Zawadi murua kwa kina Preta, bht FirstLady...

utashangaa watu kama hawa ni waoga mbaya. alafu wana roho ya upendo sana.
 
tisha.JPG

Hapo ndo anacheka kwa furaha kubwa, je akinuna ataonekana vipi, kazi kwako.
 
jamani, mtu mwenyewe si mnaona amevaa sare ya prison jamani, na inaelekea hapo alikuwa amepangwa kwenye mstari wa examination parade kutambua mtu aliyefanya kosa......he looks criminal.

He ww vipi kwingine nguo nguo tu! Mtu anagonga hat zile zilizoandikwa mhudumu wa chumba cha maiti wala haoni noma wala nini. Kisa anasoama sekondari ya kata!
 
OH yes hii ndo sura ya mtoto wa kiume, sura ya kazi. Hata polisi akitumwa anarudi na kuomba aongezewe nguvu
 
HAhahahah you have made my day after kusimama juani kwa muda mrefu kusubiria kupiga kura..... hii ni zawadi tosha (ingawaje haikuwa directed to me MJ1)

The harder the cover, the softer the inside.
 
Sasa hapo wengine mnamkosoa nani? huyu jamaa wa kwenye picha au Mungu? huu ni ugumu wa maisha tu llaini jamaa angekuwa na pesa mngemsahau. Ebu chukulia mathalani waziri wetu (Nadhani kila mtu anaijua sera yetu ya shamba) angekuwa hana pesa yaani maskini kabisaa watu wangeshamuua maana binadamu bwana ukitisha kidogo wanasema mchawi.

Ahaaaa mimi namjua wakati ameungua hanakitu weusi uligeuka ukawa blue!
 
Back
Top Bottom