Zitto Kabwe, Meles Zenawi Role Model Politician

Status
Not open for further replies.
Hivi kweli Kura za maoni za JF ndio unataka kufanya reference, kwanza tambua JF kuna Multple ID's zaidi ya 11,000 NtuNTEMEKE peke yake ana ID's 19, inawezekana wewe umempigia kura Dr Slaa hata mara 10...Watanzania tupo zaidi milioni 40 na kura za humu JF ni kura 300 uoni kama kichekesho mkuu.

www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/298724-kura-ya-maoni-zitto-vs-dr-slaa-29.html
 
Last edited by a moderator:
Msisipokuwa makini na madude ya kwa pele yatawafanya makamanda muwe kama jamaa zetu wanaokaa kwenye vituo vya madaladala, siku zote mkuu chama kawapa ushauri hamtaki kufuata.

www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/298724-kura-ya-maoni-zitto-vs-dr-slaa-29.html
 
Last edited by a moderator:
Kuna mpasuko mwingine wa dhahiri ambayo unafukuta ndani ya Bavicha na Bawacha, kuna kambi tatu kubwa inayojumuisha Mbowe na Dr Slaa, na ile ya Zitto inayojumuisha Bavicha pamoja na Bawacha ambapo kuna wafuasi wake wengi.

www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/298724-kura-ya-maoni-zitto-vs-dr-slaa-29.html
 
Ikumbukwe mwaka 2009 Zitto alichukuwa fomu ya kugombea ya uenyekiti wa Chadema, akimpinga Mbowe ambaye tayari alikuwa amechukuwa fomu ya kugombea kipindi kingine cha pili hali iliyoleta kizazaa kikubwa ndani ya chama hicho, kabla ya wazee kuingilia kati na kushauri Zitto aondoe jina lake.

Wafuasi wa kambi ya Zitto safari hii wamesema wamejipanga kimkakati kuhakisha kwamba Zitto anagombea uenyekiti.
hivi Dr. Slaa alipogombea urais alikuwa mwenyekiti wa CHADEMA? jamani mimi ni mgeni hapa Yerusalemu, najishangalia tu
 
Wanabodi,

Zitto Kabwe mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Chadema na Naibu Katibu Mkuu (Bara), Naibu Kiongozi Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma.

Kwa mujibu watu wa karibu wa Zitto Kabwe, yupo tayari kuishi na kufa akiwa kwenye mapambano kama ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa Ethiopia, Meles Zenawi, ambaye ni kipenzi chake alianza mapambano na aliyekuwa Mfalme wa Ethiopia Haile Mariamu, akiwa na umri wa miaka 19 na hatimaye kufanikisha mapambano yake ya kuingia Ikulu akiwa na umri wa miaka 36.

Wafuasi wa Zitto Kabwe wametoa onyo kwa Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho kuwa mkakati wowote mchafu wa kutaka kumkwamisha Zitto kugombea urais wakati ndiye anayekubalika utakigharimu chama hicho kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 wafuasi wa Zitto ambao wengi ni kutoka mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Kigoma, Dar es Salaam, Morogoro, Kagera, Tanga, Mtwara, Lindi, Singida, Pwani, Ruvuma, wanapinga mkakati wa Mbowe na Dr Slaa kutaka kumzuia endapo watathubutu kumzuia basi wataamua kuwapigia kura wagombea wa vyama vingine lakini si Chadema.

Zitto Kabwe inasemekana ndiye ambaye anaungwa mkono na karibu vijana wote wa nchi hii walioko ndani na nje ya Chadema, na hasa wanafunzi wa vyuo vikuu nchini, Itakumbukwa mwaka 2010 wakati wa kampeni za ubunge jimboni kwake Zitto Kabwe aliwaambia wapiga kura wake wampe muhula wa mwisho mwaka 2015 hatagombea tena ubunge bali atagombea urais ili aweze kuwatumikia Watanzania wote kwa ujumla wao.

