Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,809
- 218,467
Nabii wa Mungu , ambaye pia ndio mbunge ajaye wa Arusha Mjini , Godbless Lema atakuwepo Clouds FM kwenye kile kipindi chao kinachoitwa Power Breakfast .
Nabii Lema ambaye hakuna unabii wake ambao haukutimia anatarajiwa kuleta unabii mwingine ambao hautachukua muda mrefu kabla ya kutimia , ni vema usiwe mbali ili kujua yatakayojiri nchini mwako kutokana na maono ya kiroho
USIONDOKE JF .
Pia soma Mahojiano ya Godbless Lema na Clouds FM yamehairishwa