembwe za wanasiasa wetu.WATANZANIA TUNAHITAJI MABADILIKO YA KWELI.
Muda umekaribia watz kwa nguvu zao wenyewe watachagua kiongozi wanaemtaka,bila hata ya kuchakachua matokeo au shinikizo kama mlivyozoea.
 
maoni yako siyaungi mkono, chama kinatakiwa kiwe zaidi ya mtu mmoja mmoja, ila kwa sasa, ambapo tumezoea kuona vyama vikibembwa na mtu mmoja, naye akajidhania ni muhimu sana kuliko ile cause yenyewe, chama chote kinadidimia.
kama mtazamowa ko una ukweli hata kidogo, basi tutegemee chama kufa mara moja..
CDM inatakiwa utumie Zitto, Slaa, na wengine, kwa kuvuna uwezo wao, ili kukue, kisichague uwezo wa mtu mmoja tu. Watu wote ni wadhaifu sana, pamoja na uwezo mdogo unaoweza kupigiwa debe na magazeti ukaonekana kama ni mkubwa sana, bado wano udhaifu sana, umoja wao pekee ndio utakaowaweka na kuwasaidia chama kikue.

sio mtu
 
Majimshindo na Salimia nyie lazima mtakuwa CCM na vibaraka wa mafisadi kama siyo mafisadi kabisa maana ongeleeni gogoro linalofukuta kati ya UVCCM na wazee wenu wastaafu. Mkimtaka Zitto mchukueni maana ni kibaraka wenu wala hatuwezi kumpitisha agombee uraisi 2015. Dr. Slaa na kanisa vinawahusu nini? Yule mume wake Josephine kapotelea wapi? Kwa kupandikiza propoganda tu. Hatudanganyiki!!!!!!!!!
 
Si Zitto wala Slaa wala Mbowe wanaofaa.

1) Zitto: jazba, hasira, hamaki, hafichi "emotions zake". Anafaa kuwa mkurungenzi wa idara katika serikali.

2) Slaa: hawezi kabisa uongozi. Alishindwa wa kanisa unaohudumia jamii yenye imani kama yake, na maadili ndio hivyo tena kama tujuavyo. Hafai hata kuwa diwani. Anafaa kuwa mfugaji na ajilimbikizie wake wa kumsaidia.

Mbowe: Huyu anafaa kuwa waziri wa starehe kutokana na ujuzi wake wa kuchezesha Disko kwa muda mrefu. Uongozi wowote wenye utendaji hauwezi kwani hata kampuni yake ilioanzishwa kwa mali za kurithi "kaifilisi" haina hata hela za kulipa deni alilokopa NSSF. Sasa huyu akipewa nchi si kasheshe.
=========

Ikiwa Mcheza disko ameongoza nchi, mcheZEsha disko si ndo anafaa zaidi?
 
=========

Ikiwa Mcheza disko ameongoza nchi, mcheZEsha disko si ndo anafaa zaidi?

hii nimeipenda, hata madagascar, kijana mdogo mchezesha disko anaichezesha nchi katika midundo wanayoitaka wananchi wake wakubwa, wazee kwa vijana na watoto.
 
Zitto na January Makamba wanatofauti gani?
Lakini kweli inanitia wasiwasi mnokama mtu mzima anamwona Zitto anaakili, Zitto! Shudu lile la mafisadi!..................
Endeleeni na ujinga wakusifia ovyo!
 
