Zitto awataja mafisadi wa mabilioni ya Uswisi!

Kwenye hili la mapesa ya uswisi nimeona Mh.Zitto akiwa makini japo serikali ya CCm haiwezi kukubali kuumbuka na kwakweli tuna safari ndefu ili kuifikia Tanzania tuitakayo.......!!!!Big up mh.Zitto na upinzani bungeni.
NAKUUNGA MKONO NDUGU YANGU, THE BETTER TOMMOROW YA WATOTO WETU NDIO IMEKUFA KABISAA. Kenya , Botswana, Lethoto, Ivory Cost wametuacha sana kimaendeleo. Hii yote ni ghambi ya TAKURU ! uSIOMBE KUWAPA UONGOZI NA DHAMANA WATU WALIOONJA CHUKI YA KIKOMUNISTI YA KUMTESSA MWANANCHI MWENZIWE. hUKO cuba , kOREA kASKAZINI NA urussi, WNANCHI WAO WANAKIONA CHA MOTO. Sasa tufanye nini , maana hata tukitaka kuletwa kwa adhabu ya kifo, WAlioba na Salim Salim sikui kama wataingiza hiyo Hoja. Tukitaka TAKURU iwe huru utasikia kipingamizi kutoka kwa hao hao Mafisadi, Ukitaka mahakam kuu iwe huru, utakuta kipingamizi kutoka kwa wabunge. emusoke, emusoke twahelela! Mungu wangu mungu wangu tunakufaaaaaa! Nzambe, mtu mwindo wa kutanzania, akulala wapiii? mungu mtu mweusi wa tanznaia kakukosea nini? God, am crying to the top of my lung, hear my prayers!
 
Sawa Zitto ila fanya kama kuwafungua macho waTZ usifanye kama karata ya kutaka urais. Hii kutaka taka urais inatuboa sana.

Mkuu Mvumbuzi tuko pamoja,mimi nampenda mtu anapokuwa mkweli na hasukumwi na tamaa binfsi.Hivyo kwa lengo la kujenga Tz yetu lazima tushirikiane na mtu mwenye wajihi wa uraisi atajulikana muda ukifika na hatuhitaji yeye atulazimishe kutambua uwezo wa yeye kushika madaraka ya urais.We will know on the interest fof our country!
 
ccm ni ccm, they will never change! dawa ni kuwatoa madarakani tu! natamani watu wote wangeelewa hili, ila kuna watu mpaka leo wanavaa nguo za kijani na njano! sijui tulirogwa????
 
Vuta picha Chadema ingekuwa imeshika dola wao walio ndani ya makabrasha ya Zitto n wengineo walio na ma_swizz accounts ingekuwaje?? Bado nina imani na Chadema kuwa ndo suluhu ya nchi yetu kupiga hatua ktk nyanja zote.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Naamini nawe ni mzalendo wa kweli ili kazi hizi ziweze kutimia na kutekelezwa kwa nguvu just be part ya wajenga chama na baadae tujenge nchi under CHADEMA ili walio wazalendo waweze kuonesha uwezo wao na kuleta maendeleo kwa nchi yetu.Wenzetu CCM they are tired so sasa wamejenga na baada ya kuchoka walianza kubomoa...!Be part ya wajenzi wa Demokrasia ya kweli kwa kuwaeleza Watz walio wengi ukweli huu ambao bila shaka umeuona!
 
Vuta picha Chadema ingekuwa imeshika dola wao walio ndani ya makabrasha ya Zitto n wengineo walio na ma_swizz accounts ingekuwaje?? Bado nina imani na Chadema kuwa ndo suluhu ya nchi yetu kupiga hatua ktk nyanja zote.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Mmhh!! tujaribu.
 
mkuu, wasiwasi wangu ni jinsi mambo yanavyokwenda kombo kila wakati. Je inakuwaje leo Zitto anakuwa mwepesi wa kutetea hoja yake? Mpaka mwanasheria mkuu anaingilia kati kuichomoa bungeni? Mpaka Lukuvi anamuunga mkono ndugu Zitto kuwa amekuja na mawazo tofauti naya jana? Kuna kitu hapa...!
 
Mh. kabwe ameikaba serikali vizuri, kwa maoni yangu naona serikali kupitia A.G inapigapiga danadana hoja hii binafsi kwa sababu wengi wanaotuhumiwa kwa ujumla wake ni maafisa wa serikali, hoja ya olesendeka ya kutaja majina ni ya kizalendo zaidi lkn huyu mama anajifanya anakimbizana na muda, Hoja nyingi za maana zimekuwa zikiwa rashed kwa kisingizio cha muda, .huyu makinda ni spika mmbaya sana,
 
kama jana mliangalia bunge jioni kuhusu viongoz wa nchi yetu walioficha pesa nje ya nchi,kuna mbunge alisema imefika wakati watanzania washtuke wanapoona mbunge kila siku anatoa mamamillion kwenye kuchangia mambo mbalimbali,alidiriki kusema kwamba hiyo ni pesa chafu ambayo inatumika kujisaficha na skendo za richmond na epa.
alisema kwamba angekua yeye anawajua angewataja live pia akasema yeye ni mtaalamu wa kudetect pesa zilipofichwa na anacho kifaa maalumu hivo kama wamechimbia ndani ya nyumba kuficha pesa atawaumbua.
aliwaambia wabunge wenzake kwamba majimbo yao hayana maji,umeme,barabara,na maisha mabovu ni kwa sababu ya pesa ambazo zimefichwa uswisi na nchi nyingine za ulaya,uarabuni na america.
ninachokiona mimi ni kuwa viongozi wengi walioiba pesa wanajipendekeza sana kwa watu wa dini sababu wameshajua udhaifu wa viongozi wetu wa dini wa kupenda pesa na udanganywa sana na pesa wanazopewa na kusahau kuoji mambo ya msingi na tuhuma wanazousika nazo
jaman pesa ambazo zimefichwa ni pesa nyingi sana asa ukizingatia nchi yetu ni maskini sana,hivo usiwe upepo wa kupita,tunatozwa kodi nyingi sana na uwa zikipanda kila mwaka,na pesa ambazo zinafichwa zinavunja raia moyo wa kulipa kodi.
naomba wananchi wote bila kujali chama tukomae tuwajue walioficha na pesa zirejeshwe tanzania kwa maendeleo ya vizazi vijavyo
 
Mkuu wengi wetu tunataka hata kamasi tupengwe!! Uwezo wetu uko chini kiongozi na wakati mwingine hata tukitajiwa.. tunakataa kwa sababu wanaweza kutajwa wapendwa wetu...
Hivi kuweka pesa zangu uswiss nilizozitafuta kwa juhudi zangu ni kosa? Kuishi nchi zinazoendelea Bwana majungumajungu tuuu!!!!Kinachofurahisha ni kuwa kelele za chura hazimtishi mchota maji!!
 
huyo ni mbunge wa jimbo la mwimbara, jina limenitoka.

jamaa alikuwa anaongea km yupo kijiweni tu au kwenye baa.

eti ana kifaa cha kugundua pesa iliyochimbiwa chini!!!!!
 
Kama kweli hizo pesa zipo huko ughaibuni sheria zinasemaje? Za kitaifa na kimataifa? Huyu Membe atujuze hela za nani na kwa nini ziko huko. Kwani benki zetu zimejaa? Kwani kuna dhambi kujua kila mtanzania ana sh ngapi benki? Ukweli na uwazi uko wapi?
 
Kwenye hili la mapesa ya uswisi nimeona Mh.Zitto akiwa makini japo serikali ya CCm haiwezi kukubali kuumbuka na kwakweli tuna safari ndefu ili kuifikia Tanzania tuitakayo.......!!!!Big up mh.Zitto na upinzani bungeni.

mi mpaka awataje, maana kasema anawajua, kwa nini asaidiwe? baada ya yeye kutaja wengine wanaofahamu wanaweza kuongezea au kurekebisha. kuongea bila evidence inaweza ikawa ni technic ya kuwin akili za watu, aonekane shupavu na anafaaa kuwa kiongozi. baadae wenzenu wakikutana wanakula tano- umejiongezea point, na kumbe hata hakuna issue ya namna hiyo. awataje na ikiwezekana atoe more details, tutaamini
 
Kama kweli hizo pesa zipo huko ughaibuni sheria zinasemaje? Za kitaifa na kimataifa? Huyu Membe atujuze hela za nani na kwa nini ziko huko. Kwani benki zetu zimejaa? Kwani kuna dhambi kujua kila mtanzania ana sh ngapi benki? Ukweli na uwazi uko wapi?


mkuu hizo ni pesa za wizi na nimatrillion sawa na budget ya nchi hivo awawez kuweka apa nchini sababu ni za wizi,lakin membe na zito wanasema kuwajua walioiba hizo pesa
 
Back
Top Bottom