Babuu blessed
JF-Expert Member
- Oct 14, 2010
- 1,362
- 490
ni touch screen.ni sipiyu, monita, kibodi, zote pamoja, ina tumia betrii una chaji kama simu ni ndogo kama size ya daftari
ni touch screen.ni sipiyu, monita, kibodi, zote pamoja, ina tumia betrii una chaji kama simu ni ndogo kama size ya daftari
Zitto Kabwe wa CHADEMA ambaye anasoma bajeti mbadala ya upinzani sasa hivi Bungeni amekuwa Mbunge wa kwanza wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutumia teknolojia ya kisasa kufanya presentation kwenye Bunge kwa kutumia kifaa cha iPad kusoma hotuba yake.
Amemshinda Waziri wa Fedha, Mustafa Mkulo, aliyetumia makaratasi na wabunge wengine wote. Nampa hongera Zitto kwa kwenda sambamba na taknolojia ya kisasa na kupunguza matumizi ya karatasi hivyo kuokoa miti isiendelee kukatwa.
Katika zama hizi za sayansi na teknologia, na hasa pale viongozi wetu wanaposisitiza matumizi ya teknohama, Zitto kafanya vizuri kuonyesha teknolojia inaweza kutumika vipi.
Pia kama alivyosema ndugu Sikonge, kutumia teknolijia kutalinda misitu yetu hivyo basi kuhifadhi vyanzo vya maji na ubora wa maji kwa ujumla (kutokana na mmomonyoko wa udongo) habitat na biodiversity; na pia kupunguza athari za mabadiliko ya tabia nchi.
Zitto ndio mwenye akili kwa wanaMagwanda wote!
bora umelitambua mwenye akili kuwa katika kundi lawanaotaka kujua,kuliko juha kuongoza maamuma ! mkongo wa taifa kuunganishwa na shule za msingi ndoto nyingine bwana HAKI ELIMU!Zitto ndio mwenye akili kwa wanaMagwanda wote!
Nasikia John Komba yeye anatumia IPHONEZitto Kabwe wa CHADEMA ambaye anasoma bajeti mbadala ya upinzani sasa hivi Bungeni amekuwa Mbunge wa kwanza wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutumia teknolojia ya kisasa kufanya presentation kwenye Bunge kwa kutumia kifaa cha iPad kusoma hotuba yake.
Amemshinda Waziri wa Fedha, Mustafa Mkulo, aliyetumia makaratasi na wabunge wengine wote. Nampa hongera Zitto kwa kwenda sambamba na taknolojia ya kisasa na kupunguza matumizi ya karatasi hivyo kuokoa miti isiendelee kukatwa.
hivi nini tofauti ya ipad na laptop kiutendaji?
]Nasikia John Komba yeye anatumia IPHONE
teh teh huyu jamaa sindiye yule aliulizwa mbona uzungumzi mambo ya wananch wa jimbo lako,ili nawenyewe wasome habari za mbunge wao! Jamaa akadai wananch wake uwa awapati magazeti kwa muda muafaka wala mawasiliano ya tv na radio hayapatikani kwa urahsi ndio maana sioni umuhimu wa kuwazungumzia kwahiyo nibora niende nifanye mikutano ya ana kwa ana.mhhh iphone au ipod!Nasikia John Komba yeye anatumia IPHONE