Zanzibar: Wanaokula hadharani, kuvaa nguo fupi kukiona

Status
Not open for further replies.
Niko nawasikia wakina Kibonde hapa, nao wanasema hilo hilo.

Kasheshe mambo kama hayo yasiletwe bara kabisa.

Na sababu kubwa ya kuisimamia sheria hio Zenji na Pemba ni uwiano tofauti kati ya wakristu na waislamu.

Waislamu wengi, sababu ni majority, basi ni haki shria kama hiyo kwa kipindi cha mfungo iwepo.

Wewe unareason vipi? Yaan kisa wao ni majority ndio wawanyime uhuru minority? So kwa mfano tuseme wafuasi wa chama flani ni majority ktk nchi siku ya kuadhimisha kuzaliwa kwa chama chao walazimishe bendera na shughuli za vyama vingine vifungiwe visionekane hadharani ili kutowakwaza? Rubbish justification kabisa.

KAMA WANAJIFANYA MALAIKA MBONA IDADI YA MASHOGA NA MALAYA HUKU NI KUBWA?NJ0ˆ6O HAPA UNGUJA ,MJI MAGHARIBI UTAWAJUA WALIVYO WANAFIKI!HAMNA KITU HAPA WOTE NI WACHAFU. NDIO MAANA YESU ALISEMA UNAPOFUNGA UOGA NA JIPAKE MAFUTA ILI BABA WA MBINGUNI TU AJUE KUWA UMEFUNGA.SIO MTU mnanuka mdomo hampigi mswaki kisa mmefunga.

Kama ungrfanya utafiti huru ungegundua wanaokula mchana na wanaokwenda uchi Zanzibar no wa Tanganyika wanaoishi Zanzibar .na ndio hao hao wa Tanganyika wanaofanya ukahaba na usenge upende usipende huo ndio ukweli. hakuna mzenj anaekula mchana wa Ramadhan.

Acha kufuru zako we jamaa,kila mtu ana haki ya kutetea na kuilinda imani yake,kwa hy waache waislam wa zenji waitetee imani yao hususan ktk mwezi huu mtukufu!

Huo ni unyanyapaa, kwani dini yao tu ndio inatakiwa kutetewa?
Ni ubinafsi wa hali ya juu...
Kwani Zanzibar ni kisiwa cha kwao peke yao.
Waishie huko!
Waache uhuni huo

hahahaaaaaa. Uislam ni janga la dunia. Hau co exist na imani nyingine kabisa...zero torelance. Waislam wengi walio wastaarab wanaishi kwa standard za kikristo, mpende jirani yako kama nafsi yako. Sasa kama mimi si muislam unanilazimishaje nisile?

Wengi huwa hawajui sababu ya Wazeenj kutaka kujitenga, mwenye macho na aone sasa. Kachome kanisa moto, you are a hero, choma msikiti mot you are a criminal, ukimuua mbara, you are a hero ukimuua mzungu, you are a criminal.

Kama huamini ninayosema, fuatilia post za Mkandara/Nguruvi3 na hawa wazenj fulani. Welcome to Islamic Republic of Pemba and Unguja

kuna watu huko yaani wanawachukia watanzania(hata kama ni waislam wenzao) na wakristo(hata kama ni wazanzibar wenzao)

Hawa watu wapo wachache sana Tanzania, kiasi kwamba hata Wakristu wakiamua kuwa na tabia kama zao watatokomezwa kabisa. Kwa hili sijifichi nawazarau sana baadhi ya waislam kwa kuwa na uwezo finyu wa kufikiri.

