Zitto awataja mafisadi wa mabilioni ya Uswisi!

Hofu yangu ni kwamba kama hizo document bado hajashare na mtu, basi usalama wake unaweza kuwa hatarini sana. Najua hao walio mbioni kutajwa ni watu wenye influence kubwa kwenye majeshi ya nchi na hata usalama wa taifa. Kwahiyo hawashindwi kumfanya chochote, na bado wakawa na imani kwamba litapita kama upepo. Kwa upande mwingine naona kama kwa usalama wake Zito alipaswa kuyataja hayo majina. Kwa kutokutaja amejiweka pabaya zaidi kiusalama.
Ni kweli mkuu lakini nijuavyo mimi Mh.Zitto pia alihakikishiwa usalama wake kwa kuwa zile info hazijatoka mbali sana na kwa wanaCCM so he will be safe!
 
Kama kataja basi kataja dagaa. Nadhani kama wajumbe wenzake wamo naye basi yumo sema hawezi kujitaja. Ila naamini ipo siku watatajwa tu na kufahamika ingawa watanzania hawatawafanya kitu kwa vile wamejiruhusu kuwekwa rehani wakichuuzwa na kila jizi kwenye soko na ufisadi.
 
Ni kweli mkuu lakini nijuavyo mimi Mh.Zitto pia alihakikishiwa usalama wake kwa kuwa zile info hazijatoka mbali sana na kwa wanaCCM so he will be safe!
Tuombe Mungu mambo ya pite salama. Maana hata kama ni wanaCCM waliompa hizo info, bado kwa sasa yeye Zitto ndiyo anabaki kuwa target kubwa. Lets hope no harm will happen to him.
 
mi mpaka awataje, maana kasema anawajua, kwa nini asaidiwe? baada ya yeye kutaja wengine wanaofahamu wanaweza kuongezea au kurekebisha. kuongea bila evidence inaweza ikawa ni technic ya kuwin akili za watu, aonekane shupavu na anafaaa kuwa kiongozi. baadae wenzenu wakikutana wanakula tano- umejiongezea point, na kumbe hata hakuna issue ya namna hiyo. awataje na ikiwezekana atoe more details, tutaamini
Kiu yetu sote ilikuwa kuona majina yakitajwa ya wakwapuaji wote bila kificho,namna walivyokwapua na akaunti zilizotumika kufanikishia issue hiyo lakini aliweka ili bunge pia lifanye kazi yake japo bado naamini ni mpango wa watu fulani kwa interest fulani ili kufanikisha mambo yao.Kwa jambo kama hili na unyeti wake na hasa kuhusisha baadhi ya watu walioko kwenye idara nyeti zikiwemo Majeshi na hata usalama wa Taifa ni dhahiri hili ni target project,japo wengine waweza kutumia kama mradi maana wanasiasa wetu kwa special interest hawajambo...!
 
Bado imekaa kihisia na kimajungu zaidi. Bado sijaona aliowataja Zitto.

Hoja yako kama utambulisho wako= zima moto,gamba wa magamba huna tofauti na rais wako na waziri wake mkuu wanaotaka majina wakati wanayo unafiki tu.
 
Ukweli ni kwamba Zitto amewataja mafisadi wa mabilioni ya Uswiss, kwa kutumia busara yeye kama mbunge. Upande wa jeshi, fedha kwenye account za nje za viongozi hutolewa wakati wa manunuzi ya silaha na vifaa vya jeshi. Upande wa mafuta, makampuni ya mafuta hutozwa kiwango kidogo kulipia serikalini "exploration blocks" wanazopewa, kwa masharti kwamba waweke fedha kwenye account za nje za viongozi wa serikali ambao majina yao kampuni hizo hupewa.

Kwa kifupi basi, hizi hela zimeibiwa toka serikalini.Tusimlaumu Zitto kwa kutotaja majina, na sie tumsaidie kumalizia, kwani ameshatutafunia kila kitu. Hebu malizia, mie naanza;

1. Mawaziri Wakuu, 2003-2010; Sumaye, Lowasa
2. Mawaziri wa Nishati na Madini - 2003-2010; Ngeleja, Karamagi, Msabaha
3. Mawaziri Wizara wa Ulinzi 2003-2010; Kapuya,
4. Mkurugenzi Mkuu wa TPDC 2003-2010; Yona Killagane
5. Wenyeviti wa Bodi ya TPDC - 2003 - 2010; Robert Mboma
6. Makatibu Mkuu wa Wizara ya Nishati 2003-2010; Patrick Rutabanzibwa, Arthur Mwakapugi
7. Makatibu Mkuu Wizara ya Ulinzi 2003-2010;
8. Wakuu wa Majeshi, 2003-2010; Robert Mboma,
9. Makamishna wa Nishati 2003-2010; Prosper Victus, Mrindoko
10. Wanasheria wa serikali, 2003-2010; Chenge,
11. Wajumbe wa Board ya TPDC, 2003-2010; Faida Bakari, Gosbert Blandes, Mudhihir Mudhihir, Emmanuel Ole Naiko, William Haji, Maduka Kessy, Prosper Victus, Mwalim A Mwalim, Ngosha Magonya

Source: Gazeti la Mwananchi, 9/11/2012: Kichwa cha habari; HOJA YA ZITTO YAIBUA MAJADALA MKALI,WABUNGE CCM WAIUNGA MKONO

Ni mtizamo tu
 
Najiuliza, ina maana hakuna wana JF walio na interest ya kumalizia list kulingana na nafasi Zitto alizotaja, bali wote tunang'ang'ania Zitto ndio amalizie kutaja kila kitu?

Mbona inaonekana tunakuwa wepesi wa kuwaambia wengine watutolee viazi kutoka motoni ili tule? Hii vita ni ya Zitto peke yake?
 
Ukweli ni kwamba Zitto amewataja mafisadi wa mabilioni ya Uswiss, kwa kutumia busara yeye kama mbunge. Upande wa jeshi, fedha kwenye account za nje za viongozi hutolewa wakati wa manunuzi ya silaha na vifaa vya jeshi. Upande wa mafuta, makampuni ya mafuta hutozwa kiwango kidogo kulipia serikalini "exploration blocks" wanazopewa, kwa masharti kwamba waweke fedha kwenye account za nje za viongozi wa serikali ambao majina yao kampuni hizo hupewa.

Kwa kifupi basi, hizi hela zimeibiwa toka serikalini.Tusimlaumu Zitto kwa kutotaja majina, na sie tumsaidie kumalizia, kwani ameshatutafunia kila kitu. Hebu malizia, mie naanza; (List itakuwa updated kadiri wana JF wanavyotoa majina ya nani alikuwa kwenye nafasi zilizoorodheshwa katika kipindi kilichotajwa na Zitto)

Watu waliokuwa kwenye hizi nafasi kipindi kilichotajwa wamesemwa kuwa na fedha katika akaunti za Uswisi

1. Mawaziri Wakuu, 2003-2010; Sumaye, Lowasa
2. Mawaziri wa Nishati na Madini - 2003-2010; Ngeleja, Karamagi, Msabaha
3. Mawaziri Wizara wa Ulinzi 2003-2010; Kapuya,
4. Mkurugenzi Mkuu wa TPDC 2003-2010; Yona Killagane
5. Wenyeviti wa Bodi ya TPDC - 2003 - 2010; Robert Mboma
6. Makatibu Mkuu wa Wizara ya Nishati 2003-2010; Patrick Rutabanzibwa, Arthur Mwakapugi
7. Makatibu Mkuu Wizara ya Ulinzi 2003-2010;
8. Wakuu wa Majeshi, 2003-2010; Robert Mboma,
9. Makamishna wa Nishati 2003-2010; Prosper Victus, Mrindoko
10. Wanasheria wa serikali, 2003-2010; Chenge,
11. Wajumbe wa Board ya TPDC, 2003-2010; Faida Bakari, Gosbert Blandes, Mudhihir Mudhihir, Emmanuel Ole Naiko, William Haji, Maduka Kessy, Prosper Victus, Mwalim A Mwalim, Ngosha Magonya

Source: Gazeti la Mwananchi, 9/11/2012: Kichwa cha habari; HOJA YA ZITTO YAIBUA MAJADALA MKALI,WABUNGE CCM WAIUNGA MKONO

Kakata MAJINA MENGINE???

Kwanini MAMA MKAPA au MKAPA wasiwepo? Sasa HELA za MAJENGO yote ya NHC waliyoyachukua zimeenda WAPI?

Rais KIKWETE na RIDHWANi hawapo? Sasa ni kwanini Watu ndani ya MADARAKA yao WANACHOTA PESA na WAO hawapati CHOCHOTE? HAIWEZEKANI... Wangesha wafukuza KAZI...
 
Ukweli ni kwamba Zitto amewataja mafisadi wa mabilioni ya Uswiss, kwa kutumia busara yeye kama mbunge. Upande wa jeshi, fedha kwenye account za nje za viongozi hutolewa wakati wa manunuzi ya silaha na vifaa vya jeshi. Upande wa mafuta, makampuni ya mafuta hutozwa kiwango kidogo kulipia serikalini "exploration blocks" wanazopewa, kwa masharti kwamba waweke fedha kwenye account za nje za viongozi wa serikali ambao majina yao kampuni hizo hupewa.

Kwa kifupi basi, hizi hela zimeibiwa toka serikalini.Tusimlaumu Zitto kwa kutotaja majina, na sie tumsaidie kumalizia, kwani ameshatutafunia kila kitu. Hebu malizia, mie naanza; (List itakuwa updated kadiri wana JF wanavyotoa majina ya nani alikuwa kwenye nafasi zilizoorodheshwa katika kipindi kilichotajwa na Zitto)

Watu waliokuwa kwenye hizi nafasi kipindi kilichotajwa wamesemwa kuwa na fedha katika akaunti za Uswisi

1. Mawaziri Wakuu, 2003-2010; Sumaye, Lowasa
2. Mawaziri wa Nishati na Madini - 2003-2010; Ngeleja, Karamagi, Msabaha
3. Mawaziri Wizara wa Ulinzi 2003-2010; Kapuya,
4. Mkurugenzi Mkuu wa TPDC 2003-2010; Yona Killagane
5. Wenyeviti wa Bodi ya TPDC - 2003 - 2010; Robert Mboma
6. Makatibu Mkuu wa Wizara ya Nishati 2003-2010; Patrick Rutabanzibwa, Arthur Mwakapugi
7. Makatibu Mkuu Wizara ya Ulinzi 2003-2010;
8. Wakuu wa Majeshi, 2003-2010; Robert Mboma,
9. Makamishna wa Nishati 2003-2010; Prosper Victus, Mrindoko
10. Wanasheria wa serikali, 2003-2010; Chenge,
11. Wajumbe wa Board ya TPDC, 2003-2010; Faida Bakari, Gosbert Blandes, Mudhihir Mudhihir, Emmanuel Ole Naiko, William Haji, Maduka Kessy, Prosper Victus, Mwalim A Mwalim, Ngosha Magonya

Source: Gazeti la Mwananchi, 9/11/2012: Kichwa cha habari; HOJA YA ZITTO YAIBUA MAJADALA MKALI,WABUNGE CCM WAIUNGA MKONO
Mnamuonea patrick Rutabanzibwa I know him kichwa mpaka mguu siyo fisadi .patrick hats nyumba hajajenga alikuwa anakaa magorofa ya karibia na leaders club pale kwa muda mrefu .
 
Huu ni usanii tu ndani ya sanaa ya maonesho bungeni.Kinacho nikera serikali hii ya chama hakuna jipya kwa vile hata wabunge waliokuwa wanatuumiwa kwa rushwa serikali hii ikiongozwa na makada wake spika mbovu na mwanasheria mkuu wamewalinda mafisadi hao kwa kuwasafisha bado tunaendelea hata majina yakitajwa serikali hii haitochukua hatua yoyote ile.Serikali kuto chukua hatua kutakigharimu chama na serikali huko mbele.AMAKWELI "SIKIO LA KUFA..."Tutafika tumechoka.
 
naziunga mkono jitihada zote za kujenga taifa langu tanzania, ikiwemo hii ya kuwataja mafisadi....ushauli wangu ni kwamba neno fisadi limegeuka kuwa ni sifa nzuri badala ya kuwa kitu kibaya.. kuna haja ya kutafuta neno mbadala la kumuumiza atakae husika....
 
Mnamuonea patrick Rutabanzibwa I know him kichwa mpaka mguu siyo fisadi .patrick hats nyumba hajajenga alikuwa anakaa magorofa ya karibia na leaders club pale kwa muda mrefu .

Mkuu, nakubaliana nawe, kwa kuwa namfahamu sana Patrick Rutabanzibwa. Patrick hakuhongeka mradi wa umeme wa IPTL, japo karibu watendaji karibu wote muhimu wizara ya nishati walihongwa, tena wengine dola 3000 tu ili kupitisha huo mradi. Hata hivyo, ikiwa Zitto amesema makatibu wakuu wa Wizara ya Nishati kati ya 2003-2010 wameweka fedha Uswisi, na Patrick alikuwa katibu mkuu pale Nishati kipindi hicho, basi hatuna budi kumweka kwenye hii list ya Zitto. Labda ni suala la "udhaniaye siye ndiye" kwa upande wa Patrick.
 
Back
Top Bottom