TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,891
- 11,288
.....Saa nyingine tunakuwa tunaongelea mambo kwa ushabiki bila ya kuwa na vigezo vinavyopimika na jamii.
Mimi nimeuliza kwa nia ya kutaka kujua. Kwa kusaidia labda tujadili pointi ninazoainisha hapa chini:
1. Zitto kuwa Mwenyekiti wa kamati ya Bunge amechangia lipi au ameleta mabadiliko gani katika utendaji wa mashirika ya umma?
2. Katika Miaka takribani minne sasa katika Bunge ametoa michango yenye manufaa kwa nchi yetu?
3. Kama Kiongozi katika CHADEMA, Zitto amefanya nini katika kukiimarisha chama hicho na kukifanya kuwa chama madhubuti cha upinzani?
Naomba tena hoja yangu ya kutaka mchango wa huyu Mhe. Zitto katika mustakabali wa siasa na maendeleo ya nchi yetu. Naomba kutoa hoja.
Mh, you are too hard to please mkuu
Kila siku nasema kujadili zitto basi, lakini najikuta nishaingia tunduni
All the best