Wengine hapa wana AKILI finyu kweli. Muungano ukuivunjika haimaanishi kuwa biashara pia itakuwa haipo baina ya Tnganyika na Zanzibar. Siku ya pili itakuwa mambo kama kawaida ila sisi tutakuwa na UHURU wetu na maaamuzi yetu. Hamna ila tutakuwa tunaheshimiana kama mataifa mawili.