Fredrick Sanga
JF-Expert Member
- Jan 27, 2011
- 3,153
- 697
Ubaguzi ni ile kuunda muungano unaoua upande mmoja wa muungano na kubakiza upende wa pili, Hata mwendawazimu kwa hili ataelewa. Iko siku.Dhambi ya ubaguzi aliyosema Julius hiyoooo, sasa hivi watagundua kwamba hakuna wazanzibari, maana si alisema ni kama kula nyama ya mtu, ukiionja huachi.... mmh babu nae alijuaje haya mambo ya nyama za watu lakini!!!!!!!!!!!!!!!!?