Zitto Kabwe mbunge wa kwanza kutumia iPad Bungeni

Fareed

JF-Expert Member
Apr 13, 2010
328
135
Zitto Kabwe wa CHADEMA ambaye anasoma bajeti mbadala ya upinzani sasa hivi Bungeni amekuwa Mbunge wa kwanza wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutumia teknolojia ya kisasa kufanya presentation kwenye Bunge kwa kutumia kifaa cha iPad kusoma hotuba yake.

Amemshinda Waziri wa Fedha, Mustafa Mkulo, aliyetumia makaratasi na wabunge wengine wote. Nampa hongera Zitto kwa kwenda sambamba na taknolojia ya kisasa na kupunguza matumizi ya karatasi hivyo kuokoa miti isiendelee kukatwa.
 
hivi kanuni za bunge zinahurusukweli hichi kifaa? au spika hana muongozi so anaogopa ataumbuka?
 
Zitto Kabwe wa CHADEMA ambaye anasoma bajeti mbadala ya upinzani sasa hivi Bungeni amekuwa Mbunge wa kwanza wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutumia teknolojia ya kisasa kufanya presentation kwenye Bunge kwa kutumia kifaa cha iPad kusoma hotuba yake.

Amemshinda Waziri wa Fedha, Mustafa Mkulo, aliyetumia makaratasi na wabunge wengine wote. Nampa hongera Zitto kwa kwenda sambamba na taknolojia ya kisasa na kupunguza matumizi ya karatasi hivyo kuokoa miti isiendelee kukatwa.

he is always the difference
 
Waosha vinywa wa CCM watakuja na kusema hii ilikuwa katika Ilani ya chama Tawala kuondokana na mfumo wa makaratasi na kuhamia kwenye mfumo wa teknolojia hivyo sasa Zitto kawaibia huu mfumo
 
ah aha ha tena wa ccm ndiyo watakuwa makini kusikiliza ila ccm wamechukua umeme wao na wamejua leo waziri wetu wa fedha anasoma bajeti wameamua kuchukua
 
Si waweke kabisa Projectors ambazo zitakuwa zinaonyesha maandishi ukutani na wakati jamaa anasoma, na wao wanafuatilia. Akimaliza, anaiweka sehemu na kila mbunge au waziri anaweza kuja na USB au Card yoyote na kuivuta.

Nakubaliana na mleta thread kuwa makaratasi mengi sana yataokolewa na hiyo kupelekea miti kibao isikatwe..........

Je alikuwa IPAD au alitumia PAD? Maana kuna watengenezaji wengi sana sasa hivi. Isije kuwa ile ya Kizamani kwamba kila dawa ya meno ni Colgate, viatu ni KIWI.............. Wa Finish wao wanasema kila Mobilephone ni NOKIA :)
 
Back
Top Bottom