Kama ungrfanya utafiti huru ungegundua wanaokula mchana na wanaokwenda uchi Zanzibar no wa Tanganyika wanaoishi Zanzibar .na ndio hao hao wa Tanganyika wanaofanya ukahaba na usenge upende usipende huo ndio ukweli. hakuna mzenj anaekula mchana wa Ramadhan.
(ukahaba na usenge )

Si wanasoko huko?

haya mambo yakiendelea huko zenji mwisho wa siku tutaja chinjana aisee. ndugu zangu waislamu wanajulikana kwa jinsi wanavoweza kupigania imani yao, sasa ni heri wakaitangaza rasmi kua ni nchi ya kidini tuelewe moja kuliko kujibanabana na kuimpose by laws zenye maslahi kwa waislamu pekee.

kwa waislamu tu, na si kwa wengineo. Sisi wengine tunauona kama kaida tu, Na tunajitaidi tuwakwaze wenzetu, Au Znz ni kama Iran (Inchi ya Dini ya Kiislamu?).

Exactly!! Zanzibar ni nchi na kama nchi wanauhuru wakuamua mambo yao wenyewe ikiwa pamoja na taratibu na kanuni za kisheria. Wanaoona hawawezi kuendana nazo si wa huko!! Warudi waliko toka! Maisha si lazima Zanzibar!! Waacheni na nchi yao jamani!!

Hi Serikali ya Mapinduzi Zanzibar yenyewe ina dini? Kuna sheria inayokataza kula hadharani wakati wa mfungo wa ramodhani wa waislamu? Maana hii ya muungano tunajua haina dini.

nipo hapa Zenji, nashangaa juzi nipo maeneo ya Migombani Migoz Supermarket nimetoka natafuna big G wajinga wawili wakanifuata, wakawa wananipiga mkwara nikawaambia mbona nyinyi WAISLAM WA KIZENJI mna mambo ya kipuuzi kama mimi nilkila nyie inawauma nini? Mungu wetu ametupatia uhuru wa kuishi tunavyopenda lakini siku ya mwisho kila mmoja atahukumiwa na nikawaambia TULIOMO NDANI YA YESU HATUFUNGWI NA SHERIA, nikaawambia acheni roho za kipuuzi wakanitishia kunichapa vibao nikasema sasa aniguse mtu, nilishapanga kuwapiga na chupa za WINE halafu ningesubiri liwalo na liwe... pumbafu zao kabisa, yaani Miislamu ya Kizenji wivu umewajaa, Majungu, tamaa na unafiki.

nasema ni wapuuzi kwa sababu mitaa ya hapa home kuna jamaa anauza matunda anajifanya ana dini ile mbaya lakini matendo yake ni ya kipuuzi tena jana jioni nilimporomoshea matusi na swaumu lake, alikuwa ananiambia maneno ya kipuuzi eti ooh dada yako mweupe nataka nimuoe na upuuzi wa kijinga jinga... niliyomporomoshea naogopa kuyaweka hapa maana naweza kula BAN.....( na huyu jamaa angenizingua nilikuwa naenda kumshitaki kwa Sheikh wake)

MIMI HAPA ZANZIBAR NAKUNYWA MAJI KAMA KAWA NA NATAFUNA BIG G MUDA WOWOTE, NA KAMA NINGEKUA NAVUTA SIGARA NINGEKUWA NAVUTA BILA WASIWASI.. HALAFU NINGEONA WANGEFANYA NINI........

NALINDWA DHIDI YA MAJINI NA MIALBADIRI YA KIPUUZI, MAANA NILIPO HAPA NAPIGWA VITA NAWEKEWA MITAKA TAKA NJE YA GETI ILI NIDHULIKE NA HAWA WAISLAMU WANAOJIFANYA WANAFUATA SWAUMU.

Hawa watu wapo wachache sana Tanzania, kiasi kwamba hata Wakristu wakiamua kuwa na tabia kama zao watatokomezwa kabisa. Kwa hili sijifichi nawazarau sana baadhi ya waislam kwa kuwa na uwezo finyu wa kufikiri.

Fanya utafiti kabla kunena.
Zanzibar Uislam ni zaidi ya 99%.

Je huko Tanganyika unajuwa % za waislam na wakristo? naomba nijuze.

hii mambo ya wazanzibar ya kipuuzi sana. mbona familia yetu ni mchanganyiko kuna waislamu na wakristu na tatizo hilo halijitokezi? tena basi mpishi wetu ni muislamu safi na anaendelea kutupikia kama kawa. wakati wa maakuli mchana tunamanga kwa raha zetu huku wao wakiendelea na swaumu yao. na jioni wakat wa iftar nasi twawachia wafuturu kwa mapana yao. ina maana wao si waislam safi kwa kuturuhusu sisi tuendelee na ratiba yetu ya msosi? acheni ubaguzi bana wazanzibar.

miaka ya nyuma znz ikifika ramadhan watu huoni kula nje na hata wazanzibar waliokuwa si waisilam wakiheshimu lakini sasa hivyi kuna watu hujifanya hawajali .

Haina maana yeyote . . . mtu aliyefunga kweli hata mwanamke akatize uchi hawezi hisi/ona kitu maana yeye yupo kwenye ibada, hii hawatakuwa wamefunga ibada ila wamefunga kujitesa tu..

hawajafunga......wanakula usiku badala ya mchana

Kama ungrfanya utafiti huru ungegundua wanaokula mchana na wanaokwenda uchi Zanzibar no wa Tanganyika wanaoishi Zanzibar .na ndio hao hao wa Tanganyika wanaofanya ukahaba na usenge upende usipende huo ndio ukweli. hakuna mzenj anaekula mchana wa Ramadhan.

Ndugu BinMgen, naomba nitofautiane na wewe hapo ulipoandika kwa red. Pia naomba nitumia maneno tofauti japo nia ni kuchangia kwenye hayo uliyoandika.

Tabia za ukahaba, ushoga hazina taifa, rangi au kabila. Zinatokea kila mahali duniani. Kwa kuishi kwangu nimeona hizi tabia kwa Tanzania bara kama ilivyo kwa Zanzibar. Hata hivyo kwa masikitiko, tungeweka vipimo kwenye mizani ya 'statistical ratio' Zanzibar wanaweza kabisa kuongoza kwa kuwa na tabia za ushoga.

It is rampant! Wanaume wanaotembea na wanaume (incuding watoto wadogo wa kiume) ni wengi kuliko unavyodhani lakini kwa sababu za kijamii utakuta mwanababa ana mke huku ana kimada wa kiume pembeni. In other words kuna bi-sexual. Mwaka huu peke nimeshaghulikia kesi ya kijana in his 20s aliyebaka watoto wa kiume wa chini ya miaka 10!

Na hapo mtaani huyu kijana mbakaji amekuwa sugu, kamaliza watoto. cha ajabu wazazi wengi wanaogopa kumshitaki. Wanasema "ana tabia mbaya huyu, tutamkanya!!!

Na kuhusu ukahaba, usidanganyike na mabauibui, adultery iko kila kona. Nimetumia adultery katika uhalisia wake - watu wanakuwa na wenzi wengine outside marriage. Ninachotaka kusema, Wazanzibari hawana tofauti na watu wengine, wana udhaifu kama walivyo watu wa Tanzania bara na dunia kwa ujumla.

nipo hapa Zenji, nashangaa juzi nipo maeneo ya Migombani Migoz Supermarket nimetoka natafuna big G wajinga wawili wakanifuata, wakawa wananipiga mkwara nikawaambia mbona nyinyi WAISLAM WA KIZENJI mna mambo ya kipuuzi kama mimi nilkila nyie inawauma nini? Mungu wetu ametupatia uhuru wa kuishi tunavyopenda lakini siku ya mwisho kila mmoja atahukumiwa na nikawaambia TULIOMO NDANI YA YESU HATUFUNGWI NA SHERIA, nikaawambia acheni roho za kipuuzi wakanitishia kunichapa vibao nikasema sasa aniguse mtu, nilishapanga kuwapiga na chupa za WINE halafu ningesubiri liwalo na liwe... pumbafu zao kabisa, yaani Miislamu ya Kizenji wivu umewajaa, Majungu, tamaa na unafiki.

nasema ni wapuuzi kwa sababu mitaa ya hapa home kuna jamaa anauza matunda anajifanya ana dini ile mbaya lakini matendo yake ni ya kipuuzi tena jana jioni nilimporomoshea matusi na swaumu lake, alikuwa ananiambia maneno ya kipuuzi eti ooh dada yako mweupe nataka nimuoe na upuuzi wa kijinga jinga... niliyomporomoshea naogopa kuyaweka hapa maana naweza kula BAN.....( na huyu jamaa angenizingua nilikuwa naenda kumshitaki kwa Sheikh wake)

MIMI HAPA ZANZIBAR NAKUNYWA MAJI KAMA KAWA NA NATAFUNA BIG G MUDA WOWOTE, NA KAMA NINGEKUA NAVUTA SIGARA NINGEKUWA NAVUTA BILA WASIWASI.. HALAFU NINGEONA WANGEFANYA NINI........

NALINDWA DHIDI YA MAJINI NA MIALBADIRI YA KIPUUZI, MAANA NILIPO HAPA NAPIGWA VITA NAWEKEWA MITAKA TAKA NJE YA GETI ILI NIDHULIKE NA HAWA WAISLAMU WANAOJIFANYA WANAFUATA SWAUMU.

dini ni zao la ukoloni....waarabu wamewaletea dini ili wawatawale. upuuzi, dini ni bangi

hebu jaribu kufanya hivyo uone nini kitakufika hapa Zenji....vijana wa kizenji watakushughulikia wenyewe polisi wakifika utakuwa tayari umesha poteza fahamu!!! usijifanye wewe ni mzenji wakati wewe ni mndengereko wa Tanganyika!!!
wazanzibari kuheshimu Ramadhani ndio Desturi na utamaduni wa nchi yetu!!!! hebu nipe data zako tuje tukushughulikie kama kweli unayaweza..**** mkubwa we:painkiller:

huyu naye eti amefunga. kazi kweli kweli

@Ndugu BinMgen, naomba nitofautiane na wewe hapo ulipoandika kwa red. Pia naomba nitumia maneno tofauti japo nia ni kuchangia kwenye hayo uliyoandika. Tabia za ukahaba, ushoga hazina taifa, rangi au kabila. Zinatokea kila mahali duniani. Kwa kuishi kwangu nimeona hizi tabia kwa Tanzania bara kama ilivyo kwa Zanzibar. Hata hivyo kwa masikitiko, tungeweka vipimo kwenye mizani ya 'statistical ratio' Zanzibar wanaweza kabisa kuongoza kwa kuwa na tabia za ushoga. It is rampant! Wanaume wanaotembea na wanaume (incuding watoto wadogo wa kiume) ni wengi kuliko unavyodhani lakini kwa sababu za kijamii utakuta mwanababa ana mke huku ana kimada wa kiume pembeni. In other words kuna bi-sexual. Mwaka huu peke nimeshaghulikia kesi ya kijana in his 20s aliyebaka watoto wa kiume wa chini ya miaka 10! Na hapo mtaani huyu kijana mbakaji amekuwa sugu, kamaliza watoto. cha ajabu wazazi wengi wanaogopa kumshitaki. Wanasema "ana tabia mbaya huyu, tutamkanya!!!

Na kuhusu ukahaba, usidanganyike na mabauibui, adultery iko kila kona. Nimetumia adultery katika uhalisia wake - watu wanakuwa na wenzi wengine outside marriage. Ninachotaka kusema, Wazanzibari hawana tofauti na watu wengine, wana udhaifu kama walivyo watu wa Tanzania bara na dunia kwa ujumla.

si wote wenye baibui ni wanawake..... wengine mabwabwa,zenji bar

Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom