Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 734
- Thread starter
- #21
Makubwa
Naishitaki JF kwa nini mnatumia picha yangu bila idhini yangu?...preta mama ni PM mie wala sitishi kivile,Firstlady usipige makerere mie singati...am so lovely and hard working on that section...
Mbona ni binadamu kama sisi jamani? Sema hajaoga tu kama mwezi na kitu hivi....
ndio yuko serious hivo? hakuna hata dalili inayoonyesha huwa anatabasamu?
kwani ni prisoner? sio southern sudanese huyu?
kwani ni prisoner? sio southern sudanese huyu?
haswaaa!! jamaa wote kule wapo hivo, lakini videmu vyao vimekaa njema, japo full dark mwanangu.....sio black ni dark.
Nini kilicho kushtua?[/QUO usitegemee jibu.
huyu,masoud wa buguruni na remmy ongala nani zaidi?Ebana huyu mshkaji mbona mrembo kabisa, kazi ya Mungu haina makosa, hapo kinachowatatiza ni nini kwani!
Hiri rijamaa razima ritakuwa rijitu ra kure kwetu tarime tu....akiamua kukughecha harudi nyuma!!!