Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,446
Asante FL80, hii inawezekana
Wanawake wa kisasa siku hizi manung'uniko mengi, lawama juu ya lawama taabu tupu.
Asante FL80, hii inawezekana
Wanawake wa kisasa siku hizi manung'uniko mengi, lawama juu ya lawama taabu tupu.
Niamini...wapo!Sema na nyie mnachangia kuwaharibu!Niamini kama wapo ni 1 kati ya 10 lakini wengine hao 9 ni ndo hivyo tena mambo yameharibika
Wadogo hao; tafuta mkubwa utaepukana na matatizo hayo
Niamini...wapo!Sema na nyie mnachangia kuwaharibu!
Haya bwana endelea kujibrazamen!Sasa wewe umekuja kisista duu lazima na mm nijifanya brazameni aka Nyangema ili twende sawa lakini kwenye gharama hapo mmmh
Haya bwana endelea kujibrazamen!
Ndo maana hapo juu nimekwambia unapo tongozwa ukiambiwa ukweli utakubali ukasema ndio. Sasa jamaa linakwambia linataka kukata kiu tu kisha linaishia utamkubalia?
Wapo wa aina hiyo mbona!Hao wengine waache we parangana na wanaotaka unachotaka!
Mgumu ila unajibrazameni ukikutana na sistadu ehh!Mi sio brazameni ni mgumu asilia
Acha hizo..laghai ambao hawamaind kulaghaiwa!Hao wengine ukiwaondoa imani ndo baadae wanakuja kuwaliza!Au hujui kutongoza ni jinsi gani unavyo pangilia maneno mazuri na matamu kumlaghai mtu akubaliane na matakwa yako
Acha hizo..laghai ambao hawamaind kulaghaiwa!Hao wengine ukiwaondoa imani ndo baadae wanakuja kuwaliza!
Au hujui kutongoza ni jinsi gani unavyo pangilia maneno mazuri na matamu kumlaghai mtu akubaliane na matakwa yako
hahahahaha sasa si lazima ujifanye na wewe matawi ili umege na ukisha kagua unachapa mwendo fasta
hujambo lizzy?
siku zote mimi naamini kuwa,
mwanaume usipopigwa vibuti basi una kasoro,
vibuti ni kawaida kwa kidume!!!
ukizingatia kuwa usipochafuka, utaujuaje usafi?
Mamii kule kwenye tiba nimeacha ujumbe.Mi mzima Bacha sijui wewe!!Na kweli usipokataliwa huwezi jua raha ya kukubaliwa!
HIVI NUMBER YA JK NIMEPOTEZA VILEE?i hate these guys kwakweli..ahazile za mai maza iz in uk