Losomich
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 371
- 71
Hakuna narefu yasiyo kuwa na ncha. Muungana ulikuwa na mwanzo wake na hivyo hakuna budi ufikie mwisho wake pia. Waliolianzisha wamefikia mwisho wao wakaondoka, hawapotena. Kibaya zaidi wameondoka na zile nyaraka za maafikiano ya muungano. Mnaotetea muungano mnajua mnachokitete au mmekuwa bendera fuata upepo. Elimikeni watu wangu!!!