Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na Aunt Lizzy~~~~!

Heheheeee Lizzy alinambia muda umeisha ndio nkaanza kuchakachua thread lol
Lizzy... Swali linakuja...!
Tangu uwe na huyo mumeo hujawahi kugundua kuwa anakucheat?
Na kama ndio ulimfanyaje? Na je unadhani ni mwaminifu kwa asilimia 100%?
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa Cantalisia amejificha kuleee....Nikamuite?
Tangu nije naye huku Arusha kufanya hii Talk Show ya Aunt Lizzy amekuwa hatulii anakukuruka kama kurumbizi , kutwa na Machalii wa hapa Unga Limited, ngoja tukirudi Dar nitam-mwaga, nitamchagua Asnam yeye naona katulia
 
Last edited by a moderator:
Lakini Lizzy umenikatisha tamaa sana leo, mimi nilifikiri bado uko single kumbe jamaa wameshabeba!! Sasa sijui nihamie wapi!!
 
Heheheeee Lizzy alinambia muda umeisha ndio nkaanza kuchakachua thread lol
Lizzy... Swali linakuja...!
Tangu uwe na huyo mumeo hujawahi kugundua kuwa anakucheat?
Na kama ndio ulimfanyaje? Na je unadhani ni mwaminifu kwa asilimia 100%?
Erickb52 kwa kuwa umeonesha utovu wa nidhamu wa kuchakachua hii Talk Show, jiandae na maswali magumu nitakayokutwanga nayo wiki ijayo.

TALK SHOW YA WIKI IJAYO ITAKUWA HARD TALK....!
 
Hahahaaaa amenogea na machalii aisee siunajua Arachiga noma aisee?
Usichakachue thread naona umeanza kuiharibu...! Lizzy je...Ushapima afya yako(Gonjwa lilee) hata mara moja kujua status yako?
Hapa ni kwa kuwa ulishawahi kuolewa mara mbili kabla ya sasa
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 kwa kuwa umeonesha utovu wa nidhamu wa kuchakachua hii Talk Show, jiandae na maswali magumu nitakayokutwanga nayo wiki ijayo.

TALK SHOW YA WIKI IJAYO ITAKUWA HARD TALK....!
Hahahaaa ukinitisha napata dharura kama Kipipi
Hahahaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Lizzy dada yangu heshima yako, me swali langu ni hili. hao je huyo mmeo ulie nae sasa ana watoto wengne make umesema wewe ulikuja na watoto wako. kama anao je unawapenda kama wa kwako hata kama hana je km angekuwa nao ungekuwa tayari kuishi nao na kuwapenda kama wa kwako? asante. . .
 
Last edited by a moderator:
Heheheeee Lizzy alinambia muda umeisha ndio nkaanza kuchakachua thread lol
Lizzy... Swali linakuja...!
Tangu uwe na huyo mumeo hujawahi kugundua kuwa anakucheat?
Na kama ndio ulimfanyaje? Na je unadhani ni mwaminifu kwa asilimia 100%?

Zinduna inabidi watu waanze kulipia kushiriki kipindi ili kuchakachua kusiwepo.

Erickb52 Hapana kwakweli. . .na wala sijawahi kuhisi maana hajanipa sababu za kufanya hivyo kwahiyo namwamini.

Lakini Lizzy umenikatisha tamaa sana leo, mimi nilifikiri bado uko single kumbe jamaa wameshabeba!! Sasa sijui nihamie wapi!!

ndenga kwani ulikua unanipigia mahesabu? Mbona hukuwahi kuniambia. . .
 
Last edited by a moderator:
Zinduna inabidi watu waanze kulipia kushiriki kipindi ili kuchakachua kusiwepo.

Erickb52 Hapana kwakweli. . .na wala sijawahi kuhisi maana hajanipa sababu za kufanya hivyo kwahiyo namwamini.

ndenga kwani ulikua unanipigia mahesabu? Mbona hukuwahi kuniambia. . .

Nilikudokeza mwaka jana..nikaona kimya. Nikaamua kuzichanga kwanza ili nije na ari na nguvu zaidi kumbe jamaa walishaniwahi.. Ningejua ningepresent mapema..
 
Last edited by a moderator:
Lizzy dada yangu heshima yako, me swali langu ni hili. hao je huyo mmeo ulie nae sasa ana watoto wengne make umesema wewe ulikuja na watoto wako. kama anao je unawapenda kama wa kwako hata kama hana je km angekuwa nao ungekuwa tayari kuishi nao na kuwapenda kama wa kwako? asante. . .

Nyakwaratony ye nilimkuta na mmoja tu.Nikampokea wake nae akapokea wangu.

Sijawahi kuona ubaguzi wa aina yoyote ile kwahiyo naona anawapenda wote sawasawa.
 
Last edited by a moderator:
Nilikudokeza mwaka jana..nikaona kimya. Nikaamua kuzichanga kwanza ili nije na ari na nguvu zaidi kumbe jamaa walishaniwahi.. Ningejua ningepresent mapema..
Hhehehehehe. . .sasa zimefikia ngapi?
 
ndenga kwan ulikua unanipigia mahesabu? Mbona hukuwahi kuniambia. . .[/QUOTE]

Nilikuwa nakupigia hesabu sana, naona magazijuto yangu hayajanisaidia..
 
Last edited by a moderator:
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom