Zipi sababu za mwanaume kupigwa vibuti

Nimeshapigwa vibuti kibao, nimeshapiga vibuti kibao, kwa ufupi nimekuwa sugu. Hata nikikufumania na mke wangu, nakwambia nenda Kaka. Hivi vichwa vya panzi navijua.

NICE experience, Ila huo usugu hapana mpaka kwa mywife!!!! :car:
 
Hata sijachakachua napigwa juu kwa juu:Cry:

Jaribu kufanya utafiti kwa kuwauliza wanaokupiga vibuti sababu ya wao kukufanyia hivyo. Hapo ndipo utapata jibu na hilo litakusaidia kujirekebisha. Msaada zaidi ya ushauri huu usiutegemee; labda kama unataka kuongeza idadi ya posts zako hapa JF maana nimeona ndio tabia za wengi humu, which for me i see is nonsense.
 
NICE experience, Ila huo usugu hapana mpaka kwa mywife!!!! :car:
Kaka! Mapenzi ayanipeleki jela. Nimeshatembea na wake za watu. Nimeshafanya utafiti wa kutosha, nafahamu udhaifu wao kwa kiasi kikubwa. Hata nikimegewa sioni tatizo.
 
Jaribu kufanya utafiti kwa kuwauliza wanaokupiga vibuti sababu ya wao kukufanyia hivyo. Hapo ndipo utapata jibu na hilo litakusaidia kujirekebisha. Msaada zaidi ya ushauri huu usiutegemee; labda kama unataka kuongeza idadi ya posts zako hapa JF maana nimeona ndio tabia za wengi humu, which for me i see is nonsense.

Asante sana mkuu, ntajaribu kuwauliza kama nikipata access nao!
 
Sababu nyingine ni kulinga au kujiona wewe ndo mwanzo mwsho!maduu wengine hawapendi wanaume wenye maringo coz ni wepesi sana kuwadharau watu wengine!Tambua mwanamke mwenye busara havutiwa kuwa na mume mwenyedharau!
 
Kaka! Mapenzi ayanipeleki jela. Nimeshatembea na wake za watu. Nimeshafanya utafiti wa kutosha, nafahamu udhaifu wao kwa kiasi kikubwa. Hata nikimegewa sioni tatizo.

Kwa hiyo akimegwa nawewe una mega????
 
Sababu nyingine ni kulinga au kujiona wewe ndo mwanzo mwsho!maduu wengine hawapendi wanaume wenye maringo coz ni wepesi sana kuwadharau watu wengine!Tambua mwanamke mwenye busara havutiwa kuwa na mume mwenyedharau!

Tatizo utajuaje kama unringa au huringi? mtaani nilikokulia mtu ukiwa mambo safi unaambiwa unaringa thats why sijui anae ringa anafananaje?
 
kwa maelezo yako nahisi ww ni m2 average kiuchumi, SHIDA apa nahisi uko serious sana kwa sababu ya ubize wa maisha au iyo timu yako inafungwa kila weekend!

so what you do be simple, easy to reach where every girls feels safe to be. ongea mambo ya kawaida sana na mademu hasa ya kimaisha kwa ujumla. kuwa msafi, pata pafyum kwa mbali_casablanca may b. usijisifu directly kuwa mjanja haki nakwambia utamtongoza demu kwa neno moja 2 ni wako Milele. watakutafuta wenyewe ww utaishia kuchagua anaye faaa.
ukisha mpata then endelea na tabia iyo, mpira nini mgosi.

Simple like drinking Kilimanjaro water.
 
Sababu nyingine ni kulinga au kujiona wewe ndo mwanzo mwsho!maduu wengine hawapendi wanaume wenye maringo coz ni wepesi sana kuwadharau watu wengine!Tambua mwanamke mwenye busara havutiwa kuwa na mume mwenyedharau!
 
kwa maelezo yako nahisi ww ni m2 average kiuchumi, SHIDA apa nahisi uko serious sana kwa sababu ya ubize wa maisha au iyo timu yako inafungwa kila weekend!

so what you do be simple, easy to reach where every girls feels safe to be. ongea mambo ya kawaida sana na mademu hasa ya kimaisha kwa ujumla. kuwa msafi, pata pafyum kwa mbali_casablanca may b. usijisifu directly kuwa mjanja haki nakwambia utamtongoza demu kwa neno moja 2 ni wako Milele. watakutafuta wenyewe ww utaishia kuchagua anaye faaa.
ukisha mpata then endelea na tabia iyo, mpira nini mgosi.

Simple like drinking Kilimanjaro water.

Thanks mkuu, correction timu langu halifungwi. Sometimes nature ya kazi yangu inanifanya niwe busy kiivyo but point taken
 
Kwa hiyo nisiende kuangalia mpira wa Manchester na Arsenal au Simba na Yanga simply because unataka attention??

Daaa, kila kitu ni kizuri ukikifanya kwa mpango na ustaarabu. Nakupenda hatujaonana wiki nzima labda kwa sababu ya kazi na majukumu mbalimbali, Walau ka jmosi jioni, au jpili jioni, nasema mwenyewe ngoja nimtafute huyu mtu hata nimuone.

We bize na mpiraaaaaaaaaaaaaaa. Mmmmm mara moja, mbili, tatu. KIBUTI.
 
Kaka! Mapenzi ayanipeleki jela. Nimeshatembea na wake za watu. Nimeshafanya utafiti wa kutosha, nafahamu udhaifu wao kwa kiasi kikubwa. Hata nikimegewa sioni tatizo.

Naona unahitaji kukombolewa kwene hicho kifungo.
Hebu jaribu kutubu na kumuomba Mungu akuumbie Moyo safi.
 
Back
Top Bottom