Kumbakumba
JF-Expert Member
- Sep 7, 2011
- 222
- 18
wacha wakajiunge na OIC wanawaza misaada vichwani
Waamue nn? UN haina uwezo wa kuvunja nchi. Hawa ni walevi wa madaraka kama alivyosema mwalimu. Naona wamemsahau mkapa na mahita.kama wao ndo wameamua hivyo hakuna tabu waende kwa amani
You never know what you have until you lose it.
Mwaka 1977, Kenya walifurahi sana kuvunja Jumuia ya Afrika ya Mashariki (EAC) na kukamata ndege nyingi nzuri zilizokuwa mali ya Jumuia hiyo; leo hii Kenya hao hao ndio walio mbele sana katika kudai jumuia hiyo hadi kufikia kuilaumua Tanzania kuwa hatuna uharaka wa kuanzisha jumuia hiyo tena. Time will tell. Zanzibar wataulilia Muungano huu kwa saudti kubwa sana, tena katika muda mfupi mno iwapo utavunjika. Time will tell
now this is an answer from great thinker.. wengine porojo tupu....!! reputation ya jf inashuka siki zikizidi kwenda .... jibu lako ni zuri user name yako ipo mahala pake...kama wao ndo wameamua hivyo hakuna tabu waende kwa amani
now this is an answer from great thinker.. wengine porojo tupu....!! reputation ya jf inashuka siki zikizidi kwenda .... jibu lako ni zuri user name yako ipo mahala pake...kama wao ndo wameamua hivyo hakuna tabu waende kwa amani
Kwa sababu hatuwahitaji, ni mzigo.... Sasa kwanini si Watanganyika tusiwasikilize Wazanzibari badala ya kuwabeza?!
Wewe unakumbuka zaidi wajerumani kuazimwa eneo na sultan, mbona hujiulizi kuwa Sultan alipata wapi mamlaka ya kuazimisha eneo wakati yeye ni mwarabu na eneo ni la waafrika. Au unataka kutuaminisha kuwa Sultan yeye ndo alimiliki eneo hilo kihalali. Kwa taarifa tu acha wazanzibar wajitenge hakuna shida yoyote tutapata. wazenji watageuka Rwanda nyingine kati ya waunguja na wapemba.Hebu waambieni waache tamaa na upuuzi. Mnaowabeza wazanzibari kuwa wakijitenga watahamia bara mnajua kuwa ukanda wa pwani wa Tanzania na Kenya hadi Msumbiji ni eneo la zanzibar? Kenya wana mgogoro na wakenya waliopo ukanda wa pwana wanataka kujitenga na kurudi Zanzibar. Tanzania hakuna evidence kuwa eneo waliloazimwa wajerumani na sultani wamelinunua kihalali (10 Kilometer wide coastal strip from Tanga - Mozambique). Je wazanzibar wakiamua kudai eneo lao mtalitoa? Kuweni Great Thinker ni kuwaomba waache mpango wao kwani sasa hakuna mzanzibari tumechanganyika mno baina ya sisi watanganyika na wazanzibari .
mbona miaka yote hiyo zaid ya 40 walikuwa wamelala-wafanye haraka ili ikiwezekana mwaka huu wajitoe-hawana faida yoyote ile-ni mzigo tuliojibebesha ambao hautusaidii kwa lolote-wakwende zao huko
By Mdondoaji
Hebu waambieni waache tamaa na upuuzi. Mnaowabeza wazanzibari kuwa wakijitenga watahamia bara mnajua kuwa ukanda wa pwani wa Tanzania na Kenya hadi Msumbiji ni eneo la zanzibar? Kenya wana mgogoro na wakenya waliopo ukanda wa pwana wanataka kujitenga na kurudi Zanzibar. Tanzania hakuna evidence kuwa eneo waliloazimwa wajerumani na sultani wamelinunua kihalali (10 Kilometer wide coastal strip from Tanga - Mozambique). Je wazanzibar wakiamua kudai eneo lao mtalitoa? Kuweni Great Thinker ni kuwaomba waache mpango wao kwani sasa hakuna mzanzibari tumechanganyika mno baina ya sisi watanganyika na wazanzibari .
