Elia
JF-Expert Member
- Dec 30, 2009
- 3,425
- 567
Hotuba zake zote zinaboa saana na huwa anasoma karatasi bila hata kuangalia pembeni ili asikosee na anajidai kusoma eti kwa unyenyekevu kama mtakatifu fulani.
Hana mvuto kabisa huyu muzee na hana jipya yupo kwa ajili ya kuwatembeza wake zake Tanzania na alianza na kule serengeti.
kachoka sana, Halafu haangaliagi watu usoni anaona aibu, anakula hela za wabongo bure....