Zanzibar: Wanaokula hadharani, kuvaa nguo fupi kukiona

Status
Not open for further replies.
Nawaza peke yangu tu; hivi kqweli inawezekana kuipima imani ya mtu kwa kutumia sheria kumazimisha atimize imani hiyo?

Kondoo ndio mwenye dalili za kumilikiwa na hivyo huchungwa, Mbuzi yeye hachungwi bali anaswagwa, na anafurahia kuswagwa maana ndio asili yake.

Waislam hao ni mabingwa wa ubaguzi na chuki! Ningekuwa zenj yaani narost nguruwe saa saba mchana na ugali matata then ajipendekeze mtu kishamba shamba!

Huo ni upumbavu...sasa kama mi cjafunga na wala ramadhani hainuhusu kwa nini nifuate sheria zenu...bure kabisa huyo kiongozi.

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imetangaza vita rasmi kwa wale wanaovaa nguo fupi na zingine zinazofanana na nusu uchi wachukuliwe hatua kali visiwani wakati wa mwezi huu mtukufu wa Ramadhani
Tayari serikali hiyo imeshaiagiza Jeshi la Polisi kuachukulia hatua wale wote watakaoonekana kuvaa mavazi hayo

Tamko hilo limetolewa jana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Mohammed Aboud Mohammed, wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari visiwani humo.

Hatua hiyo imekuja baada ya kujitokeza kwa baadhi ya watu kuonekana wakila chakula hadharani nyakati za mchana

Mbali na hilo pia amesema baadhi ya wanawake wamekuwa wakionekana mitaani wakiwa wamevaa nguo fupi na zingine zisizokuwa na heshima kabisa na kuonekna kwa baadhi ya vijana wakiwa wamelewa chakari mchana wa Ramadhani.

Nyumba za kulala wageni na migahawa imeonekana kutoa huduma mchana kipindi cha mfungo kwanikufanya hivyo ni kinyume cha sheria pamoja na kwenda kinyume na amri ya Mwenyezi Mungu na mafundisho yake Mtume Mohammad,” alisema.

Waziri huyo amesema maamuzi yamekuja ili kuweza kurudisha hadhi ya kipindi cha nyuma visiwani humo wakati wa mwezi wa Ramadhani kumekuwa hakutendeki mambo hayo kama ilivyo sasa.
chanzo:

SMZ yawaonya wavaa nguo fupi, wanaokwenda kinyume na mfungo

Kwenda zako Mimi mbona sijui nini maana ya mwezi wa Ramadhani? Najilia popote wakati wowote na hakuna sheria inayonibana, msituletee mfumo Islaam hapa Zanzibar kwetu, tena sitaki mtu anipangie mda wa kula wala nini chakula, nikitaka kujilia nguruwe wa kupaka najilia popote na wakati wowote Kum...mae zenu

hebu jaribu kufanya hivyo uone nini kitakufika hapa Zenji....vijana wa kizenji watakushughulikia wenyewe polisi wakifika utakuwa tayari umesha poteza fahamu!!! usijifanye wewe ni mzenji wakati wewe ni mndengereko wa Tanganyika!!!
wazanzibari kuheshimu Ramadhani ndio Desturi na utamaduni wa nchi yetu!!!! hebu nipe data zako tuje tukushughulikie kama kweli unayaweza..**** mkubwa we:painkiller:

Ahsante Yesu kwa kuniweka huru. Maana toka umeingia ndani ya maisha yangu, sifungwi na sheria za dunia hii katika kukutumikia.

BIG UP!! hiyo ndio sehemu ya kuishi

KAMA WANAJIFANYA MALAIKA MBONA IDADI YA MASHOGA NA MALAYA HUKU NI KUBWA?NJÒO HAPA UNGUJA ,MJI MAGHARIBI UTAWAJUA WALIVYO WANAFIKI!HAMNA KITU HAPA WOTE NI WACHAFU. NDIO MAANA YESU ALISEMA UNAPOFUNGA UOGA NA JIPAKE MAFUTA ILI BABA WA MBINGUNI TU AJUE KUWA UMEFUNGA.SIO MTU mnanuka mdomo hampigi mswaki kisa mmefunga.

ndo matatizo ya mashehe ubwabwa,wanawaza chakula tuu na kuingilia uhuru wa mtu

Kwani ile kazi ya kukusanya{kutapeli} mia 5 mulio oteshwa na mungu ishakwisha au mungu kastopisha maana naona munakosa vya kusema au hamja dhulumiana sadaka muanzishe madhehebu maana hamjielewi kuabudu kukaa kwenye benchi au kusimama kuabudu kuimba au kupiga makofi au kuabudu dakika tano kuimba masaa 2 kukusanya sadaka

kwa waislamu tu, na si kwa wengineo. Sisi wengine tunauona kama kaida tu, Na tunajitaidi tuwakwaze wenzetu, Au Znz ni kama Iran (Inchi ya Dini ya Kiislamu?).

kwataarifa yako zenj ni nchi yakiislam,wananchiwake asilimia 100 niwaislam,wasiokuwa waislam wamekwenda kutembea tu,waacheni wazenj wafate sheria ya diniyao,na anaekula hadharani achapwe bakora 100 hadharani na wanauza mabaa chomamoto,tusiwaudhi watu ktk nchiyao.

tatizo lipo kwani zanzibar inaongozwa na serikali ya kiisilamu?? Hawa jamaa wasumbufu hawa utadhani kundi maalum
Kama wasumbufu dawa yake ndogo tu, wewe usiende Zanzibar kaa kwenu Tanganyika waache kinadada wa vae kaptura wala hakuulizi mtu.

Wewe kidogo umehoji kwa busara, kilichopo si kuwatamanisha wanaofunga bali itasaidia kwa malezi ya vijana na watoto wasije kuona kuendelea kula ktk mwezi wa ramadhani ni sawa tu. Hivyo hii inalenga kuwajenga watoto wajue jamii nzima haitegemei kuwaona wakila mchana wa ramadhani.

Na watoto hao wanafundishwaje kuwa katika jamii hiyo hiyo kuwa kuna watu wa imani nyinginge ambao wao wataendelea kula katika kipindi hicho? Na je issue siyo kuwa wajifunze kuvumiliana/kuchukuliana kiimani?

Kwa Zanzibar ambapo population ni almost 95% waislamu unapozumzia utamaduni lazima dominant group itakuwa ni waislamu, ndio maana sheria kama hizi zipo Zanzibar na si huku bara kwa kuwa hakuna dominant group perse.

Kwa hiyo dominant group wana haki zaidi kuliko minority? Rubbish justification

Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom