Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na ODM Babu Asprin~~~!

Mimi nina maswali madoogo ya nyongeza:

1. Ni jamaa gani unayemhofia sana anaweza kukuchukulia mke wako...na sifa zake?
2. Niambie kituko cha kwanza ulichokifanya ulipoingia mjini kwa mara ya kwanza?
3. Ni demu gani hapa JF unahisi ana sura mbaya kuliko wote?
4. Ni demu gani hapa JF unahisi huwa akimpata mwanaume anakausha akaunti?
5. Mara ya kwanza kuangalia movie ya porn ilikuwa lini na reaction yake ilikuwaje?
6. Unaongea lugha ngapi za asili?

Nitarudi kwa ajili ya maswali ya msingi
 
Kwani babu Asprin mi pia si ni mjukuu..?
Je nikitaka niachane na wajukuu wako,nkakuomba unipe wajukuu watatu wawe wangu utanipa akina nani?
Nataka kuepusha msongamano
 
Last edited by a moderator:
1. Mie nahongwa, sijui kuhonga.
2. Ubia wangu na Fyatanga uko kwenye ajira. Mie ndio afisa mwajiri wa mabaamedi wa pale. Intavyuu nafanyia gesti.
3. JF nshalamba mabinti sita. Kama wako huru niwataje waniPM
4.Ukinipa namba ya Kongosho, wallahi ntakuzawadia mmoja wa wajukuu zangu charminglady atakufaa?

black+pop.jpg

Namba ya Kongosho ni 071?-4!8!23
Haya nipe charminglady
 
Last edited by a moderator:
1. Mie nahongwa, sijui kuhonga.
2. Ubia wangu na Fyatanga uko kwenye ajira. Mie ndio afisa mwajiri wa mabaamedi wa pale. Intavyuu nafanyia gesti.
3. JF nshalamba mabinti sita. Kama wako huru niwataje waniPM
4.Ukinipa namba ya Kongosho, wallahi ntakuzawadia mmoja wa wajukuu zangu charminglady atakufaa?

black+pop.jpg
Dah! charminglady kweli ni kitu cha ukweli,naomba namba yake ya simu tafadhali.
 
Last edited by a moderator:
Asprin anatisha hata ZINDUNA katimua.

Zinduna alidamkia muhimbili kwenye kliniki ya wajawazito ( mimba ya asprin) kakuta madaktari hawapo,kenda mwananyamala hola,Amana hola,Temeke hola mara ya mwisho kaonekana kwa bibi Havintishi binti Mahaungulila huko kimanzichana.
 
1. Je Msimu gani, wa kipupwe au kiangazi?
Swali halijaeleweka, waweza sema ulimaanisha nini?
2. Je Ulishawahi kucheza mchezo wa baba na mama na ule wa kujificha utotoni?
Sana tu, tena mi ndo nlikuwa nashika nafasi ya ubaba. Housegirl wetu alikuwa ananikomaje?
attachment.php

3. Je umeoa? Kama umeoa, Je una watoto wangapi?
Nina mke na mabinti wawili wazuri kama mama yao. Hawa lazima waolewe na watu wenye hela zao na ni lazima wawe mahandsome. Vinginevyo ntawaoa mwenyewe

4. Je umeshawahi kupiga puchu ujanani?
Hili si swali, mpaka sasa kina cacico, Yummy na BADILI TABIA wakinipiga kibuti, lazima nirudishe heshima kwa Revola. Uzuri wa sabuni, haijui kupiga mzinga, haina wivu na haihitaji kutumia kondom kwakuwa haina gono, kaswende wala ngoma.

5. Je umewahi kupitisha usiku na kahaba?
Jana tu nlikuwa mitaa ya Ohio.
attachment.php



6. Je ulipojivinjari na kahaba uliona tofauti yoyote na unachokipata kutoka kwa Mke/Mpenzi wako?
Sana tu. Kahaba hakupi mzigo bila kutoa fedha wakati home napewa bure. Utafiti umeonyesha kuwa penzi linalohusishwa na feza linakuwa tamu mara mbili ya penzi la bure. Nshaongea na wife ili niachane na makahaba basi awe ananipiga mzinga kabla hajapanua paja.
7. Je umeshawahi kufumaniwa na mke wa mtu?
Mara tatu, mara ya mwisho sikujua kama cacico ni mke wa mtu.
attachment.php



Hapo kwenye Bold nyeusi nilikuwa namaanisha ulizaliwa msimu gani, wa kipupwe au kiangazi?
 
Hapo kwenye Bold nyeusi nilikuwa namaanisha ulizaliwa msimu gani, wa kipupwe au kiangazi?

Kabla sijakujibu kudadadadadeki niambie kwanini ulinikimbia studio?

Rekodi zinaonyesha haijawahi tokea wauliza maswali wakamkibia mjibu maswali kwenye Zinduna talk show......ODM Hoyeeeeeeeeeee!
 
Last edited by a moderator:
Kabla sijakujibu kudadadadadeki niambie kwanini ulinikimbia studio?

Rekodi zinaonyesha haijawahi tokea wauliza maswali wakamkibia mjibu maswali kwenye Zinduna talk show......ODM Hoyeeeeeeeeeee!
Nilikuwa bize namoderate meseji za maswali ya wana JF
Ulitupiwa maswali mengi sana na yasiyofaa kuweka hadharani, labda tu jukwaala wakubwa hivyo nilikuwa bize nikiyachuja ili kipindi cha talk showkisije kikapigwa BAN na Invisible
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom