Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,493
nimekusoma mpwa....hivi Ngosha bado upo Zenji (nje ya mada)
Nataraji rudi mwishoni mwa juma hili....ushanisoma!!?
nimekusoma mpwa....hivi Ngosha bado upo Zenji (nje ya mada)
Du ndugu zetu mshatuchoka tena...kila uzushi mnatuzushia...he wala
Hakuna kitu kama hicho ni uzushi...Mods labda inawachombeza...tetesi haina hata chanzo cha kizushi ndo tetesi gani hiyo.Mkulu hebu twambie hii kitu ni kweli au si kweli, kama uzushi tu tumwambie mode aitupe sehemu stahili
wakiondoka ni furaha kubwa. Hii mipemba niliyojaa kariokoo warudi makwao
Hakuna kitu kama hicho ni uzushi...Mods labda inawachombeza...tetesi haina hata chanzo cha kizushi ndo tetesi gani hiyo.
Wakuu kama nime kosea naomba msamaha in advance ila nime sikia ikabidi niulize hapa jamvini. I heard that Zanzibar wants it's own currency and stop using the Tanzanian shilling. Napenda kusisitiza kwamba mimi nime sikia tu kama tetesi kutoka kwa mtu.
Sawa wafanye watakacho. Lakini wasisahau kwamba wote wzb walioko Bara wanatakiwa kujiandaa passport kuishi ugenini kwa mkataba, hawataruhusiwa kuhodhi ardhi ya wabara maana ardhi sio swala la muungano, wataishi kama wawekezaji tu. Itafika pahala wabara watachoka upuzi wanaotishiwa na watu wa visiwani. Wajiandae na mambo mengi tu, wengi watalazimika kurudi visiwani, maana naona ya Rwanda na Burundi wenzetu hawayaoni ila yafike kwao. Wabara wanapokuwa kimya sio kwamba ni wajinga, wanaelewa sana ila wanaenzi maamuzi ya waasisi.
Sasa kama kizazi kipya cha wazb kinarap ubaguzi na utengano kila kukicha watajikuta wanawaumiza ndugu zao na wao wenyewe wakauza visiwa kwa waarabu.
Alisema kweli kumbe JKN kwamba kuna walevi wa kijinga ambao hata hawataki kuona ukweli ila kulewa madaraka.
Leka
Kimtazamo wangu naona kwa hivi sasa ni lazima kuvunja muungano kutokana na tofauti zilizomo.
Tukianza Znz kuna mgogoro mkubwa baina ya Wapemba na Waunguja ( unaochochewa na watanganyika)
Ukija Bara Kuna mgogoro mkubwa baina ya Uislam na Ukristo ( Waznz wanajaribu kubalance kwani Znz 99% ni waislam)
Tukivunja muungano nafikiri ya Znz yataisha Wapemba watachukua Pemba na waunguja watabaki na nguja.
Sasa upande wa bara sijui itakuwaje. Maana yake wakristo kama watafanikiwa kuwashinda waislam basi kuna vita nyingine kati ya Wakatoliki na walutheri, wapentekosti, waanglican n.k
Sijui mgawo utakuwaje.
Nasisitiza Znz lazima tupewe uhuru wetu na tuwe na kila kitu chetu
Hawa wazenji nao wanadeka sana, waelewe tu mkubwa hatishiwi nyau. Hata hivyo zile siasa za west na east ambazo ndio ilikua strategic reason ya muungano hazipo tena hivyo wakitusumbua sumbua sana tunaweza kuwaachia halafu wakaja juta.
Ila tu waelewe kwamba hata hela za bure wanazotegemea toka uarabuni hazipo siku hizi. Waarabu nao wana crisis nyingi tu.
Wakuu kama nime kosea naomba msamaha in advance ila nime sikia ikabidi niulize hapa jamvini. I heard that Zanzibar wants it's own currency and stop using the Tanzanian shilling. Napenda kusisitiza kwamba mimi nime sikia tu kama tetesi kutoka kwa mtu.
O.K, kwa Zanzibar kitu hicho hakuna ni UWONGO ambao haufai hata kuitwa tetesi.
Ndiyo maana inaitwa tetesi kwa maana hamna chanzo cha kuaminika. Sasa bado una taka hicho chanzo cha kizushi nikupe kama unaona ita kusaidia?
Mtoto akililia uwembe mpe, akijikata shauri yake.
...Bila shaka kuna siri kubwa. MNAFAIDIKA SANA NA huu so called MUUNGANO KWA KUINYONYA ZANZIBAR.
Hawa wazenji nao wanadeka sana, waelewe tu mkubwa hatishiwi nyau. Hata hivyo zile siasa za west na east ambazo ndio ilikua strategic reason ya muungano hazipo tena hivyo wakitusumbua sumbua sana tunaweza kuwaachia halafu wakaja juta.
Ila tu waelewe kwamba hata hela za bure wanazotegemea toka uarabuni hazipo siku hizi. Waarabu nao wana crisis nyingi tu.
Balubalu Najua wewe Si Mpemba wala si Muunguja. Hivyo wewe si Mzanzibari (Inaweza ikawa Mzanzibara). Fanya home work vizuri halafu nieleze hicho kitakachowatenganisha Wapemba na Waunguja hii leo-watu ambao wamekuwa pamoja enzi na enzi. Balubalu acha kuropoka tu!!!!!!Tukivunja muungano nafikiri ya Znz yataisha Wapemba watachukua Pemba na waunguja watabaki na nguja.