1. Haile Mariam hakuwa Mfalme wa Ethiopia.Get your facts rights.
2.Zenawi was a despot, does Zitto want to be one too?
 
hao vijana wasomi wanaompigia kura slaa humu jf sio wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema taifa kwa hio hawana impact yeyote kama huamini muulize mbowe kilicho mkuta 2009 amshukuru mkwe wake mtei kuja kumuokoa.mwakani zitto anaanzisha oparesheni ondoa wachaga chadema utaona mziki wake.

www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/298724-kura-ya-maoni-zitto-vs-dr-slaa-29.html
 
Kwa tafsiri yako kura ya maoni lazima ishirikishe wananchi wote sio? hata uchaguzi mkuu hawashiriki watu wote itakuwa hii ya maoni?

Kamanda wangu kuwa kibaraka wa Magamba anakosa hoja kabisa.Haelewi kati ya Watanzania milioni 40 ni milioni 8 tu walipiga kura kwa hiyo anataka kusema mshindi hakuwa halali? Nataka nimfahamishe tu kwamba hii kura ya maoni si reflection ya CDM tu bali ya hali ya kura za urais zitakavyokuwa uchaguzi ujao.Kwa sababu mimi naamini kwenye hii kura ya maoni ni Dr Slaa wa CDM Vs CCM.
 
Hii mada ya kijinga ... imejaa upuuzi ... na umeonyesha upuuzi kwa kuingiza hoja ya kipuuzi ambayo hata kama inaukweli ungetakiwa kupeleka kwenye jukwaa husika la complaints

Ficha upumbafu wako ... By Invincible

Wewe ndizi tu ukimwagiwa maji unakuwa mtori...TAL
 
Kwa mujibu kutoka ndani ya Chadema katika harakati za kumkwamisha Zitto, Mbowe aliamua kufanya mabadiliko ya baraza la mawaziri kivuli yaliyolenga kuwaondoa katika wizara nyeti wale wote wanaomtii Zitto.
 
:flypig:
Wanabodi,
Onesha FACT zinazoonesha hivyo kwamba anakubalika zaidi tena na wanafunzi wa vyuo......dont be myopic.....naweza kusema amepoteza credibility japo ujenzi wake wa hoja na utafutaji wa mambo ni mzuri
Zitto Kabwe mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Chadema na Naibu Katibu Mkuu (Bara), Naibu Kiongozi Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma.

Kwa mujibu watu wa karibu wa Zitto Kabwe, yupo tayari kuishi na kufa akiwa kwenye mapambano kama ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa Ethiopia, Meles Zenawi, ambaye ni kipenzi chake alianza mapambano na aliyekuwa Mfalme wa Ethiopia Haile Mariamu, akiwa na umri wa miaka 19 na hatimaye kufanikisha mapambano yake ya kuingia Ikulu akiwa na umri wa miaka 36.

Wafuasi wa Zitto Kabwe wametoa onyo kwa Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho kuwa mkakati wowote mchafu wa kutaka kumkwamisha Zitto kugombea urais wakati ndiye anayekubalika utakigharimu chama hicho kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 wafuasi wa Zitto ambao wengi ni kutoka mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Kigoma, Dar es Salaam, Morogoro, Kagera, Tanga, Mtwara, Lindi, Singida, Pwani, Ruvuma, wanapinga mkakati wa Mbowe na Dr Slaa kutaka kumzuia endapo watathubutu kumzuia basi wataamua kuwapigia kura wagombea wa vyama vingine lakini si Chadema.

Zitto Kabwe inasemekana ndiye ambaye anaungwa mkono na karibu vijana wote wa nchi hii walioko ndani na nje ya Chadema, na hasa wanafunzi wa vyuo vikuu nchini, Itakumbukwa mwaka 2010 wakati wa kampeni za ubunge jimboni kwake Zitto Kabwe aliwaambia wapiga kura wake wampe muhula wa mwisho mwaka 2015 hatagombea tena ubunge bali atagombea urais ili aweze kuwatumikia Watanzania wote kwa ujumla wao.
 
Kwa mujibu kutoka ndani ya Chademe katika harakati za kumkwamisha Zitto, Mbowe aliamua kufanya mabadiliko ya baraza la mawaziri kivuli yaliyolenga kuwaondoa katika wizara nyeti wale wote wanaomtii Zitto.
Hicho Chademe ni chama chenu cha wahudhuria Hitma nini?
 
Kumbe ni wafuasi wa Zitto!!! Sio wa Chadema!

Mkuu, Zitto Kabwe na mbunge wa Mpanda Said Arfi wapo kwenye mapambano ya wazi ya kukiondoa chama chao kutoka katika kupigania maslahi ya kaskazini na kuwa watetezi wa maslahi ya mikoa yote ya Tanzania Bara na Visiwani.
 
Chama Yuko USA anatafuna kodi kwa kwenda mbele wewe unabugia Gahawa na kashata kwa hoja za kutunga kwenye vijiwe vya sherehe za Hitma

Mie napenda sana gahawa na kashata na saizi nipo kijiweni karibu sana Kamanda, punguza madude ya kwa pele.
 
Mkuu, Zitto Kabwe na mbunge wa Mpanda Said Arfi wapo kwenye mapambano ya wazi ya kukiondoa chama chao kutoka katika kupigania maslahi ya kaskazini na kuwa watetezi wa maslahi ya mikoa yote ya Tanzania Bara na Visiwani.

www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/298724-kura-ya-maoni-zitto-vs-dr-slaa-29.html
 
Mie napenda sana gahawa na kashata na saizi nipo kijiweni karibu sana Kamanda, punguza madude ya kwa pele.

www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/298724-kura-ya-maoni-zitto-vs-dr-slaa-29.html
 
Kwa mujibu kutoka ndani ya Chadema katika harakati za kumkwamisha Zitto, Mbowe aliamua kufanya mabadiliko ya baraza la mawaziri kivuli yaliyolenga kuwaondoa katika wizara nyeti wale wote wanaomtii Zitto.

www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/298724-kura-ya-maoni-zitto-vs-dr-slaa-29.html
 
Mimi mwenyewe ni kijana. Nani kakwambia kwamba sisi vijana we are in support of Zitto to became a president. Kwa sasa jua chama chochote kitachoweka kijana iwe cha CCM au upinzani kitapoteza kura maradufu. Sikuzote binadamu hujifunza kutokana na mifano hai. Kikwete mwaka 2005 alichaguliwa kwa kura nyingi SANA kwa sababu alionekana nikijana mwenzetu despite of his age, hadi mimi I was in support of him. But miaka ilipozidi tulipoteza imani SANA kwake natumekuwa tukipoteza imani naye SANA. Hi ndiyo sababu kubwa moja wapo iliyosababisha asipatekula zakutosha 2010. Tumesha gudundua kuwa vijana niwarafi wa madaraka. Sikuzote sisi vijana kama Zitto tunamtindo wakujisikia kilakitu tunaweza kwakutumia fikra zetu bila uharisia. Kikwetu kusema Mwanza ataifanya kama Miami alikuwa kweli naniya hiyo ndani ya kichwa chake but in reality it's something that was impossible. Tumejifunza mengi SANA kwaviongozi vijana. Kumpa urahisi kijana nisawa nakumuajili kijana kuwa money safe operator wa benki, hapo unategemea nini? Najua kuna vijana ndani ya CCM na CDM mnaoutaka uraisi lakini jueni kwa sasa sela ya ujana kwenye kiti cha URAISI haitofanya kazi tena. Kama CCM INATAKA KUJINASUA KWENYE HI HALI NGUMU YA KISIASA LABDA MCHAGUE MUHINDI mtakuwa mmejihakikishia kupata kura zote za wahindi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom