utantambua
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,367
- 321

Niko nawasikia wakina Kibonde hapa, nao wanasema hilo hilo.

Kasheshe mambo kama hayo yasiletwe bara kabisa.

Na sababu kubwa ya kuisimamia sheria hio Zenji na Pemba ni uwiano tofauti kati ya wakristu na waislamu.

Waislamu wengi, sababu ni majority, basi ni haki shria kama hiyo kwa kipindi cha mfungo iwepo.

Wewe unareason vipi? Yaan kisa wao ni majority ndio wawanyime uhuru minority? So kwa mfano tuseme wafuasi wa chama flani ni majority ktk nchi siku ya kuadhimisha kuzaliwa kwa chama chao walazimishe bendera na shughuli za vyama vingine vifungiwe visionekane hadharani ili kutowakwaza? Rubbish justification kabisa.