Zitto: Hali ya uchumi ya watu wetu hapa Tanzania ni mbaya sana

Pamoja na yote kwanza kabisa nikupongeze Zitto kwa kuweza kuonesha kwa mifano nini vyama vya upinzani mnatakaiwa kufanya....Chadema wajifunze kutoka kwako
 
Pamoja na yote kwanza kabisa nikupongeze Zitto kwa kuweza kuonesha kwa mifano nini vyama vya upinzani mnatakaiwa kufanya....Chadema wajifunze kutoka kwako
ACT ni CCM-B wanapotezea tuu.
Mgwira RC Moshi.
Prof Mkumbo KMkuu Maji.
CHADEMA hairuhusiwi kufanya ziara kama hizo.
Watapigwa risasi!
 
Zitto Kuna mwanasiasa alishawahi kututahadharisha hapo awali kwa kusema "Usimuamini mwanasiasa hata mimi mwenyewe"
Simkumbuki jina ila nakumbuka ujumbe wake tu. Ntakapomkumbuka ntarudi kuwaambia.
 
1) Barabara zote TANROADS na Tarura wanafanya labda Barabara za vichochoro, au kwenda kwenye SHAMBA LA MTU binafsi.
(2) mvua zimeanza kunyesha toka mwezi wa Tisa mwaka Jana watu wameshaivisha Mahindi na kulima tena awamu ya Pili njaa itoke wapi kama siyo uzembe wa MTU binafsi, asiyefanya kazi asile muda wa kupiga dili na michongo umeisha.
Kwa hiyo mkipiga dili uchumi unapanda na msipopiga dili uchumi unadorora, inabidi tuwe na theories tofauti za uchumi kwa Tanzania.
 
nimerudia tena kusoma mada yako .....mkuu hii topic ni nzuri ila ni ndefu mno,na humu km unajua watu hawasomi vitu virefu,ungegawanya na kuleta vitu kidogo kidogo ungepata ushirikiano Zaidi,anyway,hongera kwa kuwa na mipango mizuri,mtu akisoma yote ataona dedication yenu ,labda cha kuongeza mkimaliza kata zenu,endeni na majimbo mengine kuongeza wapiga kura kwa strategy hio hio mliyoianza kwa majimbo yenu,mna muda mpaka 2020 kuwa na ongezeko la wapiga kura wenu....

good point.....
 
Tupo kwenye era ya ku'work from home', hiyo ndio trend ya dunia kwa sasa, majengo makubwa yanayoglitter sio issue tena.
Utachanganya lugha ili na wewe "uonekane" lakini ukweli ndio huo. Jengo la ufipa linahitaji angalau kupakwa rangi, ha ha ha.
 
Zitto, hata yale makapuku ya Lumumba yaliyoko huku yatabisha tu kwakusema 'uchumi ni mzuri sana na hakuna tatizo'.
 
Hakuna kiongozi wa Chadema anaweza kuandika ripoti kama hii mbali na kukaa na kulalamika.

Inasaidia nini kuandika wakati unajua hata ukiandika kwa wenye mamlaka ni useless ?, halafu kwanini uingize cdm kwenye thread hii badala ya kushauri wenye mamla kufanyia kazi hayo yaliyobainishwa na ACT?. Hii chuki yako dhidi ya cdm siyo ya kwako peke yako bali hadi wale role model wako, chama chako na viongozi wa chama chako.
 
Kajaza porojo atoe mfano wa ujiji ambako ACT wazalendo inasimamia halmashauri nini cha mfano kinachoonekana walichofanya hasa kwenye kipengele B kinachozungumzia hali ya maisha ya wananchi .Aongelee ACT ilivyotoa solution kwa wana ujiji kubadilisha hali zao za maisha
Wewe ni sawa na kicheche..una mbio kui gia shimoni. Waambie mazwazwa wako kwamba kodi za Halmashauri zirudi kwa halmashauri.
 
Back
Top Bottom