Zawadi murua kwa kina Preta, bht FirstLady...

Naishitaki JF kwa nini mnatumia picha yangu bila idhini yangu?...preta mama ni PM mie wala sitishi kivile,Firstlady usipige makerere mie singati...am so lovely and hard working on that section...

kumbe I was right...nimeangalia lips zako tu nikajua.....thx I will PM
 
dont forget he is a bloody human being, he did wrong he find himself like that!
He is cool african,waoo he has all human right
 
Sasa hapo wengine mnamkosoa nani? huyu jamaa wa kwenye picha au Mungu? huu ni ugumu wa maisha tu llaini jamaa angekuwa na pesa mngemsahau. Ebu chukulia mathalani waziri wetu (Nadhani kila mtu anaijua sera yetu ya shamba) angekuwa hana pesa yaani maskini kabisaa watu wangeshamuua maana binadamu bwana ukitisha kidogo wanasema mchawi.
 
ndio yuko serious hivo? hakuna hata dalili inayoonyesha huwa anatabasamu?

prison kuna kutabasamu? it is hell. The guy hajaoga muda mrefu, amekula maharage kwa muda mrefu mpaka ngozi imekosa virutubisho.
But akijipiga soap huyo ni kahandsome kuliko avatar yako...tehe tehe teheheheh
 
Hiri rijamaa razima ritakuwa rijitu ra kure kwetu tarime tu....akiamua kukughecha harudi nyuma!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom