Zitto aongea na Power Breakfast ya Clouds FM

EEH!
politiksi ngumu sana

Inaweza kuwa nguma sana hasa ukimaanisha lakini wanapolitiki wa bongo hawamaanishi ndo maana kwao
ni kama wanariia! ila kwawale wenyekumaanisha wanajuta kwanini wameingia ktk politiki!
 
Kama mfumo wote wa vyama vya upinzani ungekuwa na mtazamo kama wa Zitto, hata mimi ningejiunga na Chama cha Upinzani. Hiki kichwa ni kizuri. Hahangaikii ushindi wa CHADEMA pekee, anahangaikia ushindi wa upinzani, ambao iwapo watakuwa wengi bungeni, watakuwa ni mwiba kwa CCM. Na huu uhuni ambao CCM inawafanyia wananchi utapungua.
Zitto is a true model, I like this guy. Siyo wapinzani wengine ukiwaambia waungane wanang'aka kama nini? Hao wakiingia madarakani hawatatofautiana na CCM. Tuwapige vita watu wasiopenda umoja wa upinzani Tanzania. Binafsi nitajiunga na upinzani iwapo tu nitaona wamekubali kuungana. lakini kwa kelele hizi zisizo na mpangilio, bora tu kubaki CCM.
 
kila kukicha,ZITTO
kila kukicha,ZITTO

kila kukicha,ZITTO
kila kukicha,ZITTO
 
Zitto msanii tu

Ni vema kusikia kutoka kinywani mwa farasi mwenyewe kuliko kuamini maneno ya mtu wa pili. Magazeti yameripotio sana juu ya sakata la Zito na Chadema, mengine kwa hila ili kumporomosha Zito au Chadema ama wa kwa kuhongwa na wanaompinga Zito ndani na nje ya Chadema. Kwa bahati mbaya ahata viongozi wenzake wa Chadema waliingizwa kwenye mtego wa vyombo vya habari na kuanza kumshutumu Zito na pengine hgilo lilisababishwa na ukimya wa Zito mwenyewe.

Kwa maoni yangu ni afadhali kuyachukua na kukubali yale yaliyosemwa na Zito mwenyewe live kupitia Redioni badla ya magazetini.

PEACE!
 
Inaweza kuwa nguma sana hasa ukimaanisha lakini wanapolitiki wa bongo hawamaanishi ndo maana kwao
ni kama wanariia! ila kwawale wenyekumaanisha wanajuta kwanini wameingia ktk politiki!

kwa kauli hii unataka kusema kwamba hakuna mwanasiasa anayemaanisha? Manake sijamsikia hata mmoja akijuta kuingia siasa, na akaamua kujitoa katika siasa kwa hiari. Kila mtu akishaingia huko hafikirii tena kutoka. Kulikoni?
 
kila kukicha,ZITTO
kila kukicha,ZITTO

kila kukicha,ZITTO
kila kukicha,ZITTO

Naomba nikumbushwe, huyu Zitto tunayemwimba kila kukicha, ameifanya nini kikubwa nchini kwetu? Naomba nipewe mambo makubwa matatu (3) ambayo ameyafanya nchini kiasi cha kufikia kuabudiwa na kusujudiwa......
 
Zitto msanii tu

Stop names calling . Are you disappointed kwamba hakusema uliyo yataka kama ya kuhama ana kuachana na Chadema ? Zitto mnataka afanyeje ? nashauru mwacheni anajua anali lifanya mpeni nafasi na kama hupendi msimamo wake na kuipenda Chadema yake skip maongezi yake badala ya kumvaa kwa maneno .

Zitto nakupongeza sana kwa uamuzi huu wa kuwapa watanzania msimamo wako . Sasa watu wamesha jua nani kapewa pesa ya ufisadi na kuanza kuzusha maneno kila kona . Endelea kusoma kijana na Tumia Nchi yako na Chadema yako .
 
To be honest , Zito kusema nakipenda Chadema na hatahama, na pia kusema kuhusu Kafulila Chadema walikosea, this only place him far above many politicians. Huwa anasema anachoamini, na hapa kueleweka pia kunakuwa kazi sana

Waberoya,

he has the qualities of a good leaders, anaamini na anasimamia imani yake na haogopi kukosolewa!!! Tabia yake ni ya true leaders, ila waswahili hatujazoea haya, huwa tunapenda unafiki na "watu wantaka nini"

Its a time now we accept that we hvae a few people who are true from inisde

Zitto has my votes!!
 
Naomba nikumbushwe, huyu Zitto tunayemwimba kila kukicha, ameifanya nini kikubwa nchini kwetu? Naomba nipewe mambo makubwa matatu (3) ambayo ameyafanya nchini kiasi cha kufikia kuabudiwa na kusujudiwa......

Badala ya kuuliza you can always skip hadithi za Zitto .Mambo 3 ya Nchi hii kumbe hujayaona hata ukielezwa huwezi kuelewa give this boy break .Kama hutaki kumsikia skip , Zitto haabudiwi ila Zitto ni chachu ya mageuzi Tanzania kama kijana .Ni jambo kubwa ambalo wewe umeshinswa jata kutumia nickname kweney JF ila Zitto ka sacrifice maisha yake kwa umri ule mbele ya CCM . Unaona akina Prof Baregu na Lamwai yaliyo wakuta ? Leo unauliuza swali kama hili kwa Zitto ? Nasema Zitto hakuna kurudi nyuma endelea na msimamo wa kuisaidia Tanzania kwa kadiri unavyo weza na Chadema yako .
 
Ni vema kusikia kutoka kinywani mwa farasi mwenyewe kuliko kuamini maneno ya mtu wa pili. Magazeti yameripotio sana juu ya sakata la Zito na Chadema, mengine kwa hila ili kumporomosha Zito au Chadema ama wa kwa kuhongwa na wanaompinga Zito ndani na nje ya Chadema. Kwa bahati mbaya ahata viongozi wenzake wa Chadema waliingizwa kwenye mtego wa vyombo vya habari na kuanza kumshutumu Zito na pengine hgilo lilisababishwa na ukimya wa Zito mwenyewe.

Kwa maoni yangu ni afadhali kuyachukua na kukubali yale yaliyosemwa na Zito mwenyewe live kupitia Redioni badla ya magazetini.

PEACE!

LONG LIVE Ibra
Ubarikiwe Chadema , Zitto na wana mageuzi wote Kafulila na kundi lako wote . Ife CCM kifo kibaya .Jana Zitto alini hakikishia maamuzi haya ambayo leo kayasema Redioni na nikapata usingizi mnono sana . Nilimwamini na sikuwa na doubt at all . Leo karudi maongezi haya na kuuhakikishia Umma na Chadema kwamba he is a leader na ana ngozi kama ua Kiboko . Thanks na Ukimya huwa una faida kubwa sana . Chademaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Badala ya kuuliza you can always skip hadithi za Zitto .Mambo 3 ya Nchi hii kumbe hujayaona hata ukielezwa huwezi kuelewa give this boy break .Kama hutaki kumsikia skip , Zitto haabudiwi ila Zitto ni chachu ya mageuzi Tanzania kama kijana .Ni jambo kubwa ambalo wewe umeshinswa jata kutumia nickname kweney JF ila Zitto ka sacrifice maisha yake kwa umri ule mbele ya CCM . Unaona akina Prof Baregu na Lamwai yaliyo wakuta ? Leo unauliuza swali kama hili kwa Zitto ? Nasema Zitto hakuna kurudi nyuma endelea na msimamo wa kuisaidia Tanzania kwa kadiri unavyo weza na Chadema yako .

Naona hoja yangu bado haijajibiwa....Tusitumie jazba, tuelimishane! Naomba tukumbushane mambo makubwa matatu ambayo Zitto ameifanyia nchi yetu.. Ni hilo tu!.....
 
i wish ningejua jambo moja zuri la zitto

1. Alithubutu kugombea uenyekiti chadema
2. alikuwa kwenye kamati ya JK ya kuangalia madini (sijui ilikuwa ni yangapi hii na sijui ripoti zake huwa ziko wapi)
3. Anamsapoti kafulila Kugombea ubunge Kigoma kusini kwa tiketi ya NCCR Mageuzi (Zitto ni CHADEMA)
4. Aliwahi kuwa kiongozi DARUSO
5. Ni mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya mahesabu ya mashirika ya umma (aliwahi kupendekeza kuwa tununue mitambo ya Dowans ili kusiwe na mgawo. Ugumu wa mioyo yetu tu hatimaye mgawo kweli ukawepo)

Mpwa huna macho tu ukaona? Mengine wataendelea....
 
...........Lakini mimi ninawapongeza Clouds FM (hasa PB), kwa kuthubutu kumpigia simu Zitto, ili kusema ukweli wake na kuwaondolea watu dukuduku lao! Maana kimya chake kilisababisha maneno meeeeeeeeeeengi, kama ambavyo gazeti LA CHAMA, lilivyoandika kickikuuuuubwa cha habari "KUTOKUWEPO KWA ZITTO TANGA KWALETA............"
Na ikumbukwe, kule Ujerumani ilikuwa bado ni alfajiri! Zitto kalonga, iwe toka moyoni au kwenye meno, kikubwa ni kuwa tumemsikia!!!
BIG UP CLOUDS FM (PEOPLE'S STATION), BIG UP ZITTO KABWE!!
 
Kama mfumo wote wa vyama vya upinzani ungekuwa na mtazamo kama wa Zitto, hata mimi ningejiunga na Chama cha Upinzani. Hiki kichwa ni kizuri. Hahangaikii ushindi wa CHADEMA pekee, anahangaikia ushindi wa upinzani, ambao iwapo watakuwa wengi bungeni, watakuwa ni mwiba kwa CCM. Na huu uhuni ambao CCM inawafanyia wananchi utapungua.
Zitto is a true model, I like this guy. Siyo wapinzani wengine ukiwaambia waungane wanang'aka kama nini? Hao wakiingia madarakani hawatatofautiana na CCM. Tuwapige vita watu wasiopenda umoja wa upinzani Tanzania. Binafsi nitajiunga na upinzani iwapo tu nitaona wamekubali kuungana. lakini kwa kelele hizi zisizo na mpangilio, bora tu kubaki CCM.

Waungane kwa misingi ipi ? Unajua kwamba kuungana kumesha jaribiwa kukashindikana ama wewe ni maneo tu hapa JF kila kukicha ? Huyo Zitto na Chadema wamejaribu ikawa shida . Huwezi kuungana na mtu kama UD ana CUF wakiwa na mtizamo toafuti na Tanzania kwanza . Mnawapa sana lawama wapinzani lakini eti nyie mnaishi kama si part ya Watanzania ambao wanaweza kuungana mkono wanayo yafanya wapinzani. Nakataa siasa za makaratasai na hasa JF nenda kweney ground fanya kweli na si ushabiki pekee .
 
1. Alithubutu kugombea uenyekiti chadema
2. alikuwa kwenye kamati ya JK ya kuangalia madini (sijui ilikuwa ni yangapi hii na sijui ripoti zake huwa ziko wapi)
3. Anamsapoti kafulila Kugombea ubunge Kigoma kusini kwa tiketi ya NCCR Mageuzi (Zitto ni CHADEMA)
4. Aliwahi kuwa kiongozi DARUSO
5. Ni mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya mahesabu ya mashirika ya umma (aliwahi kupendekeza kuwa tununue mitambo ya Dowans ili kusiwe na mgawo. Ugumu wa mioyo yetu tu hatimaye mgawo kweli ukawepo)

Mpwa huna macho tu ukaona? Mengine wataendelea....

Thanks Kaizer
Watu wanataka kumfanay Zitto ageuke Mungu afanye yale ambayo hayajafanywa na mtu Duniani . Sisi tumefanya nini ? Tumeshindwa hata ku campaign against CCM kachukia mitaa Nchi nzima yet tunataka kujau Zitto kafanya nini Tanzania . Zitto ka sacrife maisha yake kuwa Chadema , kuwa mpinzani kwa umri mdogo leo unasemaje ?

Zitto alikataa uwaziri wa Madini na Nishati lastminutes kwa ajili yta Upinzani, Chadema na Watanzania wapenda mageuzi .Je si jambo kubwa hilo ?
 
Naomba nikumbushwe, huyu Zitto tunayemwimba kila kukicha, ameifanya nini kikubwa nchini kwetu? Naomba nipewe mambo makubwa matatu (3) ambayo ameyafanya nchini kiasi cha kufikia kuabudiwa na kusujudiwa......

Maverick;

Kama una contact na Mr. Nazir Karamagi atakupa zaidi ya mambo matatu makubwa alofanya 'staring' Zitto.
 
Naomba nikumbushwe, huyu Zitto tunayemwimba kila kukicha, ameifanya nini kikubwa nchini kwetu? Naomba nipewe mambo makubwa matatu (3) ambayo ameyafanya nchini kiasi cha kufikia kuabudiwa na kusujudiwa......

Kwanza hakuna aliyemuabudu na kumsujudia zitto, in short zitto hajaabudiwa na kusujudiwa
pili zito amewakilisha wananchi wa jimbo lake na watanzania kwa ujumla kuliko asilimia 95 ya wabunge unaowajua
tatu, Zitto ameonyesha daring ambayo ni muhimu kama tunataka mabadiliko ya kweli
nne, zitto kwa umri wake, nadhani amechangia saana katika bunge hili kuliko Profesa Mtulia, Janguo, Madeje, na waze wengi ambao wamo bungeni na wanakula

Now Maverick, hebu tupe ya kwako matatu uliifanyia Tz
 
.....Saa nyingine tunakuwa tunaongelea mambo kwa ushabiki bila ya kuwa na vigezo vinavyopimika na jamii.
Mimi nimeuliza kwa nia ya kutaka kujua. Kwa kusaidia labda tujadili pointi ninazoainisha hapa chini:
1. Zitto kuwa Mwenyekiti wa kamati ya Bunge amechangia lipi au ameleta mabadiliko gani katika utendaji wa mashirika ya umma?
2. Katika Miaka takribani minne sasa katika Bunge ametoa michango yenye manufaa kwa nchi yetu?
3. Kama Kiongozi katika CHADEMA, Zitto amefanya nini katika kukiimarisha chama hicho na kukifanya kuwa chama madhubuti cha upinzani?

Naomba kurudia tena hoja yangu ya kutaka kujua mchango wa huyu Mhe. Zitto katika mustakabali wa siasa na maendeleo ya nchi yetu. Naomba kutoa hoja.
 
Back
Top Bottom