Ringo Edmund
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 4,879
- 1,125
walishawazoeza fiesta sasa kaazi kwelikweli.
Wewe ni oyoyoo au poyoyo? hivi CCM iitishe mkutano wa hadhara ( acha maandamano ) itampata nani wa kuja kuwasikiliza hao watu wenye kaswende za ubongo? sasa hivi hata wajumbe wenu wa CCM wavibanda kumi kumi ( maana nyingi hazina hadhi ya kuitwa nyumba ) hawawezi kuhudhuria mikutano yenu bila kupewa kanga, Tshirt na kofia pamoja na posho, sasa unanishangaza ukiongelea maandamano CCM itampata nani kushiriki hayo maandamano yake? nijuavyo mimi utamaduni wa maandamano ya CCM siku zote ni kumpongeza JK basi, nayo huwa yanaandaliwa na viongozi viherehere ambao kwao wao siasa ni kujipendekeza, na mtaji wao ni watu kama wewe ambao mmesaliwa na uti wa mgongo tu ambao unawatambulisha kama binadamu bali ubongo hamna kitu maana ni kaswende tupu.
Wewe ni oyoyoo au poyoyo? QUOTE]
Mimi ni mkuu Oyoyoo Kama hujawahi nisikia sikiliza kwa J-Martins. Lakini licha ya kudhani username yako ni ya kishalobaro kumbe hamna kabisa ni ya kule kule uswazi? MY TAKE siku nyingine usishambulie username za wenzako concentrate na hoja
thanks jk for the news. Yalishaanza kusemwa mengine humu. Kumbe mbeya bado hawajachafuliwa. Big up to them.
Kuna threadi hapa inasema ZIARA MBEYA YA DR. BILALI YA DODA na hii DR/ BILALI ATUA KWA KISHINDO
which is which nisaidieni hapo
Wananchi wanajua cheo cha Makamu wa Raisi ni ceremonial position tu, hana mamlaka ya kufanya wala kuamua lolote katika nchi hivyo kwenda kumsikiliza au kutoa dukuduku zao kwa mtu aliyekuja tu kukata vitambaa ni kupoteza muda!!
Nadhani ifike mahali cheo hiki sasa kifutwe.
SIR NAME: BILAL
OTHER NAMES: MOHAMMED GHARIB
PLACE OF BIRTH: ZANZIBAR
MARITAL STATUS: MARRIED
SEX: MALE
NATIONALITY: TANZANIAN
PERMANENT HOME ADDRESS: P.O.BOX 234ZANZIBAR
COUNTRY OF RESIDENCE: ZANZIBAR
EDUCATIONAL BACKGROUND
1967: AWARDED B.Sc (PHYSICS) HOWARD UNIVERSITYUSA
1969: AWARDED M.Sc (PHYSICS) UNIVERSITY OF CALIFORNIA
(BERKLEY) USA
1976: AWARDED PhD (PHYSICS) UNIVERSITY OF CALIFONIA
(BERKLEY) USA
: NUCLEAR PHYSICIST
WORKING EXPERIENCE
CURRENT STATUS: VICE PRESIDENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
CHAIRMAN OF THE BOARDUNIVERSITY OF DODOMA
PAST EXPERIENCE IN CIVIL SERVICE
1990-1995: PRINCIPAL SECRETARY MINISTRY OF SCIENCE
TECHNOLOGY AND HIGHER EDUCATION TO THE
UNION GOVERMENT.
1976-1990: UNIVERSITY OF DAR ES SALAAMDEPARTMENT
OF PHYSICS
1982-1988: HEAD OF THE DEPARTMENT OF PHYSICS
1988-1990: DEAN OF THE FUCULTY OF SCIENCE
OTHER POSITION AND RESPONSIBILITIES
MEMBER OF VARIOUS DEPARTMENT OF THE UNIVERSITY
OF DAR ES SALAAM - ACADEMIC COMMITTEE
SOKOINEUNIVERSITY OF AGRICUKTURE, MOROGORO
TANZANIA
1988-1990: CHAIRMAN SCIENCE COMMITTEE OF INTER
UNIVERSITY COUNCIL OF EAST AFRICA
198 8-1990: BOARD MEMBER; COMMISSION OF SCIIENCE AND TECHNOLOGY
1893-1990: BOARD MEMBER; NATIONAL RADIATION COMMISSION
1988- 1990 MEMBER NATIONAL EXAMINATION COUNCIL
1989- 1995 MEMBER OF THE ROCKFELLER FOUNDATION FORUM
FOR CHILDREN EDUCATION IN SCIENCE AND
TECHNOLOGY
PROFESIONAL INTEREST
REDIATOIN PHYSICS
MEDICAL PHYSICS
APPLICATION OF NUCLEAR TECHNIQUES TO ENVIRONMENTAL SCIENCES
INNOVATIVE APPROACH TO SCIENCE
EDUCATION
Kiongozi waulize maana kama alienda kwa safari yake kifamilia sidhani kuwa aliwaambia waende, hili ni swali la kujibiwa na TISSNdio niliona picha kwenye gazeti, ni yeye. Lakini sina uhakika kama alitumia pesa ya walipakodi kupumzika SENAPA, hata yeye si anlipwa mshahara? Atakuwa alitumia mshahara wake, aahaaaa, ....nimekumbuka......walinzi wake, dereva.....walilipwa kutoka huko ulikosema......
Pamoja na kutangaza kwa siku 2 kila mtaa wa jiji la mby watu hawakujitokeza kumpokea vp dr. Bilal, hii inaashiria nini?
Hata kwa kuangalia picha zako, Idadi hiyo ni chini ya robo ya Idadi ya waliokuwepo katika mikutano ya Chadema kanda ya Ziwa. Subiri Chadema waje Mbeya. Halafu ulinganishe. Lakini pia utuambie kati ya hao waliokuwepo wangapi walikodiwa magari ya kuwapeleka hapo? Pkipiki ngapi zimejazwa mafuta na CCM? Chadema hawafanyi hivyo hata kidogo. Matangazo tu ndo watayatoa.
Ujua kuwa kichaa kunaanza taratibu, kama mtu alifatilia taarifa na alikuwapo Mbeya kabla Makamu hajaenda huko safari yake ilitangazwa rasmi nini majukumu yake. Hakuwa na mikutano ya hadhara wala ziara hiyo haikuwa ya maandamano kama CDM mlivyozoea. Ni wakati sasa kabla mtu hujaamka na hoja finyu utafakari kabla ya kuandika maana hapa Pinda kaenda Kagera mmeanza oooh anaenda kufuta cheche za CDM, CDM ni chama cha upinzani na hao ni viongozi kazi yao ni kutazama maendeleo na sio kupiga maneno. MY TAKE: Nawashukuru wananchi wa Mbeya kubakia wakifanya kazi zao za maendeleo maana maendleo hayaji kwa maandamano ama mikutano ya hadhara bali kufanya kazi kwa saa nyingi na kujituma.
Dr Bilal kaacha Historia Mbeya
Wanyakyusa na wasafwa hawana unafiki. Wamefanya kile kilichomo moyoni. Kwa ufupi ni kwamba wameikana sisiem na mambo yake yote na kazi zake zote, basi hakuna cha zaidi.[/QUOTE]
Ziara hiyo haikuwa ya CCM ilikuwa ziara ya kazi na kazi ilimalizaka na sasa Makamu anachapa kazi ofisini kwake Dar
ivi walibaki kufanya kazi au