Zena wa TTCL Customer Service yake Hovyo - Soma haya majibu!

mbona sio ttcl peke yake we nenda hata benk ze2 au kwenye ofc za hii mitandao ya cmu esp 0713 utachoka majibu yao
 
Aye, Pole sana kwa hasira! (hapo kwenye red inaelekea wewe ni mfanyakazi mwenzake) you guys need to up your game, matarajio ya wateja wenu wa sasa sio sawa na matarajio ya wateja wenu wa miaka ya 70, huduma mbofumbofu kama niliyopata kwa Z na inaonyesha hata wewe uko hivo hivo tu (kutokana na lugha yako humu) hazifurahishi wateja wenu.

Moja, TTCL ni shirika zuri, nimekua mteja wa TTCL nikiwa na kampuni tofauti tofauti nyingi na ninajua uwezo wa TTCL.

Mbili, Ukisoma post yangu hakuna sehemu nimemtukana Zena, Yes ninataja Jina, hakuna sehemu nimemtukana Zena, lakini kuna vitu lazima mkubali kujifunza, huwezi kukata simu ya mteja wakati mteja hajamaliza kukuuliza, kumbuka yeye ndiye alopiga HILO SI SAHIHI.

Tatu, Lugha yako inaonyesha wewe ni mtu wa aina gani, maneno kama. '
unasema we mteja wa broadband wakati ni kibarua wa UMOJA switch acha' mawazo kama haya ndiyo yanayowafanya watu kama wewe na zena kuwa na huduma mbaya kwa wateja, mmetanguliza sana dhararu, hata kama mimi ni kibarua lakini ninalipia huduma TTCL na hivyo ninahitaji kudumiwa vizuri.

Mkuu anaitwa Zena Mmbaga. Ana " URAFIKI" na wakubwa pale Extelecoms. Mimi namfahamu sijashangazwa na bandiko lako
 
jamani kwa ukweli kabisa kiufundi zena alikuwa sahihi kabisa,lazima tutofautishe aina ya huduma wandugu,unajua customer care anayehudumia kukaribisha watu,au tupokea malalamiko ya watu tanesco,dawasco,airtel etc.Kutoa taarifa juu ya muda wa kurudi internet,umeme,ni tofauti kabisa na kupewa taarifa ya muda wa kumaliza ujenzi wa ukuta wa choo ulioanguka,au kufukia mashimo barabarani.
field za engineering hazifanani kabisa haswa hii ya mambo telecommunications you can't predict period of troobleshooting faults

Cc ni mwakilishi wa kampuni kwa wateja! Zena alitakiwa kuwauliza engineers juu ya ukubwa wa tatizo, naamini wangempatia muda sahihi, naye angekuwa na majibu sahihi kwa wateja ,akiwanukuu hao engineer. Kama engineer anasema ukubwa wa tatizo haujulikani au hawezi ku predict muda wa kurestore service ! Tutakuwa pia na tatizo la wataalam!
 
Zena (Customer Service -TTCL): hapana siwezi kusema, nimeshakwambia hata sisi wenyewe hatupati hiyo internet na mafundi wanafanyia kazi, unajua mimi sio injinia, kwa hiyo siwezi kusema itachukua muda gani
Mimi: sikia zena, sitegemei wewe uwe injinia, lakini nategemea wewe uwe taarifa, ndio maana nakuuliza, lakini asante.

Zena akakata simu!.

Zena Zena Zena wewe ni mwanamke hodari, ntakutafuta nikupe ela ya soda. That is an extremely perfect answer na wala mtoa mada huwezi hata siku moja kumlaumu eti Zena amekujibu vibaya.Kwa taarifa yako mimi nafanya kazi ya IT and from mya heart I really really heart someone to breath on my neck when I am doing a technical job which need my concetration kwa hiyo hata mtu akija akaniuliza eti brother please just give me a time frame when do you think this job will be done. Mimi nachomjibu ni kwamba I am doing a technical job and I can not promise kwamba I will be through kwa muda gani maana naweza nikasema dakika 10 kumbe ikaja ikawa saa nzima ndo nikazidisha matatizo na matusi kwa wateja. Kwa hiyo the simplest answer is am working on it and once it is done I will let you know. Kwa hiyo hata Zena dada yangu huenda amekutana na IT kama mimi ndo maana akakujibu jibu kama hilo maana yeye sio technician. WELL DONE ZENA
 
asante kwa ku-echo hii, nimeisema mara mia kidogo, sikutegemea Zena ni injinia, lakini pia sikutegemea kupewa jibu jepesi afu i wish na tone ya Zena ingekua naweza kuiandika, ngumu sana kuelezea lakini unakua kwenye mazingira ambayo mtu anataka unalize tu kuongea, na kuthibitisha hilo alikata simu nikiwa bado hewani, haijalishi tutaielezaje, hii haikubaliki, watu kama Zena wajirekebishe
 
Zena (Customer Service -TTCL): hapana siwezi kusema, nimeshakwambia hata sisi wenyewe hatupati hiyo internet na mafundi wanafanyia kazi, unajua mimi sio injinia, kwa hiyo siwezi kusema itachukua muda gani
Mimi: sikia zena, sitegemei wewe uwe injinia, lakini nategemea wewe uwe taarifa, ndio maana nakuuliza, lakini asante.

Zena akakata simu!.

Zena Zena Zena wewe ni mwanamke hodari, ntakutafuta nikupe ela ya soda. That is an extremely perfect answer na wala mtoa mada huwezi hata siku moja kumlaumu eti Zena amekujibu vibaya.Kwa taarifa yako mimi nafanya kazi ya IT and from mya heart I really really heart someone to breath on my neck when I am doing a technical job which need my concetration kwa hiyo hata mtu akija akaniuliza eti brother please just give me a time frame when do you think this job will be done. Mimi nachomjibu ni kwamba I am doing a technical job and I can not promise kwamba I will be through kwa muda gani maana naweza nikasema dakika 10 kumbe ikaja ikawa saa nzima ndo nikazidisha matatizo na matusi kwa wateja. Kwa hiyo the simplest answer is am working on it and once it is done I will let you know. Kwa hiyo hata Zena dada yangu huenda amekutana na IT kama mimi ndo maana akakujibu jibu kama hilo maana yeye sio technician. WELL DONE ZENA

This speaks a lot about you, if i am your boss i fire you the next morning ukifanya upuuzi huu! kama huwezi hata kukadiria muda unaotumia kufanya kazi zako, inamaanisha unababaisha tu, hujui unafanya nini na kabla sijasahau, i am a tech person too.
 
Hata mimini mteja wa broadband, Lakini ukiwa unajua computer troubleshooting nini huwezi kumuuliza HATA fundi swali kama hilo. Kwani kila tatizo la internet/komputa linamalizwa na processes ambazo ni ndefu. Mf. system restore inaweza chukua dk30, lakini lazima backup has to decide on the time of the process to be taken. Kama ni kirus pia inategemea na fundi alivyoliona tatizo ikiwa ama akitafute manually na kukiondoa au automatically au backup na kisha kuanza upyaaaa.

Ila ukweli ni kuwa c/care ya Tz ni mbovu. Attendant wanaowekwa ni wauza sura na sio waliosomea na kuimudu kazi.
 
Utanifire vipi, nachokuambia ndo hicho labda mwenzangu wewe unafanya kazi na waswahili.Zamani nilikua nafanya kazi na waswahili kwa hiyo ukikadiria muda haikua mbaya hata kama utazidisha kwa dakika 20 si mbaya.Wewe fanya kazi na wazungu halafu mwambie kuwa server ipo down na itakuwa online after 30 minutes halafu hizo 30 minutes ziishe isiwe up usikie mziki wake.Mimi najua kabisa kuwa inatakiwa umtie moyo customer kwa kumpatia atleast estimation time lakini sasa ni kero pale ile estimation time yako inapokuwa haijazingatiwa.Kwa hiyo cha kufanya you either give high estimation kama umebanwa sana mfano kama kazi ni ya dakika 30 utasema dakika 45 alhamdulilah ikikamilika ndani ya dak 20,25 au hata 30 unawajulisha.Lakini kama ni tight wewe unasema kuwa you can not give a time frame kama alivofanya Zena kwa hiyo ZENA YUPO RIGHT AFTERALL YEYE SIYO TECHNICIAN NA PIA HUENDA TECHNICIAN KASHINDWA KUKOOPERATE NAE
 
kwanza unasema huwezi kumuuliza fundi, badae unatoa mfano kwamba system restore inachukua dk 30, sasa inawezekana unafanya system system restore na kisha ukashindwa kukadiria muda ambao hiyo kazi itakuchukua? tunachosema hapa ni Zena tunategemea awe taarifa flani kwa wateja, tena high level info tu na wala sio details zooote, hata kusema tu inatuchukua masaa mawili, au matatu, au manne ingetosha sana kama yeye hana hizo info basi inategemewa apate kutoka kwa wahusika, hao engeers wanapaswa kujua hiyo shinda iko wapi na waweze kukadiria angalau muda wataotumia kuresolve

the bottom line hapa mteja haaambiwi sijui, kwamba customer service officer hujui mteja aende wapi? mtu wa customer service anapaswa kutafuta hizo taarifa na kumjuza mteja
 
Bottom line ndugu Born-again ni taarifa, mtu wa customer service lazima awe na taarifa au atafute taarifa kwa ajili ya mteja, humwambii mteja sijui, kama we ni cso unamwambia hujui mteja aende wapi? kumbuka customer service ndio contact point.

Kwamba Yeye sio tech na labda tech wao kashindwa kutoa ushirikiano, haiwezi kuwa hoja nzuri, hayo ni matatizo yao ya ndani na wala hayapaswi kuathiri huduma kwa wateja.

Ninakuelewa ukisema unatoa muda kwa mteja lakini unaweka ziada flani, eg kazi unayohisi itachukua dk 20 utamwambia mteja dk 25, hii ni kawaida sana, lakini fikiri kazi itatokuchukua dk 20 na unamwambia mteja sijui itachukua muda gani, sasa mteja wako ajipange vipi?
 
kwanza unasema huwezi kumuuliza fundi, badae unatoa mfano kwamba system restore inachukua dk 30, sasa inawezekana unafanya system system restore na kisha ukashindwa kukadiria muda ambao hiyo kazi itakuchukua? tunachosema hapa ni Zena tunategemea awe taarifa flani kwa wateja, tena high level info tu na wala sio details zooote, hata kusema tu inatuchukua masaa mawili, au matatu, au manne ingetosha sana kama yeye hana hizo info basi inategemewa apate kutoka kwa wahusika, hao engeers wanapaswa kujua hiyo shinda iko wapi na waweze kukadiria angalau muda wataotumia kuresolve

the bottom line hapa mteja haaambiwi sijui, kwamba customer service officer hujui mteja aende wapi? mtu wa customer service anapaswa kutafuta hizo taarifa na kumjuza mteja
Mfano i mimi mwenyewe on3rd. Oct when I was recharging my Broadband a/c, i was failling to login. Lakini kila mtu wa data niliyeongea naye alikuwa akinipa matumaini ya kusubiri dk5. lakini kuanzia saa5 tuliweza maliza tatizo saa 12 jioni. So accept it or not its very difficult to detemine exact time of working when dealing with any electronics like a computer/internet troubleshooting.

Naamini mtoa mada was dismayed because he has stated earlier had a work-load.

What I insist is that our local c/care attendants in totality are there to sell their receptions (sura)
 
hahahahaa hapa umenifanya nicheke, basi ndio wajifunze, kwamba WaTZ tutapima kwa ubora wa huduma zao na si vinginevyo
 
Duh imekuwa miye tena...Mkuu wangu hakuna mtumishi wa customer service anaweza kumwabia jibu asiolijua ktk simu. Hilo swali la itachukua muda gani na approx.. kukisia wakati yupo mktk simu na wewe, sio fundi wala hayupo ktk sehemu ya bmatengenezo ni kumwonea bure.

Kama huyu jamaa yetu angeenda Ofisini yule bibie angechukua simu akapiga kwa mafundi kuulizia pengine angepata jibu. Hivyo maadam yeye sio fundi na upo naye kwenye simu na hajui itachukua muda gani ataweza vipi kukisia kitu asichokijua?
- Ujinga mwingine pengine mnatakiwa nayi mvute sigara ile muondoe wingu kichwani..

Alipaswa kumuomba mteja namba za simu, akishakujua approx time, ampigie mteja amuambie. Napia kumkatia mteja simu wakati mteja hajamaliza kuongea, ile hali mteja ndio kapiga simu, ni dharau. Zena anakiburi na dharau. Watu kama zena hawatakiwi katika ofisi za customercare kwasababu hawajui nini maana ya customercare.
 
Hii mm nililiongea jana kuna mtu alipiga simu customer service voda wakamjibu kuwa simu yake imeoza
 
haya ndio mambo ambayo yananikera keraa sana mijitu kama wewe hivi....kila mtu anafanya brada kudadadadadadadadadaddadadadeki zenu mnaonena huruma ati asifukuzwse...mmamae ndio maana mpaka leo wakina chenge wanadunga tu.....umenikera sana

mkuu mimi nimeona nisimjibu aye maana nitakula ban...
ningemnyea mbaya huyu mamba
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wangu tafadhali.... Hivi kama hajui ulitegemea aseme nini zaidi?. bila shaka kisha kwambai ahajui wewe bado unataka akueleze approx. itachukua muda gani wakati hajui. Je ulitaka akudanganye?..au afanye guess work!

u better shut your ***** mouth...coz what u r saying is EWWW...
 
This speaks a lot about you, if i am your boss i fire you the next morning ukifanya upuuzi huu! kama huwezi hata kukadiria muda unaotumia kufanya kazi zako, inamaanisha unababaisha tu, hujui unafanya nini na kabla sijasahau, i am a tech person too.

Mkuu,asante kwa kumjibu.
Tatizo jamaa aliingiza grandious za u'tekniko pale kuhalalisha kutoulizwa kitu! si unajua tena vilaza wanapofuta umuhimu kwa maguvu?! Kwan unadhan alishindwa nini kutaja muda lakin kuweka na tahadhari?!
Huyu hata mimi ningem'fire!
 
Kazi kweli kweli hata wasomi hamjui maana ya Internet au kirefu chake huyo Zena Mbaga yeye anahold hizo Wavuti? Keshasema hata TTCL hawapati Internet mlitaka akailete wapi? Ingekwa Broadband sawa nijukumu lake hata km ni Voda, tigo, airtel hupati Internet sio kazi ya customer care eti Provider wangu mbona hanirushii fb, yahoo, google jf nk
Hebu hamia BlackBerry km utampata hata Mama yake Customer care
 
Mkuu,asante kwa kumjibu.
Tatizo jamaa aliingiza grandious za u'tekniko pale kuhalalisha kutoulizwa kitu! si unajua tena vilaza wanapofuta umuhimu kwa maguvu?! Kwan unadhan alishindwa nini kutaja muda lakin kuweka na tahadhari?!
Huyu hata mimi ningem'fire!

tatizo la bornagain alikua anajua yeye peke yake ndio mtu wa tech, kasahau humu ndani kuna watu wa kada mbalimbali, na wengine wamebobea kwenye hizo anazoiita yeye 'technical jobs' kuliko hata yeye (bornagain) eti ''Kwa taarifa yako mimi nafanya kazi ya IT and from mya heart I really really heart someone to breath on my neck when I am doing a technical job which need my concetration'' ndio maana kwenye reply yangu nikamwambia kama mie ni boss wake namtimua haraka.
 
Back
Top Bottom