Zanzibar wapeleka barua UN kuvunja Muungano

Hakuna narefu yasiyo kuwa na ncha. Muungana ulikuwa na mwanzo wake na hivyo hakuna budi ufikie mwisho wake pia. Waliolianzisha wamefikia mwisho wao wakaondoka, hawapotena. Kibaya zaidi wameondoka na zile nyaraka za maafikiano ya muungano. Mnaotetea muungano mnajua mnachokitete au mmekuwa bendera fuata upepo. Elimikeni watu wangu!!!
 
Zanzibar wanakwenda umpja wa mataifa kifanya nini kama siyo upungufu huo. Nchi hii ni huru na wala hiko chini ya usimamizi wa umoja wa mataifa. Kama. Hawataki muungano wana njia mbili za kuuvunja. Kukaa kitako na upande wa pili wa muungano na kuvunja kabisa katiba iliyopo. Njia ya pili ni kupigana vita dhidi ya upande wa pili ili kuvunja katiba iliyopo na kujitenga.
 
zanziba wana tishia mtu mzima nyau
ukweli ni kwamba zenji wanautaka sana huu muungano
 
kwani zinazotengana ni watu au serikali??? Mbona kenya na uganda hata kule uingereza kuna watanganyika na wazanzibari wenye viwanja maduka mashamba hata watoto na maisha yanaenda hamna chuki yoyote ????wewe unaishi ulimwengu gani ??

Ni kweli wanamiliki....... lakini sheria zetu haziruhusu mgeni kumiliki ardhi...... hata sasa wapemba wachache wanao miliki ardhi hapa bara wanafanya hivyo kwa hisani...... kwa maana ardhi si jambo la Muungano......
 
zanzibar wanakwenda umpja wa mataifa kifanya nini kama siyo upungufu huo. Nchi hii ni huru na wala hiko chini ya usimamizi wa umoja wa mataifa. Kama. Hawataki muungano wana njia mbili za kuuvunja. Kukaa kitako na upande wa pili wa muungano na kuvunja kabisa katiba iliyopo. Njia ya pili ni kupigana vita dhidi ya upande wa pili ili kuvunja katiba iliyopo na kujitenga.

vita ya nini kwani huu ni muungano au mvamiano??????
 
ni kweli wanamiliki....... Lakini sheria zetu haziruhusu mgeni kumiliki ardhi...... Hata sasa wapemba wachache wanao miliki ardhi hapa bara wanafanya hivyo kwa hisani...... Kwa maana ardhi si jambo la muungano......

hapa ndio patamu maana kama wazanzibari hawakudai nchi yao wengine tusingalijua hii sheria kama ipo . Kwa taarifa yako mbona wageni wengi tu wanamiliki hiyo ardhi na wala si wapemba
 
Siwachukii wazenji wana nini maenzenu ila nasubiri kwa hamu huu muungano ueleweke. Either kuuvunja au kuujenga upya, huu usafiri uliopo sasa unachefua na ni aibu, siku viongozi wamepofushwa na nini? Manake hukupata sina kuwaenzi waasisi ni kuwadhalilisha.
 
Sababu kubwa ya kuungana na Zanzibar ni suala la Usalama. Zanzibar imepakana sana na Tannganyika, ni bora tungepakana kwa aridhi, lakini tumepakana kwa maji. Kuna migogoro mingi sana inapokuja suala la mipaka ya maji.

Kama Zanzibar itajitenga, hatuwezi jua itachukua msimamo gani wa kisiasa? Itatengeneza marafiki gani? Uhusiano wetu na wao utakuwaje?

Kama ikitokea tukawa na uhasama kwa namna yeyote, ni rahisi hata kutumiwa na maadui wa Tanganyika kama kituo cha kuweka majeshi yao au kuweka vitisho. Kiufupi Zanzibar itakuwa kama buffer zone kati ya Tanganyika na Maadui zake. Yawezekana tusiwe na maadui leo, lakini kesho waweza kutokea.

Kiuchumi tutaathirika, kama Zanzibar itajitenga, lazima itachorwa mipaka mipya ama ile ya zamani kabla ya muungano. Sehemu ya maji ya bahari itabaki Zanzibar, na hatutakuwa na haki nayo tena. Shughuli za uvuvi na nyinginezo zitaathirika.

Hakuna jinsi, kama kweli wananchi wa Zanzibar wanataka kujitenga, nani wa kuwazuia? Hakuna mwenye haki ya kuwazuia, serikali imeendeleza ubabaishaji kwa mambo muhimu, watu wamehoji mkataba wa Muungano, hawajatoa, watu wamepigia kelele kero za Muungano, Ikiwa ni pamoja na Tanganyika kuwa na serikali yake, au Serikali za Zanzibar ivunjwe, lakini wapi.

Ingekuwa rahisi kuwa na Serikali 3 kuliko serikali moja 1, kwani Zanzibar wasingekubali kuvunja serikali yao. Na kwa mtazamo wa viongozi wa Tanganyika, Tanganyika inaihitaji sana zanzibar linapokuja suala la usalama wa nchi, wakati kwa mtazamo wa viongozi wa Zanzibar, Zanzibar inaihitaji sana Tanganyika linapokuja suala la umoja wa wazanzibari.

Kama muungano ukivunjiaka, hapatakuwepo na Zanzibar, patakuwepo na Unguja na Pemba.
 
zanziba wana tishia mtu mzima nyau
ukweli ni kwamba zenji wanautaka sana huu muungano

Kwanini Tanganyika mnaogopa nini kama wa Znz hawautaki muungano?

Kuna siri gani kwenu wa Tanganyika kuukumbatia huo so called Mvungano?

Nyau huyo sasa yupo UN. kazi kwenu
 
Sababu kubwa ya kuungana na Zanzibar ni suala la Usalama. Zanzibar imepakana sana na Tannganyika, ni bora tungepakana kwa aridhi, lakini tumepakana kwa maji. Kuna migogoro mingi sana inapokuja suala la mipaka ya maji.

Kama Zanzibar itajitenga, hatuwezi jua itachukua msimamo gani wa kisiasa? Itatengeneza marafiki gani? Uhusiano wetu na wao utakuwaje?

Kama ikitokea tukawa na uhasama kwa namna yeyote, ni rahisi hata kutumiwa na maadui wa Tanganyika kama kituo cha kuweka majeshi yao au kuweka vitisho. Kiufupi Zanzibar itakuwa kama buffer zone kati ya Tanganyika na Maadui zake. Yawezekana tusiwe na maadui leo, lakini kesho waweza kutokea.

Kiuchumi tutaathirika, kama Zanzibar itajitenga, lazima itachorwa mipaka mipya ama ile ya zamani kabla ya muungano. Sehemu ya maji ya bahari itabaki Zanzibar, na hatutakuwa na haki nayo tena. Shughuli za uvuvi na nyinginezo zitaathirika.

Hakuna jinsi, kama kweli wananchi wa Zanzibar wanataka kujitenga, nani wa kuwazuia? Hakuna mwenye haki ya kuwazuia, serikali imeendeleza ubabaishaji kwa mambo muhimu, watu wamehoji mkataba wa Muungano, hawajatoa, watu wamepigia kelele kero za Muungano, Ikiwa ni pamoja na Tanganyika kuwa na serikali yake, au Serikali za Zanzibar ivunjwe, lakini wapi.

Ingekuwa rahisi kuwa na Serikali 3 kuliko serikali moja 1, kwani Zanzibar wasingekubali kuvunja serikali yao. Na kwa mtazamo wa viongozi wa Tanganyika, Tanganyika inaihitaji sana zanzibar linapokuja suala la usalama wa nchi, wakati kwa mtazamo wa viongozi wa Zanzibar, Zanzibar inaihitaji sana Tanganyika linapokuja suala la umoja wa wazanzibari.

Kama muungano ukivunjiaka, hapatakuwepo na Zanzibar, patakuwepo na Unguja na Pemba.

Na Tanganyika hakutakuwa na Tanganyika bali kutakuwa na Ukristo na Uislam. Na sasa umesha shamiri sana tena kwa kasi kubwa sana.
 
Muungano ukivunjika siku hiyo nitachinja Wadudu saba na kugawa pork bureee kwa majirani!
 
Tena mie naombea iwe hata jkesho hao watu milioni moja watupe presha tena hata elimu hawana???? wakale urojo tu
 
wachape lapa hao kwnz wanatuongezea mzigo kwa utegemezi wao kwetu...tuone jeuri yao itaishia wapi.
 
Sababu kubwa ya kuungana na Zanzibar ni suala la Usalama. Zanzibar imepakana sana na Tannganyika, ni bora tungepakana kwa aridhi, lakini tumepakana kwa maji. Kuna migogoro mingi sana inapokuja suala la mipaka ya maji.

Kama Zanzibar itajitenga, hatuwezi jua itachukua msimamo gani wa kisiasa? Itatengeneza marafiki gani? Uhusiano wetu na wao utakuwaje?

Kama ikitokea tukawa na uhasama kwa namna yeyote, ni rahisi hata kutumiwa na maadui wa Tanganyika kama kituo cha kuweka majeshi yao au kuweka vitisho. Kiufupi Zanzibar itakuwa kama buffer zone kati ya Tanganyika na Maadui zake. Yawezekana tusiwe na maadui leo, lakini kesho waweza kutokea.

Kiuchumi tutaathirika, kama Zanzibar itajitenga, lazima itachorwa mipaka mipya ama ile ya zamani kabla ya muungano. Sehemu ya maji ya bahari itabaki Zanzibar, na hatutakuwa na haki nayo tena. Shughuli za uvuvi na nyinginezo zitaathirika.

Hakuna jinsi, kama kweli wananchi wa Zanzibar wanataka kujitenga, nani wa kuwazuia? Hakuna mwenye haki ya kuwazuia, serikali imeendeleza ubabaishaji kwa mambo muhimu, watu wamehoji mkataba wa Muungano, hawajatoa, watu wamepigia kelele kero za Muungano, Ikiwa ni pamoja na Tanganyika kuwa na serikali yake, au Serikali za Zanzibar ivunjwe, lakini wapi.

Ingekuwa rahisi kuwa na Serikali 3 kuliko serikali moja 1, kwani Zanzibar wasingekubali kuvunja serikali yao. Na kwa mtazamo wa viongozi wa Tanganyika, Tanganyika inaihitaji sana zanzibar linapokuja suala la usalama wa nchi, wakati kwa mtazamo wa viongozi wa Zanzibar, Zanzibar inaihitaji sana Tanganyika linapokuja suala la umoja wa wazanzibari.

Kama muungano ukivunjiaka, hapatakuwepo na Zanzibar, patakuwepo na Unguja na Pemba.

kwani kabla muungano hiyo unguja na pemba haikuwepo??? na mbona zanzibar ilikuwepo wala hatukusikia hayo mnayoyaleta ya uunguja na upemba????

niliuliza mbona kanisa liko mbele sana kuushikilia huu muungano ??? au wametumwa na paulo???
 
Hakuna anayekasirika gavana nyie wazanzibar ndo mtaumia muungano ukivunjwa,waznz wanadanganywa na magaidi kwamba wakijitenga watapata misaada ni ulevi tu wa madaraka na mali hakuna lolote,nyie jitengeni tu tutawafukuza wote huku bara na mali na nyumba zote tunachukua
Nayapenda sana maneno Haya ya kiazimio la Arusha. Muungano huu ni Kama Ndoa ya mkeka.
Leo talaka iwe ya kubakana tena?
Wacha wazanzibari watazame maslahi ya nchi yao na watu wao, tusilazimishane kuwa Ndugu.
Haikuwa Ndugu Wa. Familia moja huzozana itakuwa sisi?
 
kwani kabla muungano hiyo unguja na pemba haikuwepo??? na mbona zanzibar ilikuwepo wala hatukusikia hayo mnayoyaleta ya uunguja na upemba????

niliuliza mbona kanisa liko mbele sana kuushikilia huu muungano ??? au wametumwa na paulo???
Paul tena????? Usipoweka quotes zako unakosea kweli
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom