Ziara ya dr. Bilal (Mbeya) yadoda

Mhoja

JF-Expert Member
Aug 13, 2010
207
24
Pamoja na kutangaza kwa siku 2 kila mtaa wa jiji la mby watu hawakujitokeza kumpokea vp dr. Bilal, hii inaashiria nini?
 
Wapo tight, mda mwingi wanautumia kuziba pengo la bajeti zao baada ya kuchakachuliwa vipato vyao na mfumuko wa bei
 
Pamoja na kutangaza kwa siku 2 kila mtaa wa jiji la mby watu hawakujitokeza kumpokea vp dr. Bilal, hii inaashiria nini?

Wananchi wanajua cheo cha Makamu wa Raisi ni ceremonial position tu, hana mamlaka ya kufanya wala kuamua lolote katika nchi hivyo kwenda kumsikiliza au kutoa dukuduku zao kwa mtu aliyekuja tu kukata vitambaa ni kupoteza muda!!

Nadhani ifike mahali cheo hiki sasa kifutwe.
 
Huyo jamaa hana mvuto, hata hiyo nafasi kapewa ili atulie.. :blah:
 
Hivi mtu anashughuli zake Mbeya mtu ataachaje shughuli zake kuja kusimama barabarani na kutumia nguvu zake kupunga mikono badala ya kulima. Zama za namna hiyo zishapita, kwani kama mkuu wa mkoa na wilaya wapo hao wanatosha kabisa kwani ndiye bosi wao.
 
Hivi wampokee kwa lipi jema lakini? ye aende kuchukua posho atambae zake kule....hana jipya
 
Huyo jamaa hana mvuto, hata hiyo nafasi kapewa ili atulie.. :blah:

Hotuba zake zote zinaboa saana na huwa anasoma karatasi bila hata kuangalia pembeni ili asikosee na anajidai kusoma eti kwa unyenyekevu kama mtakatifu fulani.

Hana mvuto kabisa huyu muzee na hana jipya yupo kwa ajili ya kuwatembeza wake zake Tanzania na alianza na kule serengeti.
 
Infact i did not feel or know anything about this guy.....
 
Watu hawana muda wa kupoteza na huyo, wanaisubiri CDM mwezi ujao.
 
Huyo jamaa hana mvuto, hata hiyo nafasi kapewa ili atulie.. :blah:


Na kweli maana bila hivyo jamaa kitambo tu ashaanza kuwa mwiba kwa c c majambazi hasa kwenye ule mkoa uliozungukwa na maji aka znj.


Amani yetu inatumiwa vibaya.
 
Ujua kuwa kichaa kunaanza taratibu, kama mtu alifatilia taarifa na alikuwapo Mbeya kabla Makamu hajaenda huko safari yake ilitangazwa rasmi nini majukumu yake. Hakuwa na mikutano ya hadhara wala ziara hiyo haikuwa ya maandamano kama CDM mlivyozoea. Ni wakati sasa kabla mtu hujaamka na hoja finyu utafakari kabla ya kuandika maana hapa Pinda kaenda Kagera mmeanza oooh anaenda kufuta cheche za CDM, CDM ni chama cha upinzani na hao ni viongozi kazi yao ni kutazama maendeleo na sio kupiga maneno. MY TAKE: Nawashukuru wananchi wa Mbeya kubakia wakifanya kazi zao za maendeleo maana maendleo hayaji kwa maandamano ama mikutano ya hadhara bali kufanya kazi kwa saa nyingi na kujituma.
 
katika hali ambayo ilitegemewa makamu wa Rais ametua kwa kishindo mbeya huku akilakiwa na umati mkubwa wa watu.

Dr Bilal kaacha Historia Mbeya

ISMAN+1.jpg
 
Back
Top Bottom