Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na ODM Babu Asprin~~~!

Weeh, small house haiwezi kuwa permanent babu! Nakurusha roho tu nakuacha mataa usije ukanizoea buree!
Afu Bagah yule rafiki yako anafanya kazi wapi? Anaonekana ana hela afu ni handsome..
Kula basi maana hatabku mchezo...Ila hatuachani sawa King'asti ?
 
Last edited by a moderator:
Weeh, small house haiwezi kuwa permanent babu! Nakurusha roho tu nakuacha mataa usije ukanizoea buree!
Afu Bagah yule rafiki yako anafanya kazi wapi? Anaonekana ana hela afu ni handsome..

yuko BARRICK yule...na ni SAFETY manager pale mgodini...dogo hela imemtembelea...vip unataka utangaze NIA?
achana na erick ndugu yangu...mfanyakazi wa manispaa atakupa nn?...
 
duh King'asti wee noumer, umempa nini Paw?

Yaani babu Asprin kukuonjesha tu kwa Erickb52 kaliwa bansen bana??

Mateka wangu kaanza machejo hebu nipeleke kwa mganga wako.

King'asti umeona Paw alichomfanya babu Asprin baada ya kukukabidhi kwangu?
Alivyo na wivu hajanitwanga mimi ban ila kamtwanga babu...!
lol Ila sikuachi hata akinipa ban na mimi...
Muombee msamaha basi
 
Last edited by a moderator:
Huyo Paw ndio nani. Amfungulie babu yetu. JF is not the same to me bila huyu mzee.
Na naomba amfungulie haraka kabla hatujampa na yeye ban ya kufa mtu....
Anajiita Paw ngoja tumuongeze awe PAW PAW then tunatengeneza juice ya papai lol
Hapa Asprin atatoka kifungoni na King'asti tunammiliki wenye wivu wajiju
Halafu mi ndio Mod wa chit chat kuwa off jana tu naona wameanza kuliharibu jukwaa
Nawaomba Roulette Fang Invisible na Paw wamrudishe Babu haraka kabla sijawapa ban
 
Last edited by a moderator:
Afu wewe, unachukua muke ya muzungu unapita ukijitanua! Utakula shaba ya makalio! Hebu mtake radhi kwanza PAW! Tena kingleza manake hajui kiswazi!

Mateka mie nilijua ni kimeo toka nineteen-kweusi! Ukiona kitu sina time nacho stuka! Ngoja ntakufunza kujiganga, kuruka na ungo noma siku hizi Miss Judith na mumewe wana utaalamu wa kutungua ndege
duh King'asti wee noumer, umempa nini Paw?

Yaani babu Asprin kukuonjesha tu kwa Erickb52 kaliwa bansen bana??

Mateka wangu kaanza machejo hebu nipeleke kwa mganga wako.
 
Last edited by a moderator:
My love cacico haya maswali nikujibie hapa au nikujibu kesho live kama tulivokubaliana? Ole wako usitokee. Nimeghairi kwenda harusini leo kama nlivokwambia ili niamke na nguvu tosha kwa ajili yako. Come this way babe.....
Asprin my sugar umeamkaje?? mithd u thoooo much yeterday ma' love! fine basi nijibu nikija, did u dream of me yesterday? mwahhh!
 
Last edited by a moderator:
naomba leso unipanguse machozi
akyanani kama ni kimeo naenda Sumbawanga lol

hebu nioneshe kimoja ulicho na time nacho japo kiniliwaze.

Mateka mie nilijua ni kimeo toka nineteen-kweusi! Ukiona kitu sina time nacho stuka! Ngoja ntakufunza kujiganga, kuruka na ungo noma siku hizi Miss Judith na mumewe wana utaalamu wa kutungua ndege
 
Afu wewe, unachukua muke ya muzungu unapita ukijitanua! Utakula shaba ya makalio! Hebu mtake radhi kwanza PAW! Tena kingleza manake hajui kiswazi!

Mi nimekabidhiwa na babu na Mtambuzi
Je ye kapewa na nani?
Au ujipeleleka mwenyewe?
 
Last edited by a moderator:
Safety manager mie wa nini sasa? Mi nataka director, nikinoa walau superintendent
yuko BARRICK yule...na ni SAFETY manager pale mgodini...dogo hela imemtembelea...vip unataka utangaze NIA?
achana na erick ndugu yangu...mfanyakazi wa manispaa atakupa nn?...
 
Swali kwa Bishanga...kho kho kho chafyaaa samahan..
1.Ni kweli pale kimboka bar ulikuwa na Private chamber yako ya kuwafanyia Operation wale bamedi?

2.Ni kweli Ulishawah Kula Mtandao wa tingo kwa kidada cha Jf hapa Ukapgwa BAN.?

3.Ni kweli Kuwa Dushelele lako lina rangi ya dhahabu ndo mana wajukuu zako hawachezi mbali.
 
Back
Top Bottom