Zitto Kabwe ndie rais ajaye wa JMT 2025

huu ndio ukweli uliojificha wanaoweza kuuona ni wachache hongera kwa kuzungumzia ukweli,

nchi itakuwa imempata kijana mahiri na kiongozi mwenye uwezo mkubwa wa uongozi wa nchi hivyo watanzania hawatajuta kumkabidhi nchi mzalendo zito.
Naona vijana wa mwandiga mmeamua kuingia kwa nguvu ili kumtetea kaka yenu, wacheni mambo ya ukabila
 
Sio utabiri ndivyo ilivyo. CCM itapeta miaka mingi,wapinzani wenyewe akili za kina Mbowe,kubadili gia angani.
Ayaa tayari umesha timiza wajibu wako ebu wahi lumumba kabla ofisi haijafungwa uchukue buku 7 zako
 
Hiyo post yko imejipost au umeipost?

Hebu rudia kidogo kuisoma hasa jina la Rais ajaye,, umemtaja nani vile...rudia tena kusoma ,, kwa ninavyo kufahamu sitegemei wew kutoa pendekezo hilo.
 
Baada ya JPM au 2025?
Umeongelea kama ni kitu kimoja.
Tangu Zitto aingie kwenye mgogoro na CHADEMA alionyesha rangi zake ambazo hatukutakiwa kuzijua, kwa kifupi nafasi aliyonayo ndio inamfaa zaidi na si juu ya hapo.

Huyu anayejiona yupo 'level' moja na Rais? Hapana
Hatufai kabisaaaaaaaaa
 
Cc:mcubic
Cc:MOTOCHINI
 
Haya ni maoni yangu, nasisitiza haya ni maoni yangu

Mbunge wa Kigoma Mjini ndg Zitto Kabwe kupitia chama cha ACT-Wazalendo, ndiye anastahili kuvaa viatu vya JPM 2025.

Analysis zote nilizofanya zinaonyesha huyu kijana makini anafaa kabisa kuipeleka nchi kuwa taifa la uchumi wa kati duniani, tuache unafki huyu jamaa kafanya mengi yenye tija kwa taifa hili, hakuwahi kutanguliza maslahi ya chama siku zote ametanguliza maslahi ya taifa Tanzania.

Ndie mbunge pekee ambaye hachukui posho bungeni.

Kuna sababu nyingi zinazombeba na kumstahilisha kuwa rais ajaye baada ya JPM, pamoja na yote yaliyowahi kusemwa juu yake ila nimebaki kumuona kama kioo cha uongozi Tanzania.

Zitto Kabwe is my president in 2025
Hastahili kuvaa soksi wala kandambili za JPM itakuwa viatu?
 
Kuna sifa za kipekee alizo nazo Magufuli nazo ni kumcha Mungu, kutojikweza, kubana matumizi, kuweka maslahi ya taifa mbele, kutopendelea, kutumbua majipu hata yaliyokaa pabaya! Je Zitto anaweza kuvaa viatu hivyo..??
 
Nimeamini kuwa ugoro,kimpumu na wanzuki ukivitumia kwa muda mrefu ni adui mkubwa kwa afya ya ubongo,ebu wahi mirembe

We Mmawia umenikumbusha kuwa tulipokuwa shule ya msingi tuliambiwa Wammawia ni watu wanaokula wenzao! Wewe ni Mmawia au ni jina tu? Usije ukimla rais wetu.!
 
Back
Top Bottom