Zitto Kabwe ndie rais ajaye wa JMT 2025

Siku huyo mtu akiwa rais wa Tanzania basi ndio mwaka huo huo na yesu anarudi kwa mara ya pili duniani
 
Haya ni maoni yangu, nasisitiza haya ni maoni yangu

Mbunge wa Kigoma Mjini ndg Zitto Kabwe kupitia chama cha ACT-Wazalendo, ndiye anastahili kuvaa viatu vya JPM 2025.

Analysis zote nilizofanya zinaonyesha huyu kijana makini anafaa kabisa kuipeleka nchi kuwa taifa la uchumi wa kati duniani, tuache unafki huyu jamaa kafanya mengi yenye tija kwa taifa hili, hakuwahi kutanguliza maslahi ya chama siku zote ametanguliza maslahi ya taifa Tanzania.

Ndie mbunge pekee ambaye hachukui posho bungeni.

Kuna sababu nyingi zinazombeba na kumstahilisha kuwa rais ajaye baada ya JPM, pamoja na yote yaliyowahi kusemwa juu yake ila nimebaki kumuona kama kioo cha uongozi Tanzania.

Zitto Kabwe is my president in 2025
Cc:MOTOCHINI
Cc:mcubic
 
Labda Rais wa Kigoma Tanzania haiwezi kuongozwa na mpenda sifa Zitto by the way hivi chama chake kina wabunge wangapi labda tuanzie hapo.
Kina mbunge mmoja kama taa ya treni iendayo kigoma
 
Haya ni maoni yangu, nasisitiza haya ni maoni yangu

Mbunge wa Kigoma Mjini ndg Zitto Kabwe kupitia chama cha ACT-Wazalendo, ndiye anastahili kuvaa viatu vya JPM 2025.

Analysis zote nilizofanya zinaonyesha huyu kijana makini anafaa kabisa kuipeleka nchi kuwa taifa la uchumi wa kati duniani, tuache unafki huyu jamaa kafanya mengi yenye tija kwa taifa hili, hakuwahi kutanguliza maslahi ya chama siku zote ametanguliza maslahi ya taifa Tanzania.

Ndie mbunge pekee ambaye hachukui posho bungeni.

Kuna sababu nyingi zinazombeba na kumstahilisha kuwa rais ajaye baada ya JPM, pamoja na yote yaliyowahi kusemwa juu yake ila nimebaki kumuona kama kioo cha uongozi Tanzania.

Zitto Kabwe is my president in 2025
Labda ndani ya familia yako inawezekana,haya ndio maajabu mtu unaota ndoto ukiwa Wima.
 
[Mph OTE="onyx, post: 15948492, member: 358137"]Mbona mnasema Mh anaisaliti CCM[/QUOTE]

Mh anaisaliti kwa mema au twasema " he does that for the benefit of poor"
Zito hachukui posho maana ana akiba ya kutosha ya ile mipesa aliopewa na fisiem na kuzihifadhi ujeruman huku akiwaandama waliohifadhi zao uswiz.

Zito hana sifa ya kua kiongoz wa taifa, ana sifa ya kua mmbea au mpambe wa kiongozi coz ni mbea mbea.

Labda ungesema Lema kidogo ningekuelewa.
 
Mwaka 2025? Mbona mbali hata kesho tu chama chake kikiamua awe rais au ikitokea akapata kampuni akaamua awe rais anaweza. Pia anaweza kuwa rais wa familia yako. Yako na mumeo na watoto wako. Hilo linawezekana kabisa na halihitaj mpaka mwaka2025 kwa nini unasubiria mpaka mbali hivyo? Kwa nini usimpe huo urais hata leo? Mpe tu mama.

Haya ni maoni yangu, nasisitiza haya ni maoni yangu

Mbunge wa Kigoma Mjini ndg Zitto Kabwe kupitia chama cha ACT-Wazalendo, ndiye anastahili kuvaa viatu vya JPM 2025.

Analysis zote nilizofanya zinaonyesha huyu kijana makini anafaa kabisa kuipeleka nchi kuwa taifa la uchumi wa kati duniani, tuache unafki huyu jamaa kafanya mengi yenye tija kwa taifa hili, hakuwahi kutanguliza maslahi ya chama siku zote ametanguliza maslahi ya taifa Tanzania.

Ndie mbunge pekee ambaye hachukui posho bungeni.

Kuna sababu nyingi zinazombeba na kumstahilisha kuwa rais ajaye baada ya JPM, pamoja na yote yaliyowahi kusemwa juu yake ila nimebaki kumuona kama kioo cha uongozi Tanzania.

Zitto Kabwe is my president in 2025
 
Labuda mushauli ahamie CCM maana unajua CCM wanalijimkataba la milele na nchi hii!! Au hukumbuki kwenye liwimbo lao lile wanamalizia ni yetu milele......
 
Haya ni maoni yangu, nasisitiza haya ni maoni yangu

Mbunge wa Kigoma Mjini ndg Zitto Kabwe kupitia chama cha ACT-Wazalendo, ndiye anastahili kuvaa viatu vya JPM 2025.

Analysis zote nilizofanya zinaonyesha huyu kijana makini anafaa kabisa kuipeleka nchi kuwa taifa la uchumi wa kati duniani, tuache unafki huyu jamaa kafanya mengi yenye tija kwa taifa hili, hakuwahi kutanguliza maslahi ya chama siku zote ametanguliza maslahi ya taifa Tanzania.

Ndie mbunge pekee ambaye hachukui posho bungeni.

Kuna sababu nyingi zinazombeba na kumstahilisha kuwa rais ajaye baada ya JPM, pamoja na yote yaliyowahi kusemwa juu yake ila nimebaki kumuona kama kioo cha uongozi Tanzania.

Zitto Kabwe is my president in 2025

Sawa ni maoni 'yako'
 
Back
Top Bottom