magamba wapi????
yataiga na kila mmoja atakuja na yake
hivi kanuni za bunge zinahurusukweli hichi kifaa? au spika hana muongozi so anaogopa ataumbuka?
Angalia bunge now utaifahamu!iPad ndiyo nini jamani??
Idiocracy....by you
Wengine tumezaliwa kabla ya komputer (BBC) tuambie hiyo ipad ni kifaa gani!
TBC walivyo-na wivu wamepachika Ticker tape(ipo pale STAGNANT) ambayo inafanya tusigundue ni brand gani kama ni I-pad au ni pad ya aina nyingine...
Wee Marin na Zacharia na wewe Chamlomo... TOENI SASAHIVI wananchi waone mapinduzi ya kweli bungeni...
SPIKA atauliza Zitto hivi hako kakidude ni ka nini kako kama ka kompyuta
Leo mbavu zangu, mimi nilipoona longolongo za TBC nikahamia Star TV wao walikuwa hadi wanaizoom, yaaani touch screen mpaka raha, halafu Zitto amerock ile mbaya magamba hawajaamini.Hiyo presentation yaani ni supurb aisee, dogo anajiamini mbaya.Hawa ndo walitakiwa wawe serikali kwa kweli.
So...?
Hii ni tec kwa wote siyo yake pekee.so sifa za nini?