GERMAN EAST AFRICA Timeline
1884 November 4 Karl Peters, Joachim Graf von Pfeil and Doctor Juhlke, agents of the Deutsch Kolonialgeschellschaft (German Colonization Society), arrive in Zanizbar disguised as mechanics on a passenger steamer. The trio plans land on the mainland opposite Zanzibar and conclude treaties placing the local tribes under German protection. The German Government officially disapproves of their undertaking but German residents of Zanzibar provide encouragement. November 8 Peters, von Pfeil and Juhlke land at Mbuzini armed with a supply of German flags and blank treaty forms. A treaty is signed with the Chief of Usambara placing him under German protection. The flag is hoisted and Usambara is declared to be independent of Zanzibar. November The German agents push up the Wami as far as the Usagara country and continue to conclude treaties of protection with the native tribes. December Karl Peters returns to the coast with documents which he claims concede nearly 100,000 sq. km. to the Deutsch Kolonialgeschellschaft (German Colonization Society). 1885 February 17 Kaiser Wilhelm II grants a charter of protection to the Deutsch Kolonialgeschellschaft (German Colonization Society) accepting suzerainty over the newly acquired territories and placing them, "under our Imperial protection". March 6 The British Government and the Sultan of Zanzibar are officially notified of the German actions in East Africa. Sultan Seyyid Bargash wires a protest to Berlin declaring that the lands in question have belonged to Zanzibar since the time of his fathers. The German Consul rejects Zanzibar's protest and the Sultan dispatches a small force to the disputed territory which he subsequently withdraws. May The Sultan of Zanzibar sends an expedition under the command of General Lloyd Mathews, the commander-in-chief of the Zanzibar army, to the Kilimanjaro district, in to forestall further treaty making by German agents. May 6 The Sultan of Witu, a small territory situated north of the Tana River, executes a deed of sale and cession by which German subjects acquire rights on the coast-line claimed by the sultan. May 25 British Foreign Secretary Lord Granville directs the British ambassador to Berlin to inform the German Government that, "the supposition that Her Majesty's Government have no intention of opposing the German scheme of colonization in the neighbourhood of Zanzibar is absolutely correct." August A German naval squadron appears off the coast of Zanzibar. August 14 The Sultan of Zanzibar agrees to recognize the German protectorate over Usagara and Witu as well as the validity of earlier treaties with the East African chiefs. 1886 June A joint commission established by Great Britain, Germany and France, " for the purpose of inquiring into the claims of the sultans of Zanzibar to sovereignty over certain territories on the east coast of Africa, of the and of ascertaining their precise limits" recognizes the sultan's claims to the islands of Zanzibar, Pemba, Lamu, Mafia and a 10 mile wide strip of the East African coast stretching 600 miles between the south bank of the Minengani River and the mouth of the Tana River. November Great Britain and Germany accept the findings of the International Joint Commission on Zanzibar. December 4 The Sultan of Zanzibar accepts the report of the International Joint Commission. December 30 Germany and Great Britain define the border between their East African spheres of influence between the mouth of the Tana River and Lake Victoria. 1887 March The Deutsch-Ostafrikanische Gesellschaft (German East African Company) is incorporated under Imperial charter. 1888 April 28 Sultan Khalifa of Zanzibar grants a lease on his mainland possessions to the Deutsch- Ostafrikanische Gesellschaft (German East African Company). August 16 The Deutsch-Ostafrikanische Gesellschaft (German East African Company) begins administration of its leases. August 21 Arab traders on the East African coast revolt against the rule of the German East Africa Company. The Company is unable to suppress the rebellion. Chancellor Bismarck dispatches a naval squadron and detachment of troops under the command of Major Hermann von Wissmann. 1889 February 8 Major Hermann von Wissmann is appointed Commissioner of German East Africa. During the Year Major von Wissman's detachment (for the most part Sudanese troops under German officers) crushes the Arab rebellion. 1890 July 1 Great Britain and Germany sign an accord defining their spheres of influence in East Africa. Great Britain abandons plans to link its possessions from the "Cape to Cairo" and agrees to recognize German East Africa's boundary with the Congo Free State in return for German recognition of a British protectorate over Zanzibar. October 28 The sultan of Zanzibar cedes all sovereignty over the mainland territories leased to the Deutsch- Ostafrikanische Gesellschaft to the German Empire in return for a compensatory payment of 4 million marks (£200,000).
Katika katiba yao mpya iliyorekebishwa kuruhusu serikali ya umoja wa kitaifa inatamka Zanzibar ni nchi. Hivyo wanachotaka ni kutambuliwa kimataifa
inasemekana kuwa kuna ishuu nyingi tu kubwa yao ni mafuta ndio sababu ya kuwa wakongwe wa CCM hawataki kuiachia Zanzibar iwe kivyake!!hv huko zenj kuna nn hasa?
Ni kweli, waende zao ili walao kelele za malalamiko zipungue.
bora wakae pembeni kwanza wabaguzi sana. ukitaka kujua hili waulize (watu wa bara) waliojaribu kuposa upembani kilichowakuta! thy consider thm-self perfect thn othrsWanaharakati wa zanzibar wamefikia hatua hiyo baada ya kuona hawaridhiki na matendo ya Muungano na hatimaye kuwasilisha uhitaji wao wa kujitenga UN.
Mytake: Kama muungano ukivunjika si hamna CCM au? ila ngojea tuwaze plan B
source BBC