ECES
Member
- Sep 15, 2010
- 61
- 24
Hivi inakuwaje unapoenda kwenye ofisi halafu unahudumiwa na mwanaume mwenzako lakini ana nyodo hata wadada hawaoni ndani, manake bora nyodo akufanyie mwanamke unaweza ukamezea lakini kwa mwanaume unashindwa kumuelewa kabisa :frusty::frusty::frusty:, mfano hai wa hili nenda pale HESLB aka loan bodi yani kama huna uvumilivu wa ziada unaweza kupata kesi....
inakera sana...:angry::angry::mad2::mad2::mad2:
inakera sana...:angry::angry::mad2::mad2::mad2: