Inaonekana wazi aliekua kimada wa mwanamuziki wa bongo fleva Nassib Abdul,Zarina Hassan Tlale,hakujiandaa kwa shambulio la kustukiza kutoka kwa baba watoto wake huyo.
Kwa sasa Zarina na genge lake wanajitahidi kumwaga fafanuzi na vijembe kwenye social media,huku aliedondosha bomu la nyukilia akiwa Korea ya kusini hana hata habari.
Zarina anajaribu kutuaminisha kwamba bila yeye Diamond asingejulikana,huu ni uongo wa mchana kweupe
Zarina anajaribu kubeza kwamba nyumba alionunuliwa,si chochote kwa kua hapo kabla hakuwahi kuishi jalalani. Ukweli ni kwamba pamoja na mbwembwe zote mitandaoni hapo kabla, Zarina hakuwahi kuishi kwenye nyumba yake huko bondeni ndio maana baada ya Diamond kufanya tathmini akaona anunue nyumba kwa ajili ya utulivu wa watoto.
Kwa sasa Zarina angejaribu kuwa mtulivu tu, na kuendelea na kazi zake pamoja na kuendelea kutupostia mabega ya huyo king bae wake. Kama anajiamini amuweke hadharani badala ya kutishia watu nyau.
Diamond huwa hana aibu wala adabu hata chembe linapokuja suala la kueleza maisha yake