si kawaida yangu kutukana naomba nisianze leo, kwa nini baadhi ya watanzania wanadharau hivi wakati hali zao ni duni mara elfu kuliko za hao wanaokashifu? ni wachezesha disco kama mbowe wanaoweza kubadili maisha ya watanzania na washenzi kama nyie muendelee kupiga domo huku mkishindwa hata kitambaa cha kupenga kamasi. Inaudhi sana dharau za wasionacho, unaweza kumlinganisha mbowe na JK? au kwa kuwa anavaa joho la kijani? watanzania wamechoshwa na fikira mgando za kula bila kuzalisha nini disco we are better off kuongozwa na mama ntilie walau anajua kupanga mahitaji ya chakula sipendi kabisa dharau za poppers. mtabaki hivyo hivyo oo slaa kashindwa kuongoza kanisa wakati kura zake mmemuibia ingekua mnagamba mngeacha tuone leo hii baba zetu wangeshakuwa mahospitali wakipata matibabu ya kisayansi badala yake mko nao mnagombea foleni loliondo mavi hapo hapo, halafu mnalaumu maiti zimetapakaa, how about muhimbili tunalala nazo wodini masaa na masaa.
Mbowe huwezi kumfananisha na Jk kwasababu Jk ni Raisi Mbowe sio,Jk Mkorea Mbowe Mchaga na mengine mengi ambayo hawafanani,nakuunga mkono Jk na Mbowe hawafanani
 
Hata JK ana CV ndefu ya kuongoza chama na kushika nafasi muhimu serikalini lakini bado ni kilaza tu... Na nimekua nikufutatilia thread zako nyingi nimegundua wewe mwenyewe ni mchovu wa fikra hata ungekuwa na experience ya muda gani ktk proffessional zako bado hakiuondolei ukilaza ulionao. Nchi hii hata tukimpa Mnyika ambae hana CV kama ya kwako au JK bado ataiongoza vizuri...

Kuna nyimbo inaitwa "wacha wivu" nikienda Njenje huwa naisikia, sijui umewahi kuisikia?
 
=========

Ikiwa Mcheza disko ameongoza nchi, mcheZEsha disko si ndo anafaa zaidi?

Mchezesha Disko mwenyeewe alijaribu kinyang'anyiro cha uongozi wa juu kabisa akabwagwa vibaya sana pamoja na kutumia "helikopta" akaona hakubaliki akakaa kando kumwachia Dokta wa Kanono asiyefata kanoni aliyoisomea. Mwenyewe unajuwa kuwa haifati, au hujuwi? Bora Dokta Silaa kajitahidi kidogo kupata kura zaidi ya mchezesha disko, lakini, aaaahhh bahati mbaya, hazikufika hata robo ya kura za JMK.
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Mimi maono yangu ni kwamba katika CDM ni ZITTO peke yake ambaye anaweza kutusogeza toka point A to B nchini Tanzania. Wengine wote wanafaa kuwa wasaidizi wake. Sisemi kwamba hawafai, lakini katika Presidential level, Zitto is the right choice. Slaa ni mtendaji, let him be PM na Mbowe labda VP. Huu ni ukweli ambao hata Stevie Wonder anaweza kuuona.
Napita.

Pita tuu wasalimie huko uendako.......:lol:
 
Mbowe huwezi kumfananisha na Jk kwasababu Jk ni Raisi Mbowe sio,Jk Mkorea Mbowe Mchaga na mengine mengi ambayo hawafanani,nakuunga mkono Jk na Mbowe hawafanani

Ndo alivyokudanganya na wewe ukadanganyika kuwa yeye ni MKOREA.....no wonder huishi kumsifu....mkorea my foot!
 
Nadhani hujui unaeongea nae. Na wala sina haja ya kukupa faida kubwa, kwa ufupi:

Anaekuleza hayo ni: Semi retired professional who worked with International corporations for over 25 Years in decision making positions. Currently a shareholder and member of the boards in several good companies ranging from Services, Farming, Trading to Tourist lodges and Hotels.

That's majimshindo, for your information.
Sisi tunajuana kwa hoja hatujuani hapa kwa sura, historia au majigambo! Hata kwa haya umeprove kuwa unahusudu wizi uzandiki na ufisadi tu si zaidi hapo. semi retired manake nini? unajua anaekundikia ana share kwenye makampuni yepi? kama kweli hukuwahi kufeli basi uwe ukijitahidi kujibu hoja kwa hoja siyo kwa hitory kama akina Mrema hazitusaidii
 
Mchezesha Disko mwenyeewe alijaribu kinyang'anyiro cha uongozi wa juu kabisa akabwagwa vibaya sana pamoja na kutumia "helikopta" akaona hakubaliki akakaa kando kumwachia Dokta wa Kanono asiyefata kanoni aliyoisomea. Mwenyewe unajuwa kuwa haifati, au hujuwi? Bora Dokta Silaa kajitahidi kidogo kupata kura zaidi ya mchezesha disko, lakini, aaaahhh bahati mbaya, hazikufika hata robo ya kura za JMK.
Mwanangu yuko darasa la nne anajua kuwa 26.34% ni kubwa kuliko theruthi ya 61.17% achilia mbali robo yake! mwalimu wako wa hesabu ulimpa shida sana. tutajitahidi kadri ya uwezo wetu kuwaelimisha watu kama nyie
 
samahan kama ntakukera...mimi cdhan kama huo wacfu unaojitangazia ulkustahl... Huna tofaut na wale wanaojtapa usalama wa taifa.
Hvo kuwa na yote na kufanya yote unayojtapa nayo haimaanish unajua lolote. Ucjtangaze hvo kudhan utaogopeka au kuheshmika. Nyadhfa zako n faida kwako,mkeo na wanao.

Ahsante nimekusikia, nadhani imeku"touch" kama mke wangu ndio maana ukajibu.
 
Majimshindo na Salimia nyie lazima mtakuwa CCM na vibaraka wa mafisadi kama siyo mafisadi kabisa maana ongeleeni gogoro linalofukuta kati ya UVCCM na wazee wenu wastaafu. Mkimtaka Zitto mchukueni maana ni kibaraka wenu wala hatuwezi kumpitisha agombee uraisi 2015. Dr. Slaa na kanisa vinawahusu nini? Yule mume wake Josephine kapotelea wapi? Kwa kupandikiza propoganda tu. Hatudanganyiki!!!!!!!!!

Kumbuka, CCM ndio inaongoza, hivi Chadema ilipata kura asilimia ngapi? Za urais, ubunge, madiwani?
 
Mwanangu yuko darasa la nne anajua kuwa 26.34% ni kubwa kuliko theruthi ya 61.17% achilia mbali robo yake! mwalimu wako wa hesabu ulimpa shida sana. tutajitahidi kadri ya uwezo wetu kuwaelimisha watu kama nyie

Oohh ahsante sana kwa kunielimisha, kumbe mlipata asilimia 1.34% zaidi ya robo! Hongereni sana, siku mkizidisha hiyo hesabu ikafikia ushindi, JMK atakuwa kisha staafu zamani. Mungu ampe umri mrefu.
Kwa sasa bado uguzeni majeraha.
 
Sisi tunajuana kwa hoja hatujuani hapa kwa sura, historia au majigambo! Hata kwa haya umeprove kuwa unahusudu wizi uzandiki na ufisadi tu si zaidi hapo. semi retired manake nini? unajua anaekundikia ana share kwenye makampuni yepi? kama kweli hukuwahi kufeli basi uwe ukijitahidi kujibu hoja kwa hoja siyo kwa hitory kama akina Mrema hazitusaidii

Hahaaaaha, CV.
 
Nadhani hujui unaeongea nae. Na wala sina haja ya kukupa faida kubwa, kwa ufupi:

Anaekuleza hayo ni: Semi retired professional who worked with International corporations for over 25 Years in decision making positions. Currently a shareholder and member of the boards in several good companies ranging from Services, Farming, Trading to Tourist lodges and Hotels.
That's majimshindo, for your information.

Kweli Semi retired professional wanaoweza kuongoza sijui ni kina nani? Maana huyo rais wako anayetuongoza sasa hivi ni namba kumi na moja kwenye list of shame kwenye tovuti ya chadema na amekaa kimya na washirika wake hana cha kusema na wala hawezi kuchukua hatua yoyote kuhusu mafisadi wenzake.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom