Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na Aunt Lizzy~~~~!

Kwanza namshukuru bi Zinduna kwa kutupa fursa hii ya kumjua Lizzy kwa undandi (no pun intended). Nina masuali mawili, ajibu in no particular order ila ajibu zote, ikibidi afafanue kwa mifano au picha.
1. Wewe ni msagaji hapo Unga limited? I mean, what is your position?
2. Mnasaga unga gani? C
Wa hapati ama?
Asante kwa majibu.

msagaji?
 
Lizzy what is your insipiration?

Neiwa anything and everything. . .
Yani kwanzia jua mpaka watu, music and a lot of other things.
hey sisy Lizzy umeshawahi fikiria kugombea nafasi ya kisiasa tz?je huwa unaepukaje hizi kero za BISHANGA.3: eti mumeo mpiga debe pale ARUSHA hii ni LE BISHANGA LE BISHAIJA KASEMA
Da The secretary 1. Ndio niliwahi kiwa na ndoto za kuanzia chini kabisa kama mbunge mpaka hata rais wa kike wa taifa letu pendwa na lililopotea, ila nlipoenda Moshi nikaambiwa niachane na pesa za msimu, ubunge karibu utaacha kulipa sana maana mafisadi wanakaribia kuanguka.

2. Hahahah... nilimwambia tu ukweli kwamba mie sitaki mtu wakuja kunifia kifuani, sasa kabaki kunichokonolea ndoa tu.

3. Bibie TS kwani kazi si kazi jamani? Mradi iwe inaingiza kipato cha halali na tulichoridhika nacho, kwahiyo jibu ni SIO MUHIMU kuwafahamisha kwa sasa.
 
Last edited by a moderator:
mimi swali langu kwa Lizzy ni kuhusu orodha yake ya 'aliowahi kuwa na crush nao hapa jf'..

nimeisubiri wee lakini wapi.....lol

nataka nichungulie kuona nipo au sipo lol

Hahahahaha The Boss . . . .
We unataka niwatie watu wazimu kama ule wa 'Gentleman'?!Naomba nijifanye sijaona ombi/takwa lako ili nisije nikajikosesha LIKE na REPUTATION za kuhongwa.

Lizzy ni mentor wangu...
Ila naomba anijibu swali moja,je ana uzito wa Kg ngapi?
Thanks go to you Zinduna

gambachovu . .. Hahahahaha GeeCee. . . sasa sijui nijibu ya kikweli kweli au kiJF JF. . .

Hhmmmm nwy mara ya mwisho nacheki miezi kadhaa iliyopita nilikuwa chini ya 65kg. . .
 
Last edited by a moderator:
Khaaaa ushaharibu mtiririko wangu wa maswali, basi nikuulize swali jingine...... uhusiano wako na mama mkwe ukoje?

BT pole bibie. . .
Mama mkwe mi nilimwona siku ya harusi tu, anaishi kwake nami kwangu salamu tunapeana kupitia mwanae kwahiyo hatuna tatizo.
Kwanza namshukuru bi Zinduna kwa kutupa fursa hii ya kumjua Lizzy kwa undandi (no pun intended). Nina masuali mawili, ajibu in no particular order ila ajibu zote, ikibidi afafanue kwa mifano au picha.
1. Wewe ni msagaji hapo Unga limited? I mean, what is your position?
2. Mnasaga unga gani? C
Wa hapati ama?
Asante kwa majibu.

Mwali
1. Hapana mwaya. . .mume wangu ndo anafanya kazi hukoooo kwenye mimashine sijui ya nini. Mara ilikua nguo SunFlag ghafla akaacha na kuingia kwenye biashara ya kusaga na kusambaza unga wa ngano. Mie najishughulisha na utengrnezaji wa pombe maarufu ya Buzaa huku kwetu.

2. Mwenyewe asema wa ngano. . .na mie naamini hivyo.
 
Last edited by a moderator:
Erick SIJAWAHI. Ndo zote mbili za mwanzo niliacha mimi.
Ni kweli nimeamini hasa pale ulipomwaga Bishanga hadharani....!
Je...Ushawahi kushiriki mashindano Miss Bantu mkoa wowote Tanzania?
 
Last edited by a moderator:
Alikwambia nani? Maneno ya mtaani achana nayo, mie mihogo hua nachemsha tu tena kwaajili ya mume wangu.
Ok sawa jibu zuri...!
Nilipata taarifa kuwa unamzimikia sana Bishanga ila unamdiss kwa kuwa hajatulia..je bado una moyo wa kumpenda hadi sasa?
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli nimeamini hasa pale ulipomwaga Bishanga hadharani....!
Je...Ushawahi kushiriki mashindano Miss Bantu mkoa wowote Tanzania?

Hahahah. . . sijawahi japo shepu laruhusu. Ngoja nimuulize mume kipenzi kama aweza niruhusu tuondokane na dhiki.

Ok sawa jibu zuri...!
Nilipata taarifa kuwa unamzimikia sana Bishanga ila unamdiss kwa kuwa hajatulia..je bado una moyo wa kumpenda hadi sasa?
We kijana Bishanga ndo alokutuma? Mwambie hujanikuta maana kipindi kilishaisha wakati unawasili.

. . . ila kama ni wewe unapenda kujua basi narudia tena achana na maneno ya kuambiwa. Nikimpenda Bishanga na naniii ntakua namfanya nini? Maana hamna zaidi ya kupenda.
 
Last edited by a moderator:
Zinduna naomba maji ya kunywa ehhhh. . .nilikuja na yangu yalochemsha kabisa ila sijui mmeniwekea wapi.
 
Last edited by a moderator:
Hahahah. . . sijawahi japo shepu laruhusu. Ngoja nimuulize mume kipenzi kama aweza niruhusu tuondokane na dhiki.

We kijana Bishanga ndo alokutuma? Mwambie hujanikuta maana kipindi kilishaisha wakati unawasili.

. . . ila kama ni wewe unapenda kujua basi narudia tena achana na maneno ya kuambiwa. Nikimpenda Bishanga na naniii ntakua namfanya nini? Maana hamna zaidi ya kupenda.
Hahahahaaaa Lizzy imenibidi nicheke aisee lol Bishanga alinituma kweli na bado atazidi kunisumbua mara eti Unga Ltd ni karibu na niliko nije niongee na wewe labda utabadilika umpende sasa mi nimechoka na usumbufu wacha niwe muwazi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom