Hahahaaa Cantalisia amejificha kuleee....Nikamuite?Huyu msaidizi wangu Cantalisia sijui kenda wapi, ngoja nitafute nyoka hapo nje akatuleteehapo kwa Mangi
Tangu nije naye huku Arusha kufanya hii Talk Show ya Aunt Lizzy amekuwa hatulii anakukuruka kama kurumbizi , kutwa na Machalii wa hapa Unga Limited, ngoja tukirudi Dar nitam-mwaga, nitamchagua Asnam yeye naona katuliaHahahaaa Cantalisia amejificha kuleee....Nikamuite?
Erickb52 kwa kuwa umeonesha utovu wa nidhamu wa kuchakachua hii Talk Show, jiandae na maswali magumu nitakayokutwanga nayo wiki ijayo.Heheheeee Lizzy alinambia muda umeisha ndio nkaanza kuchakachua thread lol
Lizzy... Swali linakuja...!
Tangu uwe na huyo mumeo hujawahi kugundua kuwa anakucheat?
Na kama ndio ulimfanyaje? Na je unadhani ni mwaminifu kwa asilimia 100%?
Hahahaaaa amenogea na machalii aisee siunajua Arachiga noma aisee?
Heheheeee Lizzy alinambia muda umeisha ndio nkaanza kuchakachua thread lol
Lizzy... Swali linakuja...!
Tangu uwe na huyo mumeo hujawahi kugundua kuwa anakucheat?
Na kama ndio ulimfanyaje? Na je unadhani ni mwaminifu kwa asilimia 100%?
Lakini Lizzy umenikatisha tamaa sana leo, mimi nilifikiri bado uko single kumbe jamaa wameshabeba!! Sasa sijui nihamie wapi!!
Lizzy dada yangu heshima yako, me swali langu ni hili. hao je huyo mmeo ulie nae sasa ana watoto wengne make umesema wewe ulikuja na watoto wako. kama anao je unawapenda kama wa kwako hata kama hana je km angekuwa nao ungekuwa tayari kuishi nao na kuwapenda kama wa kwako? asante. . .
Hhehehehehe. . .sasa zimefikia ngapi?Nilikudokeza mwaka jana..nikaona kimya. Nikaamua kuzichanga kwanza ili nije na ari na nguvu zaidi kumbe jamaa walishaniwahi.. Ningejua ningepresent mapema..
Hhehehehehe. . .sasa zimefikia ngapi?