johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,978
- 141,994
Huo ndio Ukweli Mchungu hata kwa Zitto Kabwe mwenyewe.
Shujaa Magufuli alimchukulia Zitto Kabwe kama Petro kwenye siasa za Tanzania kutokana na Ujasiri wa Kijana huyo wa Kigoma anapoweka pembeni Udini na Ubumbuli.
Siri kubwa ya Magufuli na Maalim Seif ya lile Azimio la Chato anayo Zitto Kabwe, Othman Masoud na Dr Hussein Mwinyi.
Pumzika kwa Amani Shujaa Magufuli
Licha ya kumkana mara 3 lakini Yesu alipofufuka aliagiza " Waambieni Wanafunzi wangu PAMOJA na Petro watangulie Galilaya"