Wordsworth
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,177
- 3,318
😂😂 kinakuhangaisha haswaa!Ni kama kimbunga Keneth
😂😂 kinakuhangaisha haswaa!Ni kama kimbunga Keneth
Kama wewe ni mwanamke kudos,kama mwanaume sasaInaonekana wazi aliekua kimada wa mwanamuziki wa bongo fleva Nassib Abdul,Zarina Hassan Tlale,hakujiandaa kwa shambulio la kustukiza kutoka kwa baba watoto wake huyo.
Kwa sasa Zarina na genge lake wanajitahidi kumwaga fafanuzi na vijembe kwenye social media,huku aliedondosha bomu la nyukilia akiwa Korea ya kusini hana hata habari.
Zarina anajaribu kutuaminisha kwamba bila yeye Diamond asingejulikana,huu ni uongo wa mchana kweupe
Zarina anajaribu kubeza kwamba nyumba alionunuliwa,si chochote kwa kua hapo kabla hakuwahi kuishi jalalani. Ukweli ni kwamba pamoja na mbwembwe zote mitandaoni hapo kabla, Zarina hakuwahi kuishi kwenye nyumba yake huko bondeni ndio maana baada ya Diamond kufanya tathmini akaona anunue nyumba kwa ajili ya utulivu wa watoto.
Kwa sasa Zarina angejaribu kuwa mtulivu tu, na kuendelea na kazi zake pamoja na kuendelea kutupostia mabega ya huyo king bae wake. Kama anajiamini amuweke hadharani badala ya kutishia watu nyau.
Diamond huwa hana aibu wala adabu hata chembe linapokuja suala la kueleza maisha yake
Sidhani km bongo pamekuwa pagumu kiasi hicho mpaka watu kushindwa kustaftahi, hata km jiwe amekaza. Kama mtu anaweza nunua bando basi anaweza kunywa chai angalau na vitumbua vya mia mia😂😂😂😂Unaweza kukuta wachangiaji wa hii maada 70% hawajanywa chai asubuhi
Hiyo inaitwa laana ya ukoo /generational curse, need Jesus to deliver her. Vinginevyo na watoto,wajukuu,vitukuu wataendelea kuwa hivyohivyo. Atakuwa amerithi kwa vizazi vilivyotangulia!Muulize anamfahamu linda?(dada yake richard mshindi wa BBA)ana watoto watano kila mmoja ana baba yake na kila mmoja taifa jingine.
Umepanic!Kama wewe ni mwanamke kudos,kama mwanaume sasa
STUPID
Menopause ni kipindi ambacho huna uwezo wa kuzalisha tena hata kama yapoMayai yanaishaje kama hajafika menopause?
Kila bada ya dakika mbili.anapost,mara kashikwa paja,mara yupo kitandana kama vile anachofanya ni cha ajabu sana dunianiNi kama kimbunga Keneth
Picha kama hii hata wewe unaweza kupiga mdogo wangu. Usiwe limbukeni.
kwaiyo huyu kaliwa Sasa diamond mbona ana bahati mbaya
Kila bada ya dakika mbili.anapost,mara kashikwa paja,mara yupo kitandana kama vile anachofanya ni cha ajabu sana duniani
Hiyo inaitwa laana ya ukoo /generational curse, need Jesus to deliver her. Vinginevyo na watoto,wajukuu,vitukuu wataendelea kuwa hivyohivyo. Atakuwa amerithi kwa vizazi vilivyotangulia!
Imeisha hiyo.Na hapa je?View attachment 1082029
Menopause ni kipindi ambacho huna uwezo wa kuzalisha tena hata kama yapo
Inawezekana kibailojia umeumbwa kuzaa mara nne tu,ukaua watoto wote hao,ni dhahiri mgawo wako kutoka kwa Mungu utakua umeumaliza
Tiffah alivyozaliwa zari alikua anaishi wapi huko sauz? Diamond alikua haendi kutembea hapo nyumbani alipokua anaishi zari?Kiukweli as a woman Zari anakosea hivi mwanamke anaejitambua anaweza ingiza hawara ndani kwake?tuacheni unaafiki tena una watoto wakubwaa?
Hivi wanawake tuna shida gani?kwanza kitendo chenyewe tu uchafu(uzinzi)unafanya hadharani mbele ya watoto?
Halafu nyumba umenunuliwa na mwanaume mwingine unaingiza mwanaume mbele ya watoto zako?wanakuona anakulala anaondoka daahh!
Sijawaza na sitafikia hukoo nimeapa wanangu hawatokaa wamjue hawara yangu hata akiwa na pesa unless anioe kabisaa ila sio kuzini tuu!
Wanaomtetea Zari anayoyafanya ni makahaba tu yasio na maadili!!!
Makabila ya nchi za kusini mwa Africa wana hiyo hali. Wanawake wanapenda kuzalishwa bila kuwa na waume. Unakuta ana divorce mwanaume bila sababu ya msingi. Single mother ni wengi sana.Halafu unakuta ilianza toka kwa bibi wa mbali kabisa wote wanakuwa hivyohivyo. Nimekuwa Botswana, SA,Swaziland,Lesotho, Zimbabwe. Wako hivyohivyo.Kule kupewa mzigo na dame sio issue kubwa. Anakupa tu halafu mnaachana.Cha kushangaza huyu nae yupo mstari wa mbele kumtukana Zari
Alafu huwa wanawakanyaga sanakuna mitaa huwa napita,nawaonaga vijana wapo busy kazini kuosha miguu ya watoto wakali,nataka niifanye kama hobby lakini zeshchriss unanibania