Zitto Kabwe ndie rais ajaye wa JMT 2025

chief1

JF-Expert Member
May 4, 2015
1,396
1,337
Haya ni maoni yangu, nasisitiza haya ni maoni yangu

Mbunge wa Kigoma Mjini ndg Zitto Kabwe kupitia chama cha ACT-Wazalendo, ndiye anastahili kuvaa viatu vya JPM 2025.

Analysis zote nilizofanya zinaonyesha huyu kijana makini anafaa kabisa kuipeleka nchi kuwa taifa la uchumi wa kati duniani, tuache unafki huyu jamaa kafanya mengi yenye tija kwa taifa hili, hakuwahi kutanguliza maslahi ya chama siku zote ametanguliza maslahi ya taifa Tanzania.

Ndie mbunge pekee ambaye hachukui posho bungeni.

Kuna sababu nyingi zinazombeba na kumstahilisha kuwa rais ajaye baada ya JPM, pamoja na yote yaliyowahi kusemwa juu yake ila nimebaki kumuona kama kioo cha uongozi Tanzania.

Zitto Kabwe is my president in 2025
 
Nyota yake ishachukuliwa na paul makonda,,,zito amefichwa sa hv hata cmsikiii aseeeeee!!!
 
Ni mtazamo wako usijl comments za makamanda maana asilimia 70 hawapigi kura washasema baada ya tatu bila za 2015 wamekata tamaa kuizima nyota ya zitto n sawa na kutemea mate Mwenge eti ili uuzime. Mtazamo tu Zitto4JMT2025
 
Labda kama atagombea kupitia CCM na siyo nje ya hapo. Maana hao ndio wenye hatimiliki ya hii nchi kwahiyo hawapo tayari kuitoa kwa karatasi za kupigia kura.
Mshauri akagombee kupitia CCM.
 
Haya ni maoni yangu,nasisitiza haya ni maoni yangu

Mbunge wa Kigoma Mjini ndg Zitto Kabwe kupitia chama cha ACT-Wazalendo,ndie anastahili kuvaa viatu vya JPM 2025.

Analysis zote nilizofanya zinaonyesha huyu kijana makini anafaa kabisa kuipeleka nchi kuwa taifa la uchumi wa kati duniani, tuache unafki huyu jamaa kafanya mengi yenye tija kwa taifa hili, hakuwahi kutanguliza maslahi ya chama siku zote ametanguliza maslahi ya taifa Tanzania.

Ndie mbunge pekee ambaye hachukui posho bungeni.

Kuna sababu nyingi zinazombeba na kumstahilisha kuwa rais ajaye baada ya JPM,pamoja na yote yaliyowahi kusemwa juu yake ila nimebaki kumuona kama kioo cha uongozi Tanzania.

Zitto Kabwe is my president in 2025
Rais wa wasafi
 
Back
Top Bottom