Zanzibar: Wanaokula hadharani, kuvaa nguo fupi kukiona

Status
Not open for further replies.
nipo hapa Zenji, nashangaa juzi nipo maeneo ya Migombani Migoz Supermarket nimetoka natafuna big G wajinga wawili wakanifuata, wakawa wananipiga mkwara nikawaambia mbona nyinyi WAISLAM WA KIZENJI mna mambo ya kipuuzi kama mimi nilkila nyie inawauma nini? Mungu wetu ametupatia uhuru wa kuishi tunavyopenda lakini siku ya mwisho kila mmoja atahukumiwa na nikawaambia TULIOMO NDANI YA YESU HATUFUNGWI NA SHERIA, nikaawambia acheni roho za kipuuzi wakanitishia kunichapa vibao nikasema sasa aniguse mtu, nilishapanga kuwapiga na chupa za WINE halafu ningesubiri liwalo na liwe... pumbafu zao kabisa, yaani Miislamu ya Kizenji wivu umewajaa, Majungu, tamaa na unafiki.

nasema ni wapuuzi kwa sababu mitaa ya hapa home kuna jamaa anauza matunda anajifanya ana dini ile mbaya lakini matendo yake ni ya kipuuzi tena jana jioni nilimporomoshea matusi na swaumu lake, alikuwa ananiambia maneno ya kipuuzi eti ooh dada yako mweupe nataka nimuoe na upuuzi wa kijinga jinga... niliyomporomoshea naogopa kuyaweka hapa maana naweza kula BAN.....( na huyu jamaa angenizingua nilikuwa naenda kumshitaki kwa Sheikh wake)

MIMI HAPA ZANZIBAR NAKUNYWA MAJI KAMA KAWA NA NATAFUNA BIG G MUDA WOWOTE, NA KAMA NINGEKUA NAVUTA SIGARA NINGEKUWA NAVUTA BILA WASIWASI.. HALAFU NINGEONA WANGEFANYA NINI........

NALINDWA DHIDI YA MAJINI NA MIALBADIRI YA KIPUUZI, MAANA NILIPO HAPA NAPIGWA VITA NAWEKEWA MITAKA TAKA NJE YA GETI ILI NIDHULIKE NA HAWA WAISLAMU WANAOJIFANYA WANAFUATA SWAUMU.
mkuu wale usiwazie kwenda kumshtaki kwa shehe..utaishia kuambiwa wewe ni kafiri tu...! kitu kinachotutofautisha na hawa jamaa ni tolerance.
sisi tuko very tolerant ...ila wenyewe nadhani kitu kama hicho wanacho kidogo sana...!
 
quote_icon.png
By Fatal5
hebu jaribu kufanya hivyo uone nini kitakufika hapa Zenji....vijana wa kizenji watakushughulikia wenyewe polisi wakifika utakuwa tayari umesha poteza fahamu!!! usijifanye wewe ni mzenji wakati wewe ni mndengereko wa Tanganyika!!!
wazanzibari kuheshimu Ramadhani ndio Desturi na utamaduni wa nchi yetu!!!! hebu nipe data zako tuje tukushughulikie kama kweli unayaweza..**** mkubwa we:painkiller:

huyu naye eti amefunga. kazi kweli kweli

hata mimi nimejiuliza ..thawabu inatoka wapi sasa kama hali yenyewe ndiyo hii!
 
nipo hapa Zenji, nashangaa juzi nipo maeneo ya Migombani Migoz Supermarket nimetoka natafuna big G wajinga wawili wakanifuata, wakawa wananipiga mkwara nikawaambia mbona nyinyi WAISLAM WA KIZENJI mna mambo ya kipuuzi kama mimi nilkila nyie inawauma nini? Mungu wetu ametupatia uhuru wa kuishi tunavyopenda lakini siku ya mwisho kila mmoja atahukumiwa na nikawaambia TULIOMO NDANI YA YESU HATUFUNGWI NA SHERIA, nikaawambia acheni roho za kipuuzi wakanitishia kunichapa vibao nikasema sasa aniguse mtu, nilishapanga kuwapiga na chupa za WINE halafu ningesubiri liwalo na liwe... pumbafu zao kabisa, yaani Miislamu ya Kizenji wivu umewajaa, Majungu, tamaa na unafiki.

nasema ni wapuuzi kwa sababu mitaa ya hapa home kuna jamaa anauza matunda anajifanya ana dini ile mbaya lakini matendo yake ni ya kipuuzi tena jana jioni nilimporomoshea matusi na swaumu lake, alikuwa ananiambia maneno ya kipuuzi eti ooh dada yako mweupe nataka nimuoe na upuuzi wa kijinga jinga... niliyomporomoshea naogopa kuyaweka hapa maana naweza kula BAN.....( na huyu jamaa angenizingua nilikuwa naenda kumshitaki kwa Sheikh wake)

MIMI HAPA ZANZIBAR NAKUNYWA MAJI KAMA KAWA NA NATAFUNA BIG G MUDA WOWOTE, NA KAMA NINGEKUA NAVUTA SIGARA NINGEKUWA NAVUTA BILA WASIWASI.. HALAFU NINGEONA WANGEFANYA NINI........

NALINDWA DHIDI YA MAJINI NA MIALBADIRI YA KIPUUZI, MAANA NILIPO HAPA NAPIGWA VITA NAWEKEWA MITAKA TAKA NJE YA GETI ILI NIDHULIKE NA HAWA WAISLAMU WANAOJIFANYA WANAFUATA SWAUMU.
Hii mijitu ndo maana watu makini wanayapuuzia tuu, kila wakati yenyewe hayajiamini na matendo yao. hebu jifikirie mtu strong anaweza kuyumbishwa na matendo ya mtu mwingine? ndiyo maana utayasikia oooo shule zetu zinahujumiwa na balaza la mitihani, mara oooo unajua waislam tupo wachache kwenye uongozii tupewe nafasi za upendeleo, yaani Tanzania tuna taabu sana tutoe nafasi za upendeleo kwa wanawake na waislamu???? mnajidhalilisha sana na udhaifu wenu
 
mkuu wale usiwazie kwenda kumshtaki kwa shehe..utaishia kuambiwa wewe ni kafiri tu...! kitu kinachotutofautisha na hawa jamaa ni tolerance.
sisi tuko very tolerant ...ila wenyewe nadhani kitu kama hicho wanacho kidogo sana...!
ni mainfiria, tuyapotezee tuu.
 
Unashangaa nini?? Mbona sisi hapa Saudia wale tusiokuwa waislaam, mwezi huwa wa Ramadhani mchana tunakula tumejificha mvunguni mwa kitanda!!

Saudia ni nchi ya kiislamu lakini Zanzibar si nchi ya kiislamu
 
Hivi Zanzibar haijasaini mkataba wa haki za binadamu? Hawa jamaa wazushi tu' wanafunga au wanabadilisha muda wa kula chakula BADALA YA KULA MCHANA WANAKULA USIKU Chai asubuhi wanaita kufuturu sa' 1 usiku(uji,futari,chapati,chai n.k),sa' 4 wanakula msosi kamili kama wa mchana,sa' 9-10 usiku wanakula chakula tena kama cham sa 2 usiku tu' sasa wapi na wapi?

Kama wanafuata sheria za kiislamu mbona zile sheria za ukizini unapigwa mawe mpaka ufe,kumkata kichwa mtoto wako wa kike au wakiume endapo atalazimisha kubadili dini ili aoe au aolewe? Mbona hawazifuati ?

Unajua kwanini nyama ya Nguruwe iliitwa kiti moto? Sababu na wao wanakula kwa uoga! Waacheni wakristo wa Zanzibar wale watakavyo kama mmefunga mvumilie hata mkikutana na mtu anakula chapati hazarani 'BAHARI TULIVU HAIMPIMI NAHODHA WA MELI'
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom