Zitto Kabwe mbunge wa kwanza kutumia iPad Bungeni

Sidhani Kama kuna waziri wa fedha popote Duniani ambaye amesoma Budget kwa iPad, labda tungejifunza angalau kwa juu juu maana na historia ya Bajeti kabla kuzungumza Waziri naye afanye hivyo. Si secretary of treasure wa USA (Timothy Gathner) wala Chancellor of exchequer wa UK (Goerge Osborne) waliofanya hivyo, kuna sababu ya msingi (traditionally) kwamba bajeti hupelekwa bungeni kwenye ule mkoba maalum.
 
mKULO ANGETUMIA IPAD angeimwagia maji maana alikunywa maji siku hiyo kama vile mtu mwenye hangover ya chupa la konyagi!!!!!!!!!!!!!!
 
amenikosha kweli kweli utadhani alikuwa amempania huyo mkullo yaani amwache aende na makaratasi atakuja kumfunika na ipad
 
lakini si mara ya kwanza kuwaona wakienda na wakati nakumbuka dr. slaa alipokuwa hospitalini alipovunjika mkono alikuwa anaperusi kwenye internet na laptop yake yaani ni mchapakazi haswa
 
Back
Top Bottom