Zarina Hakujiandaa kwa Shambulio la kustukiza

Inaonekana wazi aliekua kimada wa mwanamuziki wa bongo fleva Nassib Abdul,Zarina Hassan Tlale,hakujiandaa kwa shambulio la kustukiza kutoka kwa baba watoto wake huyo.

Kwa sasa Zarina na genge lake wanajitahidi kumwaga fafanuzi na vijembe kwenye social media,huku aliedondosha bomu la nyukilia akiwa Korea ya kusini hana hata habari.

Zarina anajaribu kutuaminisha kwamba bila yeye Diamond asingejulikana,huu ni uongo wa mchana kweupe

Zarina anajaribu kubeza kwamba nyumba alionunuliwa,si chochote kwa kua hapo kabla hakuwahi kuishi jalalani. Ukweli ni kwamba pamoja na mbwembwe zote mitandaoni hapo kabla, Zarina hakuwahi kuishi kwenye nyumba yake huko bondeni ndio maana baada ya Diamond kufanya tathmini akaona anunue nyumba kwa ajili ya utulivu wa watoto.

Kwa sasa Zarina angejaribu kuwa mtulivu tu, na kuendelea na kazi zake pamoja na kuendelea kutupostia mabega ya huyo king bae wake. Kama anajiamini amuweke hadharani badala ya kutishia watu nyau.

Diamond huwa hana aibu wala adabu hata chembe linapokuja suala la kueleza maisha yake
Kama wewe ni mwanamke kudos,kama mwanaume sasa
STUPID
 
Hivi wanaume wa dar mna matatizo gn? Hamjaona cha kudiscuss mpaka munakusanyika maskan eti mnaleta habar za zari dimond? Achen upuuzi uwo
 
Unaweza kukuta wachangiaji wa hii maada 70% hawajanywa chai asubuhi
Sidhani km bongo pamekuwa pagumu kiasi hicho mpaka watu kushindwa kustaftahi, hata km jiwe amekaza. Kama mtu anaweza nunua bando basi anaweza kunywa chai angalau na vitumbua vya mia mia😂😂😂😂
 
Nachowaza huko sauzi Korea asije akaiba demu wa jumong, maana huyu dogo mjinga saana kwakweli halafu aje atusimulie alivyompatapata haka katoto kashenzi sana
 
Muulize anamfahamu linda?(dada yake richard mshindi wa BBA)ana watoto watano kila mmoja ana baba yake na kila mmoja taifa jingine.
Hiyo inaitwa laana ya ukoo /generational curse, need Jesus to deliver her. Vinginevyo na watoto,wajukuu,vitukuu wataendelea kuwa hivyohivyo. Atakuwa amerithi kwa vizazi vilivyotangulia!
 
Mayai yanaishaje kama hajafika menopause?
Menopause ni kipindi ambacho huna uwezo wa kuzalisha tena hata kama yapo
Inawezekana kibailojia umeumbwa kuzaa mara nne tu,ukaua watoto wote hao,ni dhahiri mgawo wako kutoka kwa Mungu utakua umeumaliza
 
Cha kushangaza huyu nae yupo mstari wa mbele kumtukana Zari
Hiyo inaitwa laana ya ukoo /generational curse, need Jesus to deliver her. Vinginevyo na watoto,wajukuu,vitukuu wataendelea kuwa hivyohivyo. Atakuwa amerithi kwa vizazi vilivyotangulia!
 
Menopause ni kipindi ambacho huna uwezo wa kuzalisha tena hata kama yapo
Inawezekana kibailojia umeumbwa kuzaa mara nne tu,ukaua watoto wote hao,ni dhahiri mgawo wako kutoka kwa Mungu utakua umeumaliza

Kuna gyna mmoja aliniambiaga mradi unapata monthly period, maana yake mayai yanazalishwa unakuwa na uwezo wa kuzaa sema kunakuwa na matatizo tu yanayopelekea mimba isishike, lakini yakishughulikiwa mimba unashika
 
57191867_675229136265630_2143609180660800565_n.jpg
Kwa vidole ivi lazima uwe na wivu na nyie Zaeni na Dai basi awape Pakukaaa Kwann mnaumia Ooh sipend show off Wakat kawekwa screen saver ana tangaza dunia nzima Sema Nna penda show off ila sina chaku show Mashauzi yanataka pesa Heheh Ku fake.nako lazima uwe na hela babu weee Tena kufake ni gharama kuliko Kuwa real mana unabidi u maintain Zari ameku kwny spotlight more than 20yrs kote walikuwa wanasema ana fake still ame maintain ana Ame ji upgrade haloooo
 
Kiukweli as a woman Zari anakosea hivi mwanamke anaejitambua anaweza ingiza hawara ndani kwake?tuacheni unaafiki tena una watoto wakubwaa?

Hivi wanawake tuna shida gani?kwanza kitendo chenyewe tu uchafu(uzinzi)unafanya hadharani mbele ya watoto?

Halafu nyumba umenunuliwa na mwanaume mwingine unaingiza mwanaume mbele ya watoto zako?wanakuona anakulala anaondoka daahh!

Sijawaza na sitafikia hukoo nimeapa wanangu hawatokaa wamjue hawara yangu hata akiwa na pesa unless anioe kabisaa ila sio kuzini tuu!

Wanaomtetea Zari anayoyafanya ni makahaba tu yasio na maadili!!!
Tiffah alivyozaliwa zari alikua anaishi wapi huko sauz? Diamond alikua haendi kutembea hapo nyumbani alipokua anaishi zari?
 
Cha kushangaza huyu nae yupo mstari wa mbele kumtukana Zari
Makabila ya nchi za kusini mwa Africa wana hiyo hali. Wanawake wanapenda kuzalishwa bila kuwa na waume. Unakuta ana divorce mwanaume bila sababu ya msingi. Single mother ni wengi sana.Halafu unakuta ilianza toka kwa bibi wa mbali kabisa wote wanakuwa hivyohivyo. Nimekuwa Botswana, SA,Swaziland,Lesotho, Zimbabwe. Wako hivyohivyo.Kule kupewa mzigo na dame sio issue kubwa. Anakupa tu halafu mnaachana.
Zari nafikiri dini yake inamruhusu. Kwenye dini hiyo, Mwanamke anaweza kuolewa hata zaidi ya mara 4.
 
Back
Top Bottom