Mada mezani: Kama mahari ni zawadi mabinti wasio na bikra na wale waliozalia nyumbani watolewe mahari kama zawadi ya nini?

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,705
36,154
Habari!

Tulipopinga suala la mahari kwa kusema kuwa mahari ni biashara ya kitumwa watetezi mkasema mahari ni heshima, ni zawadi kwa wazazi kwa kumtunza binti yao. Kumtunza sawa, lakini ametunzwa vipi huku hana bikra huku wengine wamezaa kabisa?

Ile bikra ndio itolewe mahari, bikra ndio thamani ya binti! Je, huyu binti ambaye bikra yake imekwenda na maji atolewe mahari kama zawadi ya kitu gani?

Kama ni zawadi ya kumzaa ikumbukwe hata muoaji amezaliwa atolewe mahari pia.
 
Habari!

Tulipopinga suala la mahari kwa kusema kuwa mahari ni biashara ya kitumwa watetezi mukasema mahari ni heshima, ni zawadi kwa wazazi kwa kumtunza Binti yao. Kumtunza sawa lakini ametunzwa vipi huku hana bikra?
Wengine wamezaa kabisa.

Ile bikra ndio itolewe mahari, bikra ndio thamani ya binti. Je, huyu binti ambaye bikra yake imekwenda na maji atolewe mahari kama zawadi ya kitu gani?

Kama ni zawadi ya kumzaa ikumbukwe hata muoaji amezaliwa atolewe mahari pia.
Zawadi ya kupigwa magegedo kama yoote
 
mahari ni heshima, ni zawadi kwa wazazi kwa kumtunza Binti yao. Kumtunza sawa lakini ametunzwa vipi huku hana bikra?
Kazi ya mzazi ni kumtunza mtoto kazi ya kulinda bikra isiondolewe kabda ya kuolewa ni ya mtoto mwenyewe. Mpe mzazi anachostahili.

Btw wanaume hamna ushirikiano kabisa, mkimaliza kulalamika hapa mnaenda kulipa mahari. Mngekuwa na ushirikiano haya malalamiko yasingekuwepo.
 
Kapigwa mgegedo eti ukamlipie 1ml plus ndoa ya ml 30 bajeti aki siwezi fanya huu upuuzi ktk maisha yangu
Ahahahah 😆 😆😆😆
Hapo ukienda nje kusoma au ukienda zile course za polisi TISS, tpdf za muda mrefu wale waliokuwa wakimchezea kabla hujamuoa watamnyemelea wamtoe nyege.
 
Kazi ya mzazi ni kumtunza mtoto kazi ya kulinda bikra isiondolewe kabda ya kuolewa ni ya mtoto mwenyewe. Mpe mzazi anachostahili.

Btw wanaume hamna ushirikiano kabisa, mkimaliza kulalamika hapa mnaenda kulipa mahari. Mngekuwa na ushirikiano haya malalamiko yasingekuwepo.
Bikra inalindwa na wazazi.
Kama wazazi hawamlindi binti yao akimaliza form four anakuwa kagongwa mara 20, akimaliza form six mara 100, chuo atafunga ndoa za muda mfupi na wanaume 2-3 .
 
Kuna mdau juzi alikua anajisifia katoa bikra ya binti wa miaka 17 na kuwapa mbinu wengine kudaka hizo bikra. Sasa mkuu kama watu wenyewe mna tabia hizo mbovu bikra mtazikutia wapi. Toeni tu hizo mahari kama shukran ya kupata mke
 
Kazi ya mzazi ni kumtunza mtoto kazi ya kulinda bikra isiondolewe kabda ya kuolewa ni ya mtoto mwenyewe. Mpe mzazi anachostahili.

Btw wanaume hamna ushirikiano kabisa, mkimaliza kulalamika hapa mnaenda kulipa mahari. Mngekuwa na ushirikiano haya malalamiko yasingekuwepo.

Mzazi anafunza nini kwa binti?

Kwa sasa hàpa mjini asilimia 60 ya wanaume hawàjatoa mahari na wanaishi na wanawake huu mwaka wa 10.
Wanaoenda kutoa mahari ni wale wasiojiamini, wanaoendeshwa na mambo ya kizamani ya kipuuzi,
 
Back
Top Bottom