500millions zilizochangishwa zilitumikaje? Maofisa waliondaa bajeti na kwenda bungeni kuiwasilisha hawakuchukua imprest ktk idara zao?
we, bunge linanifurahisha vile! Wabunge wengi wameunga hoja binafsi ya zitto kuhusu kujadili report ya mkaguzi mkuu wa serikali iliyomsafisha jairo.
Naibu spika hakumumunya maneno, hakuleta siasa yoyote, akakubaliana na wabunge kuunga mkono hoja ya zitto. Kuna yule mzee wa miongozo bungeni (jina limenitoka) ndie alikuwa karibu kabisa na kuharibu hoja ya zitto kwa visheria na vikanuni vyake visivyo na mbele na nyuma.
Ah, nimemkumbuka kwa jina moja tu, lukuvi. Ukweli upo wazi: Kama jairo ni msafi basi bunge, hasa hasa beatrice shelukindo amwombe radhi jairo.
Na wabunge inaonekana hawapo tayari kusurrender kwa serikali -- mpaka report iletwe bungeni ukaguzi ufanyike ujadiliwe na wajiridhishe. Very fast developments on this public-government-perliament saga.
Mh. @zittokabwe anaomba #BungeTz lisimamishe shughuli zote za serikali maana nafasi ya bunge imepokwa!Makofi mengi sana. Kumekuchaaaa #Jairo
Anayetakiwa kung'atuka ni Mhe. Pinda na Baraza lote la Mawaziri kwa kutojua kwamba ni KAWAIDA KWA IDARA HUSIKA KUCHANGIA FEDHA KUFANIKISHA JAMBO.
<br />mkuu huwa nakuaminiaga sana unapoleta taarifa zako hapa kwa kina ila leo umechemka, em jipange na ufafanue vizuri watu waelewe
Dah natamani nitoroke kazini nikaone hili la bungeni..!
Ila Lukuvi nae anatumia masaburi kutoa hoja sasa hoja nzito kama hii anataka kuizima
Chonde chonde Mods ungeni hizi threads za Jairo bungeni