Mwana Mpotevu
Platinum Member
- Sep 7, 2011
- 3,295
- 2,500
The Boss pamoja na kukugongea 'like', lakini umenikuna sana na ukweli huu katika RED ambao wengi hawaujui. Zenawi alikuwa 'silent dictator' na amefanya mabaya sana nchini mwake ingawa ZZK anamtukuza. Namshangaa sana ZZK kama anataka kuwa dikteta kama Zenawi in future, Thanx The Boss!Iwe kweli au si kweli
kitendo cha Zitto kumlilia sana Meles Zenawi
ni kitendo cha kushangaza mno...
Zenawi alikuwa dikteta period...
Zitto amekuwa Zitto kwa sababu ya demokrasia na uhuru ambao wapinzani wa Zenawi
hawana.......
Sasa Zitto ame over look yoote hayo na kujifanya 'analia saana' kwa kifo cha dikteta wa Ethiopia
tena wazi wazi bila kificho.......ni very alarming na very 'ugly ' to see that....
Zitto deep down ni mwana demokrasia?
au deep down ni Dikteta kama Zenawi,Kagame na wengine?
What if akawa Rais na kuwa Dikteta tena bila 'akili za kina Kagame'???
akawa na akili za JK na udikteta juu?????????
Last edited by a moderator: