Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na ODM Babu Asprin~~~!

babu Asprin nilikwenda site kwenye viwanja vyetu vya mabwepande ndio narudi. mi nna swali moja tu, hivi babu kati ya wajukuu zako cc, yupi ana chata ya ODM kama yangu?? swali la pili ni kwamba wakati wa ukaguzi ushawahi kunirecord???, swali la tatu, kati ya siku ulizonikagua, ipi ulienjoy??
 
Last edited by a moderator:

Mkwe cacico how come ukaguzi ukainjoiwa? Nauliza tu mkwe....nimekumiss
 
Last edited by a moderator:
muulize hommie wako Asprin akupe majibu muafaka! kwema huko kwako?? gfsonwin hajambo?

Yaani kumtaja gfsonwin numepata nshtuko, mtoto ananipa raha zote sa ivi anajiandaa
Na mtoko tukapate mdudu kusindikizie jmosi, tumediss mbavu za tbl na safari zao apo knyama! Odm ako apo..,lol
 
Last edited by a moderator:
Yaani kumtaja gfsonwin numepata nshtuko, mtoto ananipa raha zote sa ivi anajiandaa
Na mtoko tukapate mdudu kusindikizie jmosi, tumediss mbavu za tbl na safari zao apo knyama! Odm ako apo..,lol

ma swtlo Kaizer, mwambie kabisa cacico kuwa siye twala raha zetu babu. nilizaliwa kwaajili yako ma swtlo ili nikupe raha niwe kwako bega lako utakapo kulia, nime mkono wako utakapo kucheka, niwe meza yako ulapo na hata kitanda chako ulalapo. miye kwako hali sina Kaizer wanifanye niuone uzee wangu kama ujana, naona naimiliki dunia yote ya mapenzi na kwangu wewe wazidi kicho cha mathamani. ni zaid ya yote, u kijana mzuri mwenye kujua wajibu wako kama mpenzi mwenye kujua kubembeleza na hata kukirimu. Dozi yako mashalaaa...........hunifanya hata wale wote wanaonitolea macho kama Bishanga na Erickb52 nawaona kama wapoteao njia manake hawawezi kunifikisha unifikishapo kuniliza kama unilizavyo .............lolest nitayaandika hadi kesho pasi mwisho.

hata Asprin analitambua hilo.
 
Haya maneno haya............nikiya-copy na kum-pestia Mr. husband nitakuwa mbea
 
sasa weye platozoom ina maana hujui ya jamvin yanaishia humu humu? cha ajabu kweli waweza kuwa unamtania na mumeo pasi kujua manake jf siyo ya kuamini aisee.
 
Last edited by a moderator:
babu Asprin nilikwenda site kwenye viwanja vyetu vya mabwepande ndio narudi. mi nna swali moja tu, hivi babu kati ya wajukuu zako cc, yupi ana chata ya ODM kama yangu?? swali la pili ni kwamba wakati wa ukaguzi ushawahi kunirecord???, swali la tatu, kati ya siku ulizonikagua, ipi ulienjoy??

My love cacico haya maswali nikujibie hapa au nikujibu kesho live kama tulivokubaliana? Ole wako usitokee. Nimeghairi kwenda harusini leo kama nlivokwambia ili niamke na nguvu tosha kwa ajili yako. Come this way babe.....
 
Last edited by a moderator:
babu ngoja nikuulize swali la kukukasirisha.. Umeshawahi kutumia sabuni kwenye mambo yetu yale?
 
ma swtlo Kaizer, mwambie kabisa cacico kuwa siye twala raha zetu babu. nilizaliwa kwaajili yako ma swtlo ili nikupe raha niwe kwako bega lako utakapo kulia, nime mkono wako utakapo kucheka, niwe meza yako ulapo na hata kitanda chako ulalapo. miye kwako hali sina Kaizer wanifanye niuone uzee wangu kama ujana, naona naimiliki dunia yote ya mapenzi na kwangu wewe wazidi kicho cha mathamani. ni zaid ya yote, u kijana mzuri mwenye kujua wajibu wako kama mpenzi mwenye kujua kubembeleza na hata kukirimu. Dozi yako mashalaaa...........hunifanya hata wale wote wanaonitolea macho kama Bishanga na Erickb52 nawaona kama wapoteao njia manake hawawezi kunifikisha unifikishapo kuniliza kama unilizavyo .............lolest nitayaandika hadi kesho pasi mwisho.

hata Asprin analitambua hilo.
Haya maneno ni kujikosha na kumpa kichwa nanii...
hebu uliza wenzako walowahi kupita anga zetu watakuambia Bishanga na Erick wakoje
Huoni The secretary kalainika mwenyewe kwa Bishanga?
 
babu @Aspirin me cmrtaki Bishanga, namtaka naniliu yan kila siku nimekuwa nikijipisha pitisha lakini anajidai hanioni mpka nimeamua kuokoka na kumfungia maombi lakini hola... ila mchungaji kanambia kuwa mambo yanaiva..... na ikishindikana namwendea bagamoyo lol ananiumiza moyo yan hata saiv napost but nipo church mchungaji anawaombea wengine... nakesha kweli ili nimpate!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom