Zitto awataja mafisadi wa mabilioni ya Uswisi!

kwa hiyo controller alikuwa anacontrol nini sasa?
You tell me man.

Rais amepeleka wapi 1.5 trillion?

Rais kaamua kuwa treasurer mwenyewe wala hakulazimishwa. Atueleze tu watanzania ni wapi kapeleka hizo fedha.

Jingalao, wewe nawe ni mtanzania kama mimi. Ina maana hili swala halikuumizi moyoni kweli?
 
Kuna Serikali duniani isiyopoteza mapato?
Kuna Serikali au taasisi duniani inayoweza kuhakikiwa na kuscore 100% ?

Nini maana ya audit?Ukiacha usiasa na ushabiki wa udaku tutaongea points ....na ninaweza kukuonesha upotevu mkubwa zaidi ya huo tunaodanganywa nao....Swali ni je kwa nini taratibu hizo zikiukwe?
Swali ni je taratibu hizo sio vikwazo vya maendeleo?

Ndio maana ripoti ile inafaa kujadiliwa na kamati ili kuja na key areas za kufanyia mabadiliko.

Kumbuka trend ya uwepo wa hati chafu na zisizoridhisha katika halmashauri zetu ...hali ilikuwa mbaya but leo hii ilibaki halmashauri moja tu ya Kigoma Ujiji ambayo pamoja na kuelekezwa mara kwa mara bado imeendelea kuharibu kwa miaka mitatu mfululizo...kwa nini hatuongelei haya?
 
Mambo ya kusaka kiki kwa kusingizia ufisadi yalishapitwa na wakati sasa ni muda wa actions tu
 
Chief, kufanya kosa sio kosa ila kurudia kosa ndio kosa! Yes serikali kama taasisi yoyote ile lazima iwe na faida + hasara lakini kinachoumiza kwenye hii hoja ya 1.5 trillion ni upotevu huu umefanyika just within 2 years ya utawala wa serikali inayoaminika kwamba ipo kwa ajili ya kulinda rasilimali za wanyonge.

Tuendelee kuuzunguka mbuyu lakini tukumbuke [HASHTAG]#YingYang[/HASHTAG]. ....what goes around must come back around, sisi tupo tunaendelea kuwasikiliza!
 
...kwa nini hatuongelei haya?

Safi, kumbe unaweza reason vizuri.

Nakubaliana na wewe kwenye hoja zako. Hakuna serikali inaweza score 100%. Lakini what is the minimum best score? And what is our score?

Furthermore, huwezi zuia watu kuongea kile wanataka.

Pia, rais amekuwa akipambanua kama mchukia ufisadi. Je, huu upotevu wa fedha 1.5 trillion unaakisi nini juu ya utawala wake? Is he true to his word or is he deceiving us?

Kumbuka, macho mengi yanamtazama rais kuliko hizo halmashauri.

The cat is outside the bag. He's not coming out clean on this. Ndo maana kashikiwa bango kila mahali.
 
Back
Top Bottom