Zipi sababu za mwanaume kupigwa vibuti

You are right :A S thumbs_up: lakini mwisho wa siku mnatufundisha kudanganya:coffee:
Aka!Mnajifunza wenyewe,especially mkikutana na msichana anaejionyesha/onekana kwamba yeye ni matawi...mnaweka uongo ili muonekane na nyie mpo juu!Kua mkweli...sio wote wanakimbiza pesa au status!
 
hahahahaha sasa si lazima ujifanye na wewe matawi ili umege na ukisha kagua unachapa mwendo fasta
 
Aka!Mnajifunza wenyewe,especially mkikutana na msichana anaejionyesha/onekana kwamba yeye ni matawi...mnaweka uongo ili muonekane na nyie mpo juu!Kua mkweli...sio wote wanakimbiza pesa au status!

Hapo ndio penye shida! Sometimes i think its easy kupata mke sahihi(mapenzi ya kweli) ukiwa huna pesa na status
 
Mhh. Thanks, NOTED

Mkuu hawa ndo wanawake wa kisasa unaweza ukawa na mipesa kibao lakini humfikishi anako taka basi ujue wapo toto tundu watakusaidia kumfikisha na wengine wapo jamaa anajituma kweli kweli na anamfikisha lakini jamaa hana pesa ya lotion basi inabidi mama atafuta katajiri angalau kawe kanampa za matumizi sabuni, lotion n.k
 
Kaka Elia, kama nimekuelewa wewe unatamani kupata mke, na sio demuuuuuuu!!

Kumbuka mke mwema anatoka kwa Mungu, haina maana usimtokee msichana kumwambia hilo hitaji lako hapana.
ILa mshirikishe Mungu, Muombe Mungu akuongoze katika hilo. Omba Mungu akupe utulivu wa moyo.

Halafu usiwe na haraka, hata kama unadhani una haraka ktk hilo. Utulivu ni mzuri kwa sababu hutakurupuka ktk maamuzi yako.
Finally utashangaa utampata mke mwema.

Note: Mke mwema humpati kwa sababu una pesa, au we ni mzuri, au una kazi nzuri, au unajua sana kuongea, au ni msafi sana,au chochote kile kinachoonekana kwa macho. Hivyo vyote ni zaida tu.

Ila mke mwema anakuja kwako kwa sababu wakati aliokupangia Mungu kuoa umefika.

Aaah, hawa ndugu noma sana mtihani upo kwenye kumfikisha, duuh..
 
THANK YOU THANK YOU THANK YOU Ssikioni kitufe cha kubonyeza Thanks:A S thumbs_up:
 
Aaah, hawa ndugu noma sana mtihani upo kwenye kumfikisha, duuh..

Hapana Elia,kuna mambo tofauti ambayo yanaweza mfanya mwanamke atulie au atoke nje ya uhusiano au ndoa na si suala la kufikishana tu.Kuna vitu kama heshima,upendo,misingi ya uhusiano wenu,hofu ya Mungu kati yenu,uwajibikaji katika masuala muhimu katika mahusiano, etc etc
You need to balance issues zote hizo.....Kuna wanaume wana matatizo na wala wake zao hawatoki nje ya ndoa.:smile-big:
 
Hapo ndio penye shida! Sometimes i think its easy kupata mke sahihi(mapenzi ya kweli) ukiwa huna pesa na status
Jibu sahihi ni kwamba...ni rahisi kupata mapenzi ya kweli kwa mtu ambae hatumii pesa na status kama vigezo!Kwahiyo hata ukiwa navyo inakua nyongeza..hapo ikitokea siku ukapoteza hivyo vitu bado atakuwepo!Kama unatafuta mke/mwanamke wa kumpenda kweli na yeye akupende achana na uongo...be yourself..mpe hali yako halisi akikukataa kwa hilo hakufai!!
 
Aaah, hawa ndugu noma sana mtihani upo kwenye kumfikisha, duuh..

Tatizo wanawake huwa hawaweki bayana je amefika kunako au bado utaona kimyaaa kumbe anakuona mchovu tu kesho anaenda kwa mwingine ndo shida inapo kuja na anaweza akajifanya anakupenda kweli kweli kumbe wizi mtupu.
 
We Fidel acha kumpotosha na kumkatisha mwenzako tamaa hivyo!Wapo wengi tu ambao wako tayari kutafuta pamoja!

Niamini kama wapo ni 1 kati ya 10 lakini wengine hao 9 ni ndo hivyo tena mambo yameharibika
 
Lengo lako ni kutimiza matakwa yako ya mwili..na ili ufanikiwe ni lazima na wewe uwe msanii!

Sasa wewe umekuja kisista duu lazima na mm nijifanya brazameni aka Nyangema ili twende sawa lakini kwenye gharama hapo mmmh
 
Mkuu hawa ndo wanawake wa kisasa unaweza ukawa na mipesa kibao lakini humfikishi anako taka basi ujue wapo toto tundu watakusaidia kumfikisha na wengine wapo jamaa anajituma kweli kweli na anamfikisha lakini jamaa hana pesa ya lotion basi inabidi mama atafuta katajiri angalau kawe kanampa za matumizi sabuni, lotion n.k

Asante FL80, hii inawezekana
 
Back
Top